Elections 2010 Mwandishi wa Uganda asema Kikwete aliiba kura

Sema usiogope mafisadi sema Kitwete kaiba kurax2
Sema usiogope mafisadi sema Kitwete mroho wa madaraka semax2
Sema usiogope mafisadi sema Kitwete kawasafisha mafisadi EL,RA,AC,BMx2
Sema usiogope mafisadi sema Kitwete ksi chaguo letu semax2
Sema usiogope mafisadi sema Kitwete amesaidiwa na TISSx2
Sema usiogope mafisadi sema Kitwete anataka kushika dola na watoto wakex2
Sema usiogope mafisadi sema Kitwete East africa wazee wanakuliliax2:nono: :nono: :nono: :nono: :nono: :nono: :nono: :nono: :nono:
Sema usiogope mafisadi sema Kitwete mungu anakuonax2:nono: :nono: :nono: :nono: :nono: :nono: :nono: :nono: :nono: :nono: :nono: :nono:
Sema usiogope mafisadi sema Kitwete umepora ushindi wa dor. Slaax2:nono: :nono: :nono: :nono: :nono: :nono: :nono: :nono: :nono:
Sema usiogope mafisadi sema Kitwete si unaumwa katibiwe ulaya semax2 :nono: :nono: :nono: :nono: :nono: :nono: :nono: :nono:
 
Mwambieni huyo P. Katunzi kama kweli yeye ni jasiri aandike mambo ya M7... Mbona wao wako na dikteta kwao na wanashindwa kumuandika kama wanavyoshadadia mambo ya nchi jirani??

Ndio Tabu Mtu akizungumza ukweli watu wanakua wakali, Wana CCM ukizungumzia swala la ufisadi walio ufanya wana kaa kimya hawazungumzii chochote ukizungumuzia Kuchakachua Kura wanakuambia ushindi wa kishindo,Ama kweli Mfa maji haachi kutapatapa.
 
Hii makala ina mengi ya kujifunza zaidi ya ujumbe wake mzito ulioandikwa kwa lugha safi.

Apart from Ulimwengu I hardly know a Tanzanian journalist who can write that articulately in English, this speaks volume about our education system n journalists.

Hapa Katunzi hajaandika lolote jipya lakini ufundi wa flow yake unachochoea upya hisia zetu juu ya ubakaji wa demokrasia yetu.
 
Huyo aliyesema waandishi wa Tanzania ni makanjanja yeye ndiye kiongozi wao, kwani na yeye si alitokea huko au amesahau.

1. Mkapa hana tofauti na waliokimbia midahalo, kwa nini alisubiri mpaka siku ya mwisho ya kampeni ndio aseme wapinzani ni kokoto na wamkome, wakati akijua hakukuwa tena na platform ya kuuanika ukanjanja wake, magumashi mangapi yametokea chini ya uongozi wake, sitaki kuyasema wengi tunafahamu, kama angekuwa na akili angekemea kwanza uozo uliojaa ndani ya Chama Cha Magumashi. eti anasema alikuwa nje ya nchi kwa muda mrefu ndio maana hakuweza kujibu, kwani hana imeili adresi? HATUDANGANYIKI habari hizo akawaambie wadanganyika wachache waliopigia 'kula' CCM
 
Si walifanyiwa party wasiandike ukweli, kazi sasa ni kuwachongea CCM kwa Nguvu ya Umma uwazomee, kama walivyomfukuza Zitto bungeni sasa waitwe wezi hao !!!!!!!!!!!!!!
 
Jamani watanzania hebu tumwachie mungu maana tuliomba kabla ya uchaguzi na mungu ndiye mhukumu wa haki
 
Huyu Zoka ni wa kumrudisha Chitungwiza aende akatafute watoto wake dawa yake inachemka.
 
Suala siyo kuwa eti kwao mseveni anawaendesha, kwa mtu mwenye akili zisizo na tope, ndo hapo kujua ya kuwa hivi kumbe kikwete ni mwizi hadi nje ya nchi wanamjua? Thus, una-take note katika hilo, then unajiuliza tufanye nini kuondoa hiyo hali. Kama jamaa ni mwizi, 'na hili siyo kificho, kila mtu anajua ya kuwa kaingia pale ikulu term hii kwa kuiba kura', tumdhibitim vipi.
Huyu jamaa anakera sana, anang'ang'ania madaraka huku hawezi, yaani basi tu. sema sijawahi kuonana nae, namfanya kitu mbaya kwa kweli. wajinga wanaomsupport, waendelee
 
Back
Top Bottom