Mwandishi wa Kimarekani akamatwa Tarime: Aingia nchini kinyume cha sheria; apiga picha waliouawa

huyo sio mmarekani bana
TEMBI kama kweli ni mmarekani mngemsikia balozi kaisha toa tamko
wamarekani wa wabaya kwa raia wa na media ya marekani kama twitter ,fb na nyinginezo ziko well protected, basi waseme anafanya kazi media gani
watu tu twitee hiyo kitu
hayo maigizo tu ya kikwete
polisi wamejuaje ni mwandishi wa habari bila kujua anafanya shirika gani? haya uganda anawakirisha shirika gani?
jina lake TEMBI duh hao ni wenzetu miafrika anauraia wa marekani wamempa dili hapo kutupumbaza.
 
dah sijawahi ona serikali dhaifu km hii. kweli mliochagua mgamba mmetuangusha saana. fikiria km kamanda wa polisi yule mr massawe na ile fikra potofu ya mtu wa singida na mtu wa tarime wapi na wapi kusaidiana kasahau kuwa yeye katoka moshi na yupo tarime. serikali hii ya hovyo inaajili askari hovyoo kabsaa km yule massawe.
Usishangae hao Ndio Viongozi wetu Kazi wamepeana kwa Kujuana Juana au Msemo wa Riz1 Wapo tarime kimjini mjini..

Massawe yeye kwao Moshi Na TArime Wapi Na Wapi. Kamanda Massawe ni Mbaguzi tena Muwazi...
 
Yale yale ya Sophia Simba kwamba CHADEMA wanafadhilia na EU kuleta vurugu.
Mabalozi wa EU walipomwambia athibitisha madai hayo akaingia mitini.

Sasa kama kweli CCM wanadai huyo mwanahabari wa Marekani ametumwa
na CDM naona hawajipendi, tofati na EU, Marekani haitishiwi nyau, CCM itakuwa
imemuweka pabaya JK in international arena. Niliwahi kusema CCM IS A MENTAL
DISEASE once you're in CCM then you can't think and reason normally because
of the VIRUS that causes mental illness!

Sofia Sima hawezi ongelea hilo leo kwa kuwa wiki hizi yupo anakula mabifu ya wamarekani, labda mpaka arudi likizo, anaogopa wasijemshtukia, ila state alikjificha nchini Marekani siri yangu. Hahahaha duniani hakuna siri wajameni
 
Siku hizi mambo mengi ni hi-tech. Its a digital world. Unaweza kupiga picha,kuchukua sauti au kuandika maandishi kwenye tukio flani na sekunde hiyohiyo uka-upload na kutuma sehemu yeyote duniani,na watu wakaweza kwa muda huohuo kuona kwenye TV,kusikiliza redioni au kusoma magazetini. Mtu akikamata kamera na kuharibu mikanda au memory cards haisaidii. Huyo Mmarekani labda alishatuma zamani habari zake zote alizotaka na mission yake ilishakuwa imetimia.Nadhani inabidi tuwawezeshe vizuri wana usalama wetu kwenye teknolojia ya habari na mawasiliano(TEKNOHAMA) ili kukabiliana na challenges za teknolojia inayobadirika kila siku.

Mbona wamechelewa sana, na ujue uandishi wa habari wa yule dada mmarekani ni miwani tu ya kufichia ushushushu wake, yule ni wale wale wa mafya, na yuko tayari kwenda jela ili ayarushe mengi yanbayendelea. Si umeona wamemshtukia na kumkabidhi kwa idara ya uhamiaji ili wamrudishe alikotoka, wanaogopa joto ya jiwe aliyopata Osama. Hahahahaha
 
Kupiga picha na kuzionyesha duniani kote ni kosa? What's juctice system ya Tanzania pekee huku duniani? Kikwete unaogopa kuonekana kwa picha za wananchi wamepigwa risasi za kichwa kama Asaad na Gaddaffi anavyouwa wapinzani kwa sababu ya kumkataa.

Kikwete na serikali yenu ya ccm dunia imeshajua na sasa moto utahamia UN na tutaona kama mtaweza kuzima na kudanganya tena. Huwezi ukamkamata mwandishi wa habari na kumweka ndani kwa sheria of no intend to harm the nation, this is not a threat to the country ni only threat to image of kikwete na ccm party. Mkae mkijua hamtashinda lolote na sasa ndio mmeweka hii issue kwenye international map. Kuzoe kuwauwa watanzania na mkafikiri ni vitu vya kuficha tutaona haya maamuzi kama hayatakuwa moja ya inhuman act according to UN human right violations. Picture speaks thousand words and tutaziona tu hata kama kikwete hataki tuzione watanzania na dunia kote kikwete anapokwenda wataziona.

Kikwete na serikali yako mnategemea sana funds za donors na tutahakikisha donors wajue ni watu wa namna gani wanaiba na kutumia pesa za wananchi kwa manufaa yao wenyewe na kuwanyima watanzania their rights to validate the government. Sijawahi kusikia nchi yenye wauaji africa kama hii. Lets see how long the reporter will stay in jail while us embassor sit in Dar. You can't win this fight, Wamerekani unafikiri hawajachoka kummpa kiwkete misaaada na loans wakati nchi zao na wananchi wao wanapatashida za kimaisha? Unafikiri mabalozi wa nchi tajiri hapo Dar ni wajinga kama ccm? Tutaona kama misaada na credibility ya kikwete na ccm itaendelea kusikika tena duniani, its over jk lets us have own country. Donors to stick with Chadema at this time its not a crime, they are suporting credible leaders and more criminals.

