Mwandishi wa TBC aliyeambatana na Dr Slaa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwandishi wa TBC aliyeambatana na Dr Slaa

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by PayGod, Sep 11, 2010.

 1. PayGod

  PayGod JF-Expert Member

  #1
  Sep 11, 2010
  Joined: Mar 4, 2008
  Messages: 1,255
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Hivi mwandishi gani wa TBC yuko kwenye msafara wa Dr SLAA,? maana, lipumba ameambatana na NOELI MWAKALINDILE, Kikwete amepewa pia mwandishi.Naombeni msada wenu .
   
 2. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #2
  Sep 11, 2010
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  Atakuwa mariniiiiiiiiiiii hasani mariniiiiiiiiiiiii
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  Sep 11, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  :confused2::confused2:....then what broda?.....angalia isije kuwa jibu la Kigogo likawa limemaliza thread!...
   
 4. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #4
  Sep 11, 2010
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  Hahaaa i was joking.....sidhani kama kuna mwandishi wa tbc yuko na dr slaa prezidaaa...maaana Sioni kitu kinakuwa reported in details tok a pande hizo
   
 5. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #5
  Sep 11, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,179
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280

  Slaa lazima atakuwa amepewa mwandishi kachero. hiyo wala haina shaka.

  Lakini hakuna shida. Kwani TBC inasikika mpaka wapi? Kisarawe?

  Mimi nina uhakika na 'viwango' vya Chadema.
   
 6. LUSAJO L.M.

  LUSAJO L.M. JF-Expert Member

  #6
  Sep 11, 2010
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 223
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Daah labda ni mwandishi ambaye ndio alikuwa amechukua likizo yake ya mwaka wakamuomba aambatane na Slaa wakati wa likizo, hivo hatakiwi kufanya kazi yake.
   
 7. Negotiator

  Negotiator JF-Expert Member

  #7
  Sep 11, 2010
  Joined: Aug 9, 2010
  Messages: 303
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  hapo ndipo utagundua kwamba Slaa kawachanganya kwelkwel
   
 8. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #8
  Sep 11, 2010
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 14,565
  Likes Received: 1,654
  Trophy Points: 280
  Thubutu, hajuhi kipigo!!
   
 9. mnyikungu

  mnyikungu JF-Expert Member

  #9
  Sep 11, 2010
  Joined: Jul 26, 2009
  Messages: 1,441
  Likes Received: 582
  Trophy Points: 280
  Mi nahisi ni makamba maana naona anaripoti kweli habari za chadema
   
 10. PayGod

  PayGod JF-Expert Member

  #10
  Sep 11, 2010
  Joined: Mar 4, 2008
  Messages: 1,255
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  wakubwa , wakati Dr SLAA alipokuwa anaomba udhamini, walimpa noeli mwakalindile, sasa hana wandishi yoyote ,cause noel yuko na LIPUMBA.ALAFU TIDO anajisifu ETI KILA CHAMA KITAPEWA MUDA WA HEWANI SAWA, KIPINDI HIKI CHA UCHAGUZI
   
 11. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #11
  Sep 11, 2010
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,473
  Likes Received: 4,130
  Trophy Points: 280
  Wanamuogopa Slaa na CHADEMA.
   
 12. PayGod

  PayGod JF-Expert Member

  #12
  Sep 11, 2010
  Joined: Mar 4, 2008
  Messages: 1,255
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Juzi mwandishi wa tbc mkoani manyara aliripoti kuhusu kuharibika kwa chopa , lakini hakuripoti kuhusu mkutano wa chadema ,yaani ukistajabu ya tbc utayaona ya ccm
   
