TANZIA Mwandishi wa vitabu vya kiswahili na kiingereza Greyson Mhilu amefariki dunia

RIP Mwalimu Mhilu . Moja ya kazi zinazotambuliwa ya kutukuka ni :

Most widely held works by Greyson Mhilu
Mbinu za kung'oa chama tawala : wapinzani kuingia ikulu? : kitabu cha wapiga kura wa Tanzania by Nyambari Nyangwine and Greyson Mhilu( Book )

2 editions published in 2004 in Swahili and held by 19 WorldCat member libraries worldwide

On political change and leadership in Tanzania
Tahakiki vitabu teule vya fasihi kidato cha 3 na 4 ; nadharia, uhakiki na maswali ; ushairi, riwaya, tamthiliya ; malenga wapya, Wasakatonge ... Kilio Cchetu na Orodha by Greyson Mhilu( Book )

1 edition published in 2008 in Swahili and held by 1 WorldCat member library worldwide

Source : Mbinu za kung'oa chama tawala : wapinzani kuingia ikulu? : kitabu cha wapiga kura wa Tanzania (Book, 2004) [WorldCat.org]
 
Ugonjwa upo Dunia nzima mkuu amka acha mawazo hayo tumuombe Mungu atuepushe na hili janga na tufate ushauri wa kisayansi..
Yup janga lipo dunia nzima ndio maana laitwa pandemic, lakini kuna hotspot areas ambazo lazima watu wazijue...

Issue ya hotspot areas ipo na inakuwa applied kwenye issues nyingi, mfano ukiwa US kuna maeneo unatambulishwa kabisa kuna matukio mengi ya uporaji, mauaji kwa silaha, sex offenders n.k
 
View attachment 1864413

Mhilu, alifariki jana akiwa ARUSHA baada ya kuugua muda mfupi. Msiba uko UKUN, BAGAMOYO.

Wakati wa uhai wake amewahi kuwa Mkuu wa Shule EAGLES, Bagamoyo na kufundisha shule mbalimbali zikiwemo LILIAN KIBO na MBEZI BEACH za DAR es SALAAM.

Ameshiriki kuandika vitabu vingi na kuedit vingine chini ya kampuni ya Nyambari Nyangwine.

R.I. P MHILU
Rest in heavenly Peace Mr.Grayson
 
Back
Top Bottom