Again picture speaks thousand words. Kikwete don't want the World to see the following because jk knows the impacts of images, tutazifiisha tupeni muda
Syrian forces fire on protesters; 8 killed - CNN.com


Hawa mashujaa wetu waliopigwa risasi vichwani.

230ef791453fa55107162a15aab0.jpeg


Mapambano Ndio Yameanza, Tutaona nani Atabaki Amesimama ni jk au Watanzania.
Huyu yaelekea alikuwa Shabiki wa Marekani Au pengine alishaomba Uraia wa USA Ukizingatia Marehemu ni Mwekundu Pengine Ni Red Indians huyu..! So Marekani Wameumia Sana Kuona Chata Yao Wakatuma Mwandishi Nae Katupwa Lupango ya Mwaka Mmoja... Baba Mweusi Mtoto Mwekundu.. Babake kweli huyo. JK Mwisho wa Siku atasema Tukio lililotokea Nyamongo halitatokea Tena... Ushauri Wangu Amfukuze kazi Kamanda Massawe kwa Lugha chafu Ati Watu wa Singida na Tarime Wapi na Wapi huku yeye Massawe katokea Kilimanjaro..Kweli Nyani Haoni Kundule..Shimbonyi meku! Ubaguzi unazidi Kukua. Nimeamini kama Mpoki Cement haiuzwi Super market
 
huyo sio mmarekani bana
TEMBI kama kweli ni mmarekani mngemsikia balozi kaisha toa tamko
wamarekani wa wabaya kwa raia wa na media ya marekani kama twitter ,fb na nyinginezo ziko well protected, basi waseme anafanya kazi media gani
watu tu twitee hiyo kitu
hayo maigizo tu ya kikwete
polisi wamejuaje ni mwandishi wa habari bila kujua anafanya shirika gani? haya uganda anawakirisha shirika gani?
jina lake TEMBI duh hao ni wenzetu miafrika anauraia wa marekani wamempa dili hapo kutupumbaza.
Kwahiyo Hutaki na unakataa uraia wake kwa jina lake tu eeh! Hata Daudi Balali Governor wenu alikuwa ni Mmarekani au! alilindwa na hamkuona wala kujua kama ni kweli alikufa au la. usije sema Obama nae sio mmarekani jina lake linapatikana Kenya sasa chokoza tu uone. Ukistaajabu ya Hosni Mubarak utayaona ya ******. anacheka cheka tu..
 
Yale yale ya Sophia Simba kwamba CHADEMA wanafadhilia na EU kuleta vurugu.
Mabalozi wa EU walipomwambia athibitisha madai hayo akaingia mitini.

Sasa kama kweli CCM wanadai huyo mwanahabari wa Marekani ametumwa
na CDM naona hawajipendi, tofati na EU, Marekani haitishiwi nyau, CCM itakuwa
imemuweka pabaya JK in international arena. Niliwahi kusema CCM IS A MENTAL
DISEASE once you're in CCM then you can't think and reason normally because
of the VIRUS that causes mental illness!



It's callled CCM-Encephalopathy Virus (CCM-EV), which causes Infectious Encephalopathy ((IE) in human being.

Epidemiology:
The virus, CCM-EV belongs to the Rhabdoviridae family and causes a severe encephalopathy. The infected subject is prediposed to the brain tumor due to pathological lesions caused the virus. The virus is transmitted directly into the patient through ears by the contaminated sound from the infected member of CCM (every CCM member is infetced by default). The disease is highly endemic in some area of Tanzania and has been associated with poverty and ignorancep; the most population at risk being the societes with low level of civic education that include mainly the peolpe above 50 years of age (Peasant et al., 1996).

Clinical signs and symptoms:
The infected patient will show a number of clinical signs including amnesia, lack of confidence, immorality that range from stealing to grand corruption. The pathognomonic sign of the disease is ability to lie and manipulate wadanganyika for the personal gain.

Diagnosis:
You can't miss the the pathognomonic unless you are one of them, the infected ones.

Treatment and prevention:
It's not easy to treat the beneficiaries and oldies because of their mindset, but civic education can help the vast majority from infection.
CHADEMYCINE is the drug of choice.
 
yule si mwanachama wa Chadema yule ni miongoni mwa wakusanya ushaidi wa mahakama ya kimataifa. kwani lengo lake ni kushitaki makamanda wa jeshi la polisi walioshiriki mauaji yale na viongozi wa serikali wazembe wapo zaidi ya watano kwani wamemuona mmoja tu

wamekusanya ushahidi wa kutosha na wao ndio waliopeleka canada taharifa hizo na inasemekana wanamazungumzo baina ya viongozi wa serikali yetu na wakuu wa mgodi. wamekamata data za wakuu wa TRA pia wakiwasaidia kukwepa kodi lakini si sehemu ya kesi watayofungua canada
 
Yale yale ya Sophia Simba kwamba CHADEMA wanafadhilia na EU kuleta vurugu.
Mabalozi wa EU walipomwambia athibitisha madai hayo akaingia mitini.

Sasa kama kweli CCM wanadai huyo mwanahabari wa Marekani ametumwa
na CDM naona hawajipendi, tofati na EU, Marekani haitishiwi nyau, CCM itakuwa
imemuweka pabaya JK in international arena. Niliwahi kusema CCM IS A MENTAL
DISEASE once you're in CCM then you can't think and reason normally because
of the VIRUS that causes mental illness!
Mbinu za kizamani sana mkuu. Siku hizi tunaenda kwa dot.com hatusubiri balozi wa nyuma 10 atueleze porojo. Chadema ni cha Watanzani kwa ajili ya Watanzania.
 
Back
Top Bottom