Mwandosya alimfanya Nini Kibaya Jk, Hatokisahau?

Status
Not open for further replies.
SIKU HIZI NAONA HUKU JAMVINI KUNA AJENDA YA SIRI......HUU UZI UMEINGIA TU UMETUPWA ...UTAFIKIRI HAUNA MAANA YOYOTE AU NI UVUMI,...WAKATI IT WAS FROM THE HORSE MOUTH.......NO WOUNDER SIKU HIZI MEMBERS WENGI WA ZAMANI HAWAINGII HUMU......ZAMANI TUKIKESHA HAPA....
HUU UZI NI SIASA 100% NASHANGAA SANA MoD ameutupa.......,Tuambiane kama kuna watu wanalipwa tujuwe...
 
nami nasubiri mwenye details za hili,japo mwaka 2007 wakati ya uchaguzi wa wajumbe wa nec mkoa pale mbeya niliona purukushani za hapa na pale,apson mwangonda ilisemekana alikuwa anaungwa mkono na jk na mwandosya alikuwa haziivi na jk,japo kwangu nilidhani labda ni mambo yaliyosababishwa na kuomba ridhaa ya chama mwaka 2005 kwaajili ya urais,lakini kwa kilio hicho nadhani kuna jambo zito nyuma tusilolijua.pia nimetazama picha hapo juu ambapo jk anaonekana kuteta jambo na mwandosya lakini akiwa na ulinzi mzio,je mwandosya ni hatari kiasi hicho.naendelea kusubiri naweza cha kujifunza jambo na nitawatafuta wazee wanaowajua watu hawa wote wawili.

Mkuu siasa za Tanzania katika kipindi cha 2005 zilikuwa chafu sana, na ndio ulikuwa mwanzo wa chama na Tanzania kuporomoka na kuparaganyika. Kinyang'anyiro ndani ya CCM kiliendeshwa kwa njia za ajabu, kwa hiyo hadi kufikia 2010 hakukuwa na kazi yoyote ya kuendesha nchi isipokuwa kujilinda na kuwaangalia wengine. Tatizo ni kuwa watu wanamnyooshea JK vidole as if ni yeye peke yake alikuwa na harakati za kugombea urais, kulikuwa na wengine na wao harakati zao hazikuwa safi as they try to have us believe.

Si siri kuwa Prof Mwandosya (as arrogant as other people of his type) alikuwa na kauli za dhihaka sana dhidi ya JK alipokuwa Waziri, wakati yeye ni PS, hasa baada ya kile alichodhani kuwa waziri wake haenendi in a way that a minister shouldn't. Na ile kujiona kuwa yeye ni msomi na kusikitika kuwa na boss ambaye si msomi [Pamoja na kuwa prof alisahau kuwa we have a system ambayo mbunge yeyote anaweza kuwa waziri]The story of some girl, ni ndogo sana ambayo haiwezi kuwafanya wanaume na akili zai kuwa na ugomvi wa maisha kutokana na some girl, tena kimada sio mke. Sidhani kama hilo lina maana kujadiliwa.

Issue ilikuwa ni kwamba kutokana na u-arrogant wake he thought that JK did not have the education, character, personality to be president, lakini kutokana na kupenyezwa kwa rupia na zengwe, ikaonekana kuwa money talks, and money did talk. Kwa hiyo mtandao wakashinda na Asili waliodhani kuwa wanaweza kuongoza kutokana na sifa wakapigwa chini. Lakini kampeni aliyofanya na CCM asli Mark included ilimwaga sumu sana, na karibu yote aliyosema tunayaona sasa. JK ambaye ni mshindi katika mpambano pamoja na wanamtandao wengine kwa kawaida hawezi kuwa happy, nadhani kwa vyovyote unvayoweza kutafsiri, kumuweka Mwandosya kwenye cabinet, iwe ni kutokana na kum-comtain au vyovyote vile, ni uvumilivu.

Siasa za Mbeya zilikuwa simple, ilikuwa ni kama extension ya mpambano kati ya CCM mtandao na CCM asili. Lakini in the end swali lilikuwa nini kilikuwa na maslahi kwa Mkoa, kijana mdogo ambaye hajui lolote kuwa mbunge eti kwa sababu baba yake alikuwa mkurugenzi wa usalama wa taifa ambaye hata uwaziri asingefikiriwa, au kumchagua Mwandosya aliyekuwa close kuwa rais, veteran mwenye elimu, personality, na rekondi nzuri kimkoa na kitaifa, ambaye ni manufaa kwa chama mkoa na mkoa in general. Pamoja na kuwa watu walihongwa baadhi ya watu waliona ni busara kumchangua Mwandosya anayefaa, na si kutumiwa kama uwanja wa mapambanao ya Mtandao na Asili.

Mwakyembe kila mtu anajua.
 
