Mwandosya ajiuzulu?

Hivi Kisheria ni nani mwenye Mamlaka ya kutangaza Kujiuzulu kwa Waziri???

Je Katiba na Sheria za Tanzania zinasema DIRA ya Mtanzania ndio litatangaza Kujiuzulu kwa Waziri ?

Vp Ubunge nao atajiuzulu pia kama ni sababu za Kiafya!!!! na Ujumbe wa NEC je?

mtu mwenye akili atajiuliza maswali haya...hataanza kuhusiha swala hili na mbio za 2015.

Kweli mkuu kama ni tatizo la kiafya aachie vyote

kwa tanzania itakuwa ngumu hasa kama sababu inayotolewa ni ugonjwa. kumbukeni imekuwa fasheni sasa kuzikwa kitaifa, so kwa mwanasiasa ni heri kufia ofisini ili mkulu a-oficiate mazishi yako na serikali kubeba gharama zote!

hiyo ndo tz niijuayo mimi

Kwani si rais anaeza kukataa ombi lake kama magufuli alipomkatalia ni ikaonekana hii habari ni ya uzushi?

Mwandosya hajajiuzulu, ni propaganda za watu wenye agenda zao, Ikulu wangetoa statement na siyo "Dira"

Jaman nimesikia kuwa wazili wa maji na umwagiliaji Prof. Mark Mwandosya amemuandikia barua JK ya kuomba kujiuzulu nafasi yake.

Mwenye data kamili atumwagie ukweli wa jambo hili.

Source: Dira ya mtanzania.

nini hii wazili

Elewa habari vizuri!hajajiuzulu ila anataka kufanya hivyo kwa ajili ya matatizo ya afya yake!upo!
Mwandosya hajamuandikia rais...wewe sasa elewa hiyo..kama nilivyosema dira inapotosha..umesoma dira? dira limesema ameandika barua ya kujiuzulu...ni uongo...anaendelea na matibabu na atarudi akimaliza matibabu. Anaendelea vizuri.

im pure CDM, but kati wa viongozi niliokuwa nawakubali Mc. ni mmojawapo together wth hon. Magufuli, hata kama wanamapungufu, lakini kila wanapopewa kazi huwa wanajitahidi kuzifanya. tunaweza tukasema mengi kuhusu prof Mc.

But on my side give hm spect for the decisi n, and praying for hm, that he may recover soon, and cm back to our hm land and utilise his time on his knowledge, w rill nid hm for the growth of science, an the guy did nt explore that much what he have!

Kwa habari nilizopata ni kuwa Mh waziri mwenyewe ameshituka kupata habari hizi za kua kaandika barua ya kujiuzulu. so inaonekana hii habari si ya kweli

Kwanin gazeti lisifungiwe kama kwel

Get well soon prof!!!tunaelewa uwezo wako wa kuchapa kazi,maneno mengine ni ya waleeeeeeeeeeeeeeee wakiwania jimbo,hata wakipata uwezo wao unajulikana.stay blessed.

tangu ateuliwe kuwa waziri amekuwa mgonjwa muda wote boraapumzike amwachie Eng. Chiza, ikngawa nae siyo mzima sana
Sijawahi kusikia Mwandosya anaumwa, ni juzi tu mwezi wa nne. Mh Chiza hayuko tena Maji, yuko Kilimo. Muwe mnafanya home work kwanza kabla ya kuchangia

Jaman nimesikia kuwa wazili wa maji na umwagiliaji Prof. Mark Mwandosya amemuandikia barua JK ya kuomba kujiuzulu nafasi yake.

Mwenye data kamili atumwagie ukweli wa jambo hili.
Dira ya Mtanzania imekua msemaji wa Ikulu?

Source: Dira ya mtanzania.
Dira ya Mtanzania ndio msemaji wa Ikulu siku hizi?
Umbeya na uongo

Duuu, kweeli Bongo tembea uone!!!!

Hizi nukuu nukuu zetu kuna siku mtu utajikuta unamnukuu hata jambazi na watu wenye akili zao wakashindwa kabisa kukuondoa chungu kimoja vitendo vyao ho hao. Ubora wa cha chako kwaweza kukungarisha au kukakutia tope hapa jukwaani jamani tuwe macho.

Na hili nalo la LI-KANJANJA nalo kuibuka mtamboni na gazeti ........... jamani, duuuuuu!!

Dira ya Mtanzania chini ya kanjanja Charles Mulinda lini ikawa reliable source jamani? Tunasubiri official announcement kutoka Ikulu.

Tunachojua Prof. bado yupo kwenye matibabu India na anasumbuliwa na tatizo la kansaya damu (Leukamia). Tunamuombea afya njema kama binadamu yeyote na si kufurahia mwenzio anapopigania uhai wake.

He was not that bad guy wanajamvi!

Nashangaa sana kwa nini huyu mbunge wa Arumeru *magharibi* naye hajajiuzuru ubunge kwani tangu achaguliwe mwaka jana hata hakuapishwa na hajawahi kuhudhuria kikao chochote cha bunge.

Ndugu hebu kua na huruma kidogo,haya si maadili yetu watanzania.Unalazimisha ajiuzulu wakati hana fahamu muda wote.tumuombee apone haraka ili aje kutumikia nchi yake

Back
Top Bottom