Mwandishi wa Mwananchi Azory Gwanda bado hajapatikana?

MWALLA

JF-Expert Member
Dec 12, 2006
16,992
10,497
LEO NI SIKU YA NGAPI WAKUU...? HYU MUTU HAJAONEKANA?
gwanda.jpg
 
Alitekwa tarehe 21/11/2017 na tarehe 28/02/2018 alitimiza siku 100 Endelea kuongeza kutokea hapo. Ikishafika hapo huwa hawaendelei ila ni kumuomba Mungu tu lakini kwa imani kuwa atapatikana inshaalah
 
Hivi yule mkuu wa mkoa fulani hajui huyu alikopelekwa?
Tanzania siyo salama. Ukiwa na mawazo tofauti tu ww lazima uchukuliwe na watu wasiojulikana. 26/4
 
Back
Top Bottom