Nakumbuka humu JF ulitoka uzi ulioeleza jinsi Kingunge Ngombale Mwilu alivyowashawishi wajumbe wa NEC CCM wamchgue JK japo wote wlikubaliana kuwa hana uwezo wa uongozi.
Uzi ule ulisema kati ya watu watatu waliopendekezwa kupeperusha bendera ya CCM, JK hakuwemo. Katika majina yalioyopendekezwa Prof. Mark Mwandosya aliongoza kwa kupata kura nyingi. Kingunge alisimama akasema (nukuu isiyo rasmi) " Ni kweli JK hana uwezo wa uongozi, lakini anachagulika. Ana mvuto. Kama tukimuweka Prof. Mwandosya CCM iwe tayari kukipoteza kiti cha urais kwenda kwa chama cha upinzani. Ni bora kuwa na rais dhaifu lakini kiti kikabakia kuwa cha CCM kuliko kutaka rais hodari lakini tukakosa kiti".
Maelezo haya yanatupa tafsiri mbili kuu. Prof. Mark Mwandosya ni mshindani wake mkuu kisiasa ndani ya CCM kuliko mtu mwingine yeyote. Bila woga wa kuukosa urais jina la JK lilitupwa katika kinyang'anyiro cha urais na la Prof. liling'ara.
Haijulikani mpaka leo kama hofu za Kingunge zinaweza kuthibitika kisayansi.
Jambo la pili ni kuwa uwezo mdogo wa kufikiri na kuongoza wa JK sio ajali ni jambo linalojulikana tangu hajaingia kwenye urais. Kilichomwingiza ikulu JK ni mvuto tu na sio sifa za uongozi. Mvuto hadi leo bado anao na udhaifu anao pia. Anaye sema leo kwamba uwezo wake wa kuchambua mambo ni mdogo, hatuambii kitu kipya, HE IS INVERTING A WHEEL WHILE DRIVERS ARE DRIVING CARS. Kwa maoni ya Kingunge yaliyoungwa mkono na wajumbe wa NEC ya CCM, ni afadhali kiti cha urais kikaliwe na picha nzuri kuliko kukikosa.
Kwa mtazamo wa Rais JK ( akitafuta legitimacy) hana jambo jingine zito alilolifanya kuthibitisha uwezo wake katika upongozi bali ni kumteua mpinzani wake ambaye ameshindwa kumsamehe dhambi ambyo hawezi kuitaja hadharani. Ikiwa dhambi hiyo hawezi kuitaja hadharani, watu wakaichambua, inatoa nafasi kwa wanajamii kujaza ombwe aliyoiacha. Yawezekana yeye JK ndiye mkosaji na amekwisha jihukumu mwenyewe.
 
Mkuu siasa za Tanzania katika kipindi cha 2005 zilikuwa chafu sana, na ndio ulikuwa mwanzo wa chama na Tanzania kuporomoka na kuparaganyika. Kinyang'anyiro ndani ya CCM kiliendeshwa kwa njia za ajabu, kwa hiyo hadi kufikia 2010 hakukuwa na kazi yoyote ya kuendesha nchi isipokuwa kujilinda na kuwaangalia wengine. Tatizo ni kuwa watu wanamnyooshea JK vidole as if ni yeye peke yake alikuwa na harakati za kugombea urais, kulikuwa na wengine na wao harakati zao hazikuwa safi as they try to have us believe.

Si siri kuwa Prof Mwandosya (as arrogant as other people of his type) alikuwa na kauli za dhihaka sana dhidi ya JK alipokuwa Waziri, wakati yeye ni PS, hasa baada ya kile alichodhani kuwa waziri wake haenendi in a way that a minister shouldn't. Na ile kujiona kuwa yeye ni msomi na kusikitika kuwa na boss ambaye si msomi [Pamoja na kuwa prof alisahau kuwa we have a system ambayo mbunge yeyote anaweza kuwa waziri]The story of some girl, ni ndogo sana ambayo haiwezi kuwafanya wanaume na akili zai kuwa na ugomvi wa maisha kutokana na some girl, tena kimada sio mke. Sidhani kama hilo lina maana kujadiliwa.

Issue ilikuwa ni kwamba kutokana na u-arrogant wake he thought that JK did not have the education, character, personality to be president, lakini kutokana na kupenyezwa kwa rupia na zengwe, ikaonekana kuwa money talks, and money did talk. Kwa hiyo mtandao wakashinda na Asili waliodhani kuwa wanaweza kuongoza kutokana na sifa wakapigwa chini. Lakini kampeni aliyofanya na CCM asli Mark included ilimwaga sumu sana, na karibu yote aliyosema tunayaona sasa. JK ambaye ni mshindi katika mpambano pamoja na wanamtandao wengine kwa kawaida hawezi kuwa happy, nadhani kwa vyovyote unvayoweza kutafsiri, kumuweka Mwandosya kwenye cabinet, iwe ni kutokana na kum-comtain au vyovyote vile, ni uvumilivu.

