Mwandishi wa ThisDay/Kulikoni afariki ghafla

Pole nyingi kwa familia...............inasikitisha sana!!.
Ma-hospitali yetu mkweche yaani hayana kabisa protocol za emergency kama hizi za MI?? seems to me like they missed the golden hour!!. Poleni sana watani.
 
Well, RIP Mhando
Lakini i hope this was natural death not artificial, familia yake itakuwa na records kuhusu hali ya afya yake na kwenye siku kadhaa zijazo tutaendelea kujua undani wa issue yenyewe.
Lakini kama walivyosema wanaJ wengine, we are all in the same way.
 
Rest in peace Mhando. Familia, ndugu na marafiki,Bwana Yesu awape faraja.
 
Inaonekana kama atakuwa amepata Mshutuko/shambulio la moyo-HEART ATTACK.Dalili zinazoelezwa na ughafla wa kifo vinaendana.

Bwana alitoa na Bwana ametwaa.RIP
 
Back
Top Bottom