Mwandishi wa Kwizera Fm George Bahamu atupwa porini

Hii habari nzima ni ya kupika!

Ngara tangu lini ikawa mkoa wa Tabora?

Tangu lini radio kwezira akawa mkoani Tabora?

Tangu lini maeneo ya Ipuli Tabora yakawa ni msitu?

Kamanda gani wa polisi asiye na weledi kiasi hicho kuweza ku conlude tukio ambavyo lazima linatakiwa liwe anavyotaka yeye?

Yaani mharifu wa tukio fulani lazima afanye a,b,c! Kweli hayo?

Kwa mfano mwizi kuvunja nyumba kuingia na kuchukua bahasha yenye nyaraka na kuacha kuchukua pesa, utahoji kwanini mwizi hakuchukua pesa, kweli!

Waandishi tujitahidi sana kuripoti mambo ya kweli.

Hata kama tukio hilo limetokea kweli huko Ngara, lakini mwandishi kuhusianisha Ngara na Tabora ni kuonesha umamuma wa kiandishi uliopitiliza kiwango cha Bomberdier Q-400!
 
N

Nadhani hukusoma habari vizuri. Huyu ni mwandishi wa Kwizera Fm ila yupo kituo cha Tabora, Kuna vituo vingi vya Radio Kwizera kingine kipo Shinyanga, Bukoba, Kigoma na Geita.
 
Mwambieni aache uongo huyo. Mtandao wa Tigo kwa Tabora haujawahi kupatikana nje ya Mji. Sasa hapo anawazuga yuko Porini halafu eti hiyo namba ya Tigo ipatikane hewani?????? Kwa mnara upi????? Huuu nao ni UNONDO mwingine huyo aangaliwe vizuri.
 
Nadhani hukusoma habari vizuri. Huyu ni mwandishi wa Kwizera Fm ila yupo kituo cha Tabora, Kuna vituo vingi vya Radio Kwizera kingine kipo Shinyanga, Bukoba, Kigoma na Geita.
Mkuu ulilosema kuhusu radio, waweza kuwa sahihi, embu rudia kusoma thread nzima uoanishe na nilichokisema.
 
Kamanda anasema "Mtu alotekwa hawezi kuachiwa kirahisi hivyo""
Kumbe kwa Mo ilikuwaje? Ye so ndo aliachiwa kindezi kabisa na bado wakuu hawakumpinga wakanywa nae na chai kabisa!?
 
Kwa ulivyokalilishwa
Mkuu hapa sio fb!! Na inaonekana kumbe kweli hujui tofauti iliyopo kati ya God, na gods daaaa!! Nilidhania labda ni typing error tu!! Pole mkuu, sasa badala ya kutoa povu ulitakiwa ushukuru kuwa umejua!!
 
Nadhani hukusoma habari vizuri. Huyu ni mwandishi wa Kwizera Fm ila yupo kituo cha Tabora, Kuna vituo vingi vya Radio Kwizera kingine kipo Shinyanga, Bukoba, Kigoma na Geita.
Radio Kwizera ipo Ngara na aliyetekwa na kutupwa msituni ni reporter wa hiyo radio wa Tabora!
 
Kwa povu lile la CPR ...mmmmmm...???
Hata kama umechukua mke wa mtu. Hakuna sheria inayomhurusu mtu kuteka hata kama umemchukulia mke wa mtu. Kingine kusema umetekwa halafu haujatekwa nalo ni kosa lipo katika kitengo cha Fraud. Kwahiyo hata mimi ukinikosea naruhusiwa kukuteka?
 
Back
Top Bottom