Siasa za Mbeya zilikuwa simple, ilikuwa ni kama extension ya mpambano kati ya CCM mtandao na CCM asili. Lakini in the end swali lilikuwa nini kilikuwa na maslahi kwa Mkoa, kijana mdogo ambaye hajui lolote kuwa mbunge eti kwa sababu baba yake alikuwa mkurugenzi wa usalama wa taifa ambaye hata uwaziri asingefikiriwa, au kumchagua Mwandosya aliyekuwa close kuwa rais, veteran mwenye elimu, personality, na rekondi nzuri kimkoa na kitaifa, ambaye ni manufaa kwa chama mkoa na mkoa in general. Pamoja na kuwa watu walihongwa baadhi ya watu waliona ni busara kumchangua Mwandosya anayefaa, na si kutumiwa kama uwanja wa mapambanao ya Mtandao na Asili.

Mwakyembe kila mtu anajua.
mkuu nimekuelewa vizuri sana kwa ufafanuzi wako,lakini imekuwaje afanye kazi na mtu mwenye kinyongo nae kiasi cha kuzungumza maneno yenye kuonesha basi nifanyaje?
Ni miaka saba sasa tangu JK aingie madarakani lakini kwanini analisema leo,je kama waTZ tukihoji yaliyomkuta Mwandosya kiafya yeye anafahamu undani wake tutakuwa tunakosea?hasa ukizingatia nature ya matatizo ya kifya yaliyo mkuta.
Je,mambo ambayo mh.Kikwete alifanyiwa na Mh.Prof.Mwandosya ni yapi kiasi cha kuendelea kumuumiza Mh.Rais mpaka sasa,maana ukiona mwanaume analia majukwaani kwa jambo alilotendwa mwaka fulani si la kawaida.Na si la kuchukulia kiwepesi.
Nafahamu watu wenye sifa za Usomi ama wanazuoni huwa na kawaida ya kudharau wengine na hasa akidhani unamshauri kwa lengo fulani basi fitna huwa haziishi,na yawezekana Mh.Rais nae ni miongoni mwa wahanga wachache ama wengi waliokutana na misukosuko ya namna hiyo.Je,ni nini hasa kilitokea?Labda tusaidie kwa picha yenye muonekano wa 3D!
 
' .....itakuwa ni aibu sana na ajabu pia utakuwa hujatenda haki kwa kumbagua ambaye hakukuchagua natolea mfano wangu katika uchaguzi uliopita,Prof Mark Mwandosya HAKUSHINDA LAKINI KWENYE SERIKALI YANGU NILIMUWEKA LICHA YA KUWA NILIFANYIWA MAMBO YA AJABU SANA AMBAYO NI VIGUMU KUYAVUMILIA LAKINI KAMA MWANASIASA LAZIMA UWE MKOMAVU....." Jakaya Kikwete ,DODOMA,22nd october 2012.

NOTE :- JK Tunayemjuwa na visasi kweli atakuwa alifanyiwa jambo baya ...hadi "alie" na mwandosya amsamehe hivi hivi kweli.......kwenye nchi nyingine angetakiwa kutoa maelezo aeleweke ...ili kama jambo alilofanya mwandosya lilikuwa baya watu wapime..
ISIJE IKAFIKIA MAHALI WATU WAKAMUHISI VIBAYA NA MASAHIBU YANAYOMKUTA MWANDOSYA..

- INTERGRITY YA MWANDOSYA IPO MAJARIBUNI KUWA MIAKA YOTE HII KIKWETE ANAMPA KAZI SIO KWA AJILI YA UWEZO WAKE WA KIUTENDAJI BALI KWA KUHOFIA MANENO YA WATU .....WANAOJUWA UGOMVI WAO...AU ULE MSEMO WA KUMUWEKA ADUI KARIBU UMMALIZE AU UMLAINISHE.....MWANDOSYA AFIKIRIE MARA MBILI...NDIO MAANA AMEPEWA KAZI JAPO NI MGONJWA???

NINAPATA MASHAKA MAKUBWA SANA NA UWEZO WA RAIS KIKWETE WA KU REASON HADI KUFIKIA KUTAMKA HAYA MANENO HADHARANI....BILA KUFIKIRIA MADHARA YAKE KWAKE KISIASA NA MAHUSIANO...AU NDIO KUTUBU?

Ndie aliekuwa chaguo la wana CCM 2005,jK ALISHIKA NAFASI YA TATU...
Upepo wa kisiasa ulimpa Nafasi JK YA KUGOMBEA URAIS KWA USHAURI WA KINGUNGE.
 
Kwa kweli hawa viongozi wetu wadhaifu tunaowachagua kwa kufuata mkumbo na desturi ni hatari sana,watoto na wajukuu zetu watatuweka kwenye group la watu wanaoangamia kwa kukosa maarifa!!
 
Binti wa huyo mzee alikuwa balaa!

Mkuu,
Tunaomba utuelezee hata jina lake ni nani coz tunasikia tu kuwa kashakuwa grandmother sikuhizi,ikibidi weka picha yake!
Tunajua kuwa hapa "we dare to talk openly"!!!
Tiririka mkuu.
 
"ee baba r**1 uliyetufilisi,jina lako ni usanii mtupu utakalo lifanyike msoga tu utupe leo mabillioni ya epa uwapeleke mafisadi wote mabwepande uwarudishie wafanyakazi fao lao la kujitoa,umsamehe babu seya kama ulivyomsamehe mwandosya"
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom