Mwandishi wa vitabu kwa kiswahili anatafutwa

CONSULT

CONSULT

JF-Expert Member
Joined
May 8, 2011
Messages
229
Points
225
CONSULT

CONSULT

JF-Expert Member
Joined May 8, 2011
229 225
Anatafutwa mwandishi mzoefu wa vitabu vya kiswahili awe jijini Dar es salaam
Awe na muda wa kutosha na awe rahisi kupatikana kila anapohitajika.

Tunamhitaji mwandishi mzoefu wa vitabu vya kiswahili, kuna maandalizi ya kuandika vitabu kadhaa sio vingi , mfano Historia ya jamii, maadili ya jamii, uchumi wa jamii katika maisha na kada ya kawaida sana na kueleweka mitaani. ni mradi mdogo wa pole pole kwa muda wa miezi kadhaa malipo maelewano.

Tuwasiliane kwa PM au weka namba ya simu hapa
 
CONSULT

CONSULT

JF-Expert Member
Joined
May 8, 2011
Messages
229
Points
225
CONSULT

CONSULT

JF-Expert Member
Joined May 8, 2011
229 225
Maelezo yako hayapo clear. Hebu andika kama mtu mzima. Toa maelezo yakinifu.
Shukran sana kwa maelekezo , ni vema niseme sio taaluma yangu ,
Naomba kama hutojali niulize unachotaka kuelewa ili kuniongoza nini cha kuandika kwa ili kueleweka vema kufikia lengo.

Tunamhitaji mwandishi mzoefu wa vitabu vya kiswahili, kuna maandalizi ya kuandika vitabu kadhaa sio vingi , mfano Historia ya jamii, maadili ya jamii, uchumi wa jamii katika maisha na kada ya kawaida sana na kueleweka mitaani. ni mradi mdogo wa pole pole kwa muda wa miezi kadhaa malipo maelewano.

Naomba swali tafadhali
 
Prince Mhando

Prince Mhando

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2014
Messages
5,373
Points
2,000
Prince Mhando

Prince Mhando

JF-Expert Member
Joined Mar 25, 2014
5,373 2,000
mimi ni muandishi kwa kusomea...ngazi ya diploma kama hutojali naomba tuwasiliane....0653688004
 
mvuv

mvuv

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2013
Messages
2,307
Points
2,000
mvuv

mvuv

JF-Expert Member
Joined Feb 12, 2013
2,307 2,000
Sipo Dar. Ni muandishi ila si mzoefu. Uwezo wa kutekeleza majukum hayo ninao mkubwa sana na hautakajuta kufanya kazi na mimi.
Je nije PM? Elimu yangu ni Shahada ya ualimu. Hatutashindwana kwenye malipo hata kidogo.
 

Forum statistics

Threads 1,303,747
Members 501,127
Posts 31,491,166
Top