The Observer - PIUS KATUNZI: Kikwete
Haya jamani, waandishi wa Tanzania mko wapi? Mnashindwa kuwa na ujasiri na kusema wazi kuwa Kikwete aliiba kura na ushindi wake ni batili mpaka msaidiwe na majirani zetu wa Uganda? Ni uoga, kukosa ujasiri au mmepewa chochote kitu mkae kimya? Sasa hivi waandishi wa Bongo wamesha sahau scandal kubwa ya wizi wa kura na badala yake wako bize kudakia mbio za uspika, waziri mkuu mpya, baraza la mawaziri, etc.
Bado tunao waandishi makini. Subiri Mwanahalisi kesho na Raia Mwema, you will be shocked!