 13. P

  Phillemon Mikael JF Gold Member

  #13
  Sep 11, 2010
  Joined: Nov 5, 2006
  Messages: 8,855
  Likes Received: 2,430
  Trophy Points: 280
  .....NCHI HIII HAINA HAKI....TUNATAKIWA TUOMBE MUNGU SANA...WAKATI KIKWETE ANA WAANDISHI WA HABARI KARIBU 50....LIPUMBA KAPEWA WACHACHE..[nadhani kwa ajili ya muafaka...CUF lazima watakuwa karibu zaidi na ccm kuliko CHADEMA kwa sasa..hilo halina ubishi]......SLAA Waandishi aliopewa wanatakiwa waripoti mambo negative tu...kwa hiyo ukiona wiki inapita TBC hawajatangaza habari za Slaa ujuwe there was nothing negative worthy to speak about............
  Pia naona of recent CCM wameacha kuandika kuhusu chumbani kwa dr slaa..that is good PR Strategy by CHADEMA ni wazi tunatakiwa kuwashukuru kwani kama wangeamua kuwajibu CCM neno kwa neno..kampeni zingehama kabisa toka kwenye kujadili sera na kuhamia kwenye kujadili chupi za wagombea...

  waandishi wa habari tunaomba watoe nafasi sawa kwa wagombea wote..hasa na wamiliki wa hivi vyombo...itakuwa haina sababu kujifanya unapinga ufisadi na kushindwa kuonesha sasa kwa kutoa nafasi sawa..

  kuna magazeti yalishakufa kama KULIKONI naona sasa nayo yamefufuka toka kaburini ...yakiwa na wimbo mpya.

  fisadi papa na nyangumi wote ni mafisadi tu.....waliokuwa wakilalamika ni kwa sababu ya wivu tu wa wao kukosa fursa ya kukaa karamuni na kula..kama alivyowahi kuasa Cardina Pengo...lakini sasa wapo karamuni...unawaona wote wapo kimiya wanaimba wimbo mmoja na kugongeana bilauri.....

  bora mafisadi wanaojipambanua tukawajuwa mapema kuliko mafisadi wanafiki.....
   
 14. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #14
  Sep 11, 2010
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280

  yaani hapo ndipo napomuona TIdo akili yake imefanana na sura yake ya ulevi wa ulanzi..ananichefua sana huyu mzee
   
 15. PayGod

  PayGod JF-Expert Member

  #15
  Sep 11, 2010
  Joined: Mar 4, 2008
  Messages: 1,255
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Hivi huyu TIDO mbona amebadiliki hivi, mi nadhani si yule wa BBC
   
 16. D

  Dopas JF-Expert Member

  #16
  Sep 12, 2010
  Joined: Aug 14, 2010
  Messages: 1,151
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Nadhani Tido ni uzee una msumbua, eti umesema na Ulevi.....? Ndo maana............. achana nao hao.

  Wafanye wafanyacho, mwaka huu hakuna kurudi nyuma. Hata wafunge vyombo vyote vya habari, mwaka huu hatudanganyiki.

  Inawezekana kweli wamemtuma mwandishi, mnafiki kama Tido, anayefuatilia tu Negatives za Chadema ndo maana chopa ilipoharibika aliripoti haraka, mbona haripoti taarifa zingine za kampeni? Ila kama atafahamika nani yupo kwenye msafara huo ni vizuri tumfahamu.

  Kwa bahati Mgombea watu hadi sasa anaendelea vizuri na ziara yake, bila shaka kila siku huyo mwandishi anaomba litokee jambo baya ili apate cha kuripoti.
   
 17. Mongoiwe

  Mongoiwe JF-Expert Member

  #17
  Sep 12, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 521
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 45
  Mwandishi aliyeambatana na JK ni GABRIEL ZACHARIA, lakini kweli Dr. Slaa.....mhmmm! simjui. Hata alipofika Mwanza juzi Mwandishi wao Richard Leo alipewa maelekezo ya kufuatilia uchaguzi wa Tarime. hivyo kama wa Msafara hayupo na wa Mwanza akitumwa nje ya mwanza maana yake akose Coverage.
   
 18. PayGod

  PayGod JF-Expert Member

  #18
  Sep 14, 2010
  Joined: Mar 4, 2008
  Messages: 1,255
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  TBC , WAMPA DR SLAA, MWANDISHI WA HABARI, ambapo leo katika taarifa ya habari ya saa 2, JAFARY HANIU , ameripoti kutoka, Musoma.
   
 19. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #19
  Sep 14, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  Wanaumbuka tarrrtiiiib
  wanajifanya wanacomply lakini kisago kipo palepale
   
 20. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #20
  Sep 14, 2010
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  ha ha ha
  wamebana mwisho wameachia
   
Loading...