Masanilo
Platinum Member
- Oct 2, 2007
- 22,286
- 4,493
Si ugonjwa ule uliokaa pabaya ...!?kwa habari za uhakika nilizo nazo hiyo ndo bye bye kisiasa ya mwandosya! he ll never be 100% fit again ana kansa iliyosambaa sana!
Si ugonjwa ule uliokaa pabaya ...!?kwa habari za uhakika nilizo nazo hiyo ndo bye bye kisiasa ya mwandosya! he ll never be 100% fit again ana kansa iliyosambaa sana!

Si ugonjwa ule uliokaa pabaya ...!?

hapana... Hawezi kuwa nao. Huyu ni waziri wa mazingira, ma nylon yote anayo yeye, anatumia atakavyo.
Mi nahisi yule mchungaji mfufua misukule aliyesema ana uwezo wa kumfufua amina chifupa tumtafute mapema tumpooze
Nao si ni ugonjwa bandugu?Si ugonjwa ule uliokaa pabaya ...!?
Watu Mnakejeli kweli! Mtu anaumwa mnamkejeli kweli Watanzania hatupendani kabisa,ndiyo maana tutaendelea kuibiwa na wageni maana sisi wenyewe hatupendani,ujue huyo ni Mbunge wa watu na watu wake wanampenda unaposema maneno kama hayo ya kejeli na dharau unadhani ndiyo unajenga? sasa unafurahia afe eeeh,wewe utapata faida gani? Umenikela kweli aisee!umefilisika mawazo kabisa
Hayo maclass unayoyataja hayana maana kuwa wengine wakatibiwe India na wengine Mwananyamala. Hao jamaa wanakwenda huko kwa vile ya hali mbaya ya Hospital zetu. Poor delivery kwenye public snd private sectors. No Wonder akina Jairo walitafuta mbinu mpya ya kupitisha bajeti za Wizara zao.
Imagine last month Rais wa Namibia aliumwa na alilazwa kwenye hospital za Namibia na wala hakusafirishwa kwenda RSA. Hivi sasa inasemekana Kaunda anaumwa na amelazwa Namibia. Sasa nchi kama Namibia ambayo haina hata medical school inauwezo huo inakuwaje nchi yetu ambayo ina medical school kama 5 inashindwa kutibu vigogo wake. Hapo utaona kuwa tatizo siyo watalam ila ni quality of service wameshindwa kuitengeneza kwao sasa wanaitafuta kwa wenzao.

Jamani wana Jamii wenzangu kweli tumekosa Ubinadamu kabisaaaaa tunajua huyu mtu anaumwa na hata kama ni Kiongozi bado ni mtu kama sisi ana nafsi,roho na nyama na anahitaji upendo yeye na Familia yeke na wala si Kejeli na Vijembe kama vinavyoendelea kwenye Thread hii jamani!!!Kweli tumepoteza UTU kabisa na kukaa kugeuza kila jambo kwenye Siasa na Vijembe jamani?!!!This is not Fare kabisa Huu ni Ukatili na wala sio Ubindamu kabis,labda mtafurahi mkisia amekufa huyu Mwandosya wa watu!!

Tuwe na Ubinadamu,hata kama anaenda kutibiwa wapi au ni nani bado ni Binadamu kama sisi na yeye na Familia yake wanahitaji Faraja kubwa wakati huu wanapo muuguza jamani...tuache tabia mbaya hiii... naomba tukome kukejeli na Kurusha Vijembe wakati wa Misiba au watu wanapokuwa wanumwa,huu ni UNYAMA na UKATILI kabisa na hakuna mwanadamu yoyote mwenye akili timamu anayeweza kufurahia mwenzake anapoteseka kwa Ugonjwa.Huku ni kufilisika mawazo.

Tuipe hadhi jukwaa hili jamani,ni Foruma nzuri na isigeuzwe na watu wachache kuwa sehemu ya Udaku na Vijembe!

Wachangiaji wa namna hiyo wafungiwe kabisa na Coordinator!sio watu hao ni wanyama wa Porini,ukatili gani hu?!!!!

Wa
sina uzalendo wowote kwa hawa watawala wa tz, hivyo kwa yoyote yatakayowapata mi naona poa tu
Wanayosema ni viongozi tu wanayopelekwa kutibiwa India wapite pale wizarani waone orodha ya wagonjwa wanayokwenda nje kutibiwa.Hawa viongozi wetu wanashangaza sana, hivi wao sio watu kama sisi wa chini? Mbona Mungu habagui huyu nani na huyu nani? Kupelekwa India au Marekani hakusaidii , waelewe ya kuwa siku ikifika imefika, mbona wengine wakienda kutibiwa huwa hawarudi hai? Huko ni kuchezea kodi zetu bora wangeboresha huduma kwenye hospitali zetu na kuwezesha madaktari wa Tanzania kufikia level ya hao wanaowafuata.
India is the cheapestAll significant figures in this country they prefer to go India for treatment, still in question WHY India and not ELSE WHERE like Japan, China, Russia, UK and USA. Most of them who went for treatments they return while their body parcked in the coffirn. JF members would like to why?
Get your act right before airing your viewsdhambi ya atcl inamuua na kumuangamiza kama mnakumbuka lile gazeti ninalo mpaka leo???huyu ndie aliegawa hili shirika kwa southafrica wakampeleka mwanae kusoma chuo huko jnb mpaka leo ajajibu kilichotokea na hadi barua ya wazungu kuwajulisha chuoni ada italipwa na southafrican airways mwisho wa siku wale mbwa sa wanaiba doller wanaweka kwenye hold za ndege kwenye mabox ni huyu ndie jamaa aliesema ndani ya miezi mitatu serikali inarudi na majonzi mtaniambia kelele za watoto wa wafanyakazi wa atcl na wengine baba zao wamepata pressure sababu ya atcl leo mwana anakula kuku kule sa hana adabu kabisa huyu mzee

Ngoja nihamie MMU, huku nahisi ban inaninyemelea, mijitu inajifanya inauchungu na nchi halafu inatumia makalio kufikiri brrrrrrrrrr
JK should appoint someone to fill the void. I reckon January will fit this position.
All significant figures in this country they prefer to go India for treatment, still in question WHY India and not ELSE WHERE like Japan, China, Russia, UK and USA. Most of them who went for treatments they return while their body parcked in the coffirn. JF members would like to why?