wapo viongozi wachache ambao mimi nimewaona wakitibiwa pale taasisi ya mifupa (MOI). Dr slaa amekuwa akitibiwa pale mkono wake tangu alipoumia wakati kuna vigogo wengine ambao wanapata matatizo kama hayo ya dr wanakwenda nje. Sijui kwa lipumba lakini vigogo wa serikali pamoja na matibabu wankwenda nje ili wapate posho. Na posho yenyewe siyo mchezo. Ni bora ungozi ungebadilika harafu tuweke sheria hakuna kiongozi kwenda kutibiwa nje ili watengeneze hospitali za ndaniKama Lipumba yuko India kwa operesheniKama Malecela alikuwa UK kwa operesheniHayati Nyerere alitibiwa na kufia UKHayati Diria alitibiwa na kufia GermanyInamaana baada ya miaka 50 ya uhuru,tuna madokta/maprofesa feki hapo Muhimbili kama hata viongozi wetu hawawaamini.Sasa Muhimbili wanatibu watu weak,poor na ni walala hoi.Howa many botched operations ambazo hatujui?
Prof. Mwandosya hajawahi kuwa waziri wa afya au unamchanganya na Prof. Mwakyusa?nashindwa kusema pole kwa mwandosyamaana yeye ni mmoja wa watanzania walioifikisha haposector ya afya na huduma zakemasikini wengi wamekufa na magonjwa madogo madogo hali waowakilipwa maposho makubwa kama waziri kila nakokwenda analipwa milioni 1.2kama posho, hata kama amekwenda kwenye semina ya wizara yake lazima walipwesasa hiyo pesa wanayokwapu tungeweza kuwa na hospitali za maana kwa ajili ya watanzaniawote, yeye sasa yuko india hapa nyumbani watu wanaendelea kufa hali wao ndio sababisho.augue kwa kadri mungu apendavyo
unapokuwa premium member inabidi ujitahidi kuwa na hekima na busara.mbna elimu yao wamedesa..mkuu ulikwa ujui nin
Mambo ya 2015 hayo. Wanaanzaga mapema. Nyerere alingolewa hivi hivi kwa kuwa angekuwa mwiba kwa wana mtandao. Wakamngoa Dr Omari ambaye he was likely to be our next president after BM. Sasa Prof Mwandosya is one of candidates waliofika mbali last time, he is threat to 2015. I hope he will win this battle. Tanzania would have been better with him than JKViongozi ni wamhimu sana kuliko mwananchi wa kawaida.Ndio maana hata gerezan kuna magereza yao ya VIP.Hata kura huwa tunawapigia na kuwaita WAHESHIMIWA
mbona hatuzioni tunaona harkati za 2015
maji ndio hayo
labda useme suhala la RADA linaonekana
Wote hawa walitibiwa Nchini halafu wakawa referred nje, kwa ushauri wa madaktari wa tanzania...wapo viongozi wachache ambao mimi nimewaona wakitibiwa pale taasisi ya mifupa (MOI). Dr slaa amekuwa akitibiwa pale mkono wake tangu alipoumia wakati kuna vigogo wengine ambao wanapata matatizo kama hayo ya dr wanakwenda nje. Sijui kwa lipumba lakini vigogo wa serikali pamoja na matibabu wankwenda nje ili wapate posho. Na posho yenyewe siyo mchezo. Ni bora ungozi ungebadilika harafu tuweke sheria hakuna kiongozi kwenda kutibiwa nje ili watengeneze hospitali za ndani
Heri wewe umeandika wafe Brutus(mod) hajakuona mimi niliandika RIP post yangu akaifuta nilimsamehe kwa vile aliendeshwa na mazoea.wafe tu hawana mchango wowote kwa taifa sana sana watapunguza population na kuongeza ajira maana nafasi zao zitakuwa replaced
Badala ya kutoa pole wewe umekuja kutetea matibabu ya Mzee Malechela LOL! jaribu kuwa muungwana.- UK ilikuwa ni matibabu na US ni kwa watoto, jamani si hata mchwa huwa wanambeba kiongozi wao, I mean mengine ni fact of life wote hatuko sawa na hatukuzalwia sawa, na besides ni kila mahali duniani, au?
Willie @ NYC, USA.
You are dead wrong to think that it is the referal from our specialists which send these "BIGSHOTS" abroad for their treatment. It is their stutus and no profesionals advice which takes them there and in most cases for "things" which could as well be treated locally.Wote hawa walitibiwa Nchini halafu wakawa referred nje, kwa ushauri wa madaktari wa tanzania...
