Mwandishi William Ngazija wa ITV akamatwa na Polisi mkoani Tanga

FUSO

JF-Expert Member
Nov 19, 2010
25,999
2,000
Taarifa zinaeleza kwamba Mwandishi huyo anayeripotia ITV kutokea Mkoa wa Tanga , amekamatwa na Polisi wa Korogwe na kulundikwa Sero kwa Amri ya Mkuu wa Wilaya hiyo , Ambaye pia ni Mlimbwende wa Tanzania wa miaka iliyopita Mtukufu Basila Mwanukuzi .

Bado haijafahamika kosa lake

Chanzo : Kitenge TV
Wangeacha kwanza mama arudi ; wanazidi kuharibu..
 
Craig

JF-Expert Member
Feb 9, 2013
1,169
2,000
Mpaka kufikia kupata cheo alicho nacho lazima awe mmama ama afanane na mmama mkuu . Wanachakazwa sana!
Mkuu labda Kama nitakuwa nimekuelewa tofauti. Hivi wewe na umri,Elimu,ujanja,udadisi wako wote unaamini kuwa ub.oo unachakaza MWANAMKE!!!!! Unajidanganya mkuu saka maarifa kwanza ujiridhishe ndiyo urudi.

Kama ulichoandika ni kweli wangeanza kuchakaa wale dadapoa wanaokodisha miili yao.
 
brazaj

JF-Expert Member
Jul 26, 2016
16,451
2,000
Taarifa zinaeleza kwamba Mwandishi huyo anayeripotia ITV kutokea Mkoa wa Tanga , amekamatwa na Polisi wa Korogwe na kulundikwa Sero kwa Amri ya Mkuu wa Wilaya hiyo , Ambaye pia ni Mlimbwende wa Tanzania wa miaka iliyopita Mtukufu Basila Mwanukuzi .

Bado haijafahamika kosa lake

Chanzo : Kitenge TV

"Ambaye pia ni Mlimbwende wa Tanzania wa miaka iliyopita Mtukufu Basila Mwanukuzi ."

Hiiiiii bagosha!
 
nyampanaga

JF-Expert Member
Nov 16, 2012
1,106
2,000
Au huyo mwandishi alishapewa pesa halafu hakurusha habari ya DC?
Atakuwa labda ana m diss ki mtindo akirejea enzi za Ulimbwende Wa DC,now kaamua kutoka mazima,kumuonyesha jamaa kuwa enzi na ushikaji wa Kipaparazi zilishapita.
 
Sakasaka Mao

JF-Expert Member
Sep 29, 2016
7,413
2,000
Mkuu labda Kama nitakuwa nimekuelewa tofauti. Hivi wewe na umri,Elimu,ujanja,udadisi wako wote unaamini kuwa ub.oo unachakaza MWANAMKE!!!!! Unajidanganya mkuu saka maarifa kwanza ujiridhishe ndiyo urudi.

Kama ulichoandika ni kweli wangeanza kuchakaa wale dadapoa wanaokodisha miili yao.
Wewe ndiye haujui mambo mengi na si mtafiti.

Hivi mwanamke wa danguro waweza mlinganisha na mwanamke aliyetulizana ama mke wa mtu kwa muonekano na ki siha?

Hata K iliyochezewa kabla ya masaa6 kupita mi nikipewa naijua.

Mb ni kitu kingine wewe, kalhaga baho.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom