Mwandishi wa Hotuba Wa Rais BOMU Lugha .....TETE...............Aibu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwandishi wa Hotuba Wa Rais BOMU Lugha .....TETE...............Aibu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Muke Ya Muzungu, Jan 6, 2011.

 1. Muke Ya Muzungu

  Muke Ya Muzungu JF-Expert Member

  #1
  Jan 6, 2011
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 3,451
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  Honeni mwandishi wa spichi wa Rais anavyo haribu lugha ya watu. Kumbe ndo maana spichi za Kikwete zilikuwaga mbovu. Hii ni aibu kwa taifa la Tanzania. Huyu ndo january makamba kwa maneno yake mwenyewe. This guy is really dumb, i wonder how he became presidential speech writer


  Dear Friends,

  I am pleased to unveil my personal website - January Makamba.com - which I have been putting together for some time. It is basically a source of information on Bumbuli, my personal self, and events and activities we will be pursuing there. There is also a story (My Story) about my journey from "Who am I?" tab. The site is still work in progress - we will attempt to have a Swahili version and a discussion forum or chat room in the coming weeks.

  What I am most excited about the site is that we have managed to broadcast Live TV from Tanzania. You can get it from "media" tab. For now, we are testing ITV. TBC and may be other channels may come later). I think this will help our fellow Tanzanians in the Diaspora to keep abreast with news at home. I also encourage you to visit and sign up at Bumbuli Development Corporation... Coming Soon! which is still under construction. This will be a corporate website for the upcoming Bumbuli Development Corporation, a vehicle for Bumbuli transformation. It will also be a much comprehensive site on information about solutions we are working on in Bumbuli.​
  January Makamba
   
 2. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #2
  Jan 6, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Nikiona neno 'makamba' nasikia ukakasi sijui kwa nini!!! Hali ikiendelea hivi itabidi nimwone dokta.
   
 3. Ntemi Kazwile

  Ntemi Kazwile JF-Expert Member

  #3
  Jan 6, 2011
  Joined: May 14, 2010
  Messages: 2,145
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Simpendi Makamba lakini pale ulipo highlight mbona kimombo kipo bomba kabisa? Au sijakuelewa unachotaka kusema
   
 4. L

  LAT JF-Expert Member

  #4
  Jan 6, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  my personal self, what is this..? .....above all this editorial has no introduction, background info, objective main body and end remarks, too much repititions, hamna kichwa wala miguu kwenye uandishi huu..... kiingereza kibovu sana ... maudhui ya uandishi huu ni nini...? au ushabiki fa facebook

  alikuwa na maana ya Bumbuli Development cooperation au Corporation (limited liability company/association with public/state owned shares) ..... mimi simwelewi huyu maharage ya bumbuli

  @MGsalon... mkuu umeinyaka wapi hii... fb au..?
   
 5. m

  mzambia JF-Expert Member

  #5
  Jan 6, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