Badala ya kutoa pole wewe umekuja kutetea matibabu ya Mzee Malechela LOL! jaribu kuwa muungwana.
Duh mkuu wangu ktk wote viongozi umeona King Abdullah wa Jordan ndiye wa kumtolea mfano?..- Viongozi wanatabiwa popote pale taifa linapoweza kuwatibu, niwatetee nisiwatetee haiwezi kubadilisha anything, King Abdullah wa Jordan anatibiwa Mayo Clinic US ni kwa sababu ndipo walipo wataalamu bingwa wa moyo duniani, baada ya wataalamu bingwa kushindwa huko kwingine ni wao wenyewe ndio wanaowarufaa kwenda kwenye mabingwa zaidi, it has nothing to do na maendeleo ya taifa au anything!
- Eti hoja yako ni nini kwamba taifa ligharamie wananchi wote wa Tanzania Millioni 45 kwenda kutibiwa kama viongozi? Hiyo ndio hoja yako mkuu au una nyingine?
Willie @ NYC, USA.
You missed my point sioni ajabu viongozi kutibiwa nje hata kama wangehamia huko milele tanzania itakuwepo tatizo langu niwewe kukimbilia kutetea hilo kuliko kutoa pole kwa akina Mwandosya na Lipumba tuonyeshe wapi umesema pole kwenye thread hii, nakumbuka ulianzisha thread na kuwaomba wanaJF wamwombee apone haraka mzee Malechela kwanini wewe hutoi hata pole kwa wengine hiyo ndiyo hoja yangu.- Viongozi wanatabiwa popote pale taifa linapoweza kuwatibu, niwatetee nisiwatetee haiwezi kubadilisha anything, King Abdullah wa Jordan anatibiwa Mayo Clinic US ni kwa sababu ndipo walipo wataalamu bingwa wa moyo duniani, baada ya wataalamu bingwa kushindwa huko kwingine ni wao wenyewe ndio wanaowarufaa kwenda kwenye mabingwa zaidi, it has nothing to do na maendeleo ya taifa au anything!
- Eti hoja yako ni nini kwamba taifa ligharamie wananchi wote wa Tanzania Millioni 45 kwenda kutibiwa kama viongozi? Hiyo ndio hoja yako mkuu au una nyingine?
Willie @ NYC, USA.
Dah pole sana yaani imenigusa kama huyo ndugu yako namuona vile kweli inatia uchungu na hasira pia.Duh mkuu wangu ktk wote viongozi umeona King Abdullah wa Jordan ndiye wa kumtolea mfano?..
Tunakubali sana kwamba haki hata siku moja haiwezi kuwepo wananchi kutibiwa sawa na viongozi wao wala huo usawa unaoliliwa hauwezi kuwepo, lakini basi tengenezeni basi Hospital ambazo hata upasuaji wa figo unaweza kufanyika nyumbani mbona zamani hii misafara ya viongozi India haikuwa mikubwa kiasi hiki..Labda hilo swala la uti wa mgongo kidogo tunaweza kusema wataalam wetu walishindwa..
Pili, mshikaji nina hasira kali sana ndio maana hunioni kijiweni maanake nimepatwa na msiba jamaa yangu katutoka baada ya Umeme kukatika wakati akifanyiwa Operation - mjini Dar. Yaani hakuwa ktk hali yeyote ya hatari kiafya isipokuwa kilichomuua ni kukatika kwa umeme, hii kweli haki?
Duh mkuu wangu ktk wote viongozi umeona King Abdullah wa Jordan ndiye wa kumtolea mfano?..
Tunakubali sana kwamba haki hata siku moja haiwezi kuwepo wananchi kutibiwa sawa na viongozi wao wala huo usawa unaoliliwa hauwezi kuwepo, lakini basi tengenezeni basi Hospital ambazo hata upasuaji wa figo unaweza kufanyika nyumbani mbona zamani hii misafara ya viongozi India haikuwa mikubwa kiasi hiki..Labda hilo swala la uti wa mgongo kidogo tunaweza kusema wataalam wetu walishindwa..
You missed my point sioni ajabu viongozi kutibiwa nje hata kama wangehamia huko milele tanzania itakuwepo tatizo langu niwewe kukimbilia kutetea hilo kuliko kutoa pole kwa akina Mwandosya na Lipumba tuonyeshe wapi umesema pole kwenye thread hii, nakumbuka ulianzisha thread na kuwaomba wanaJF wamwombee apone haraka mzee Malechela kwanini wewe hutoi hata pole kwa wengine hiyo ndiyo hoja yangu.