Elections 2010 Mwandishi wa TBC aliyeambatana na Dr Slaa

Join force with your rival to learn his/her weakness and strength:confused2:Changanya na zako
 
Tupende tusipende TBC wameonyesha kwamba hao ni public broadcaster and not state broadcaster.
 
nyomi ya mzee wa kiraracha ilikuwa imebase maeneo ya kilimanjaro ukilinganisha na Slaa ambaye bi tz nzima.
 
CCM wanawapelekea Usalama WT hao! kwenda kuchunguza kitu hamna lolote!ati demokrasia, shushu huyo!
 
Hayo ni mashinikizo ya wafadhili waliofadhili uchaguzi mkuu 2010 soma hapa UNDP in Tanzania na wafadhili ni hawa UNDP in Tanzania

Hivi mpaka leo karibu miaka 50 baada ya uhuru bado tunapewa pesa kuendesha uchaguzi wa viongozi wetu kweli? Na tujuavyo misaada uhatarisha uhuru hasa wa maamuzi.
 
KATUNI%20(4).jpg
 
Back
Top Bottom