Mwandosya, Mwakyembe na Ulimboka: Ni mpango wa Mungu au sisi wenyewe? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwandosya, Mwakyembe na Ulimboka: Ni mpango wa Mungu au sisi wenyewe?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mzalendo Mkuu, Aug 13, 2012.

 1. Mzalendo Mkuu

  Mzalendo Mkuu JF-Expert Member

  #1
  Aug 13, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 738
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Kwa muda wa mwaka sasa tumeshuhudia hawa makamanda watatu toka Mbeya wakiwa wamepitia hatua ya Nusu Kifo, je kuna mpango wowote au imetokea kwa bahati mbaya? Natafakari tu.
   
 2. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #2
  Aug 13, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Good point... Inaelekea mbeya kuna wanaharakati wana uchungu na nchi yao? Au kwa jicho la serikali watu wa huko wanaonekana wana mdomo sana
   
 3. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #3
  Aug 13, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Ni mipango ya walewale kwa watu walewale na ndo maana mipango yao imefeli vilevile! chezea nyakyusa wewe, wale watu wana roho saba, utaua nne,tatu,tano lakini kuzimaliza zote!
   
 4. Mingoi

  Mingoi JF-Expert Member

  #4
  Aug 13, 2012
  Joined: Jul 21, 2012
  Messages: 10,635
  Likes Received: 2,344
  Trophy Points: 280
  Kwani Mwandosya nae ana maradhi gani manake nasikia anaumwa ugonjwa wake umekuwa siri kali, maofahamu mtujuze.
   
 5. JOYCE PAUL

  JOYCE PAUL JF-Expert Member

  #5
  Aug 13, 2012
  Joined: Jan 8, 2010
  Messages: 1,007
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  wanajaribiwa tu na mungu...kwani wao sio wa kwanza ku survive kifoooo
   
 6. Philipo Kidwanga

  Philipo Kidwanga Verified User

  #6
  Aug 13, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 2,063
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  ukumbuke pia ndio sehemu ambayo raisi aliwahi kupopolewa.
   
 7. Mourinho

  Mourinho JF-Expert Member

  #7
  Aug 13, 2012
  Joined: Jul 24, 2012
  Messages: 4,622
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 145
  Katika hao kamanda ni Dr.Ulimboka tu, hao wengine ni matokeo ya siasa chafu za makundi!
   
 8. s

  shikulaushinye JF-Expert Member

  #8
  May 28, 2015
  Joined: Aug 29, 2014
  Messages: 829
  Likes Received: 238
  Trophy Points: 60
  Haya sasa
   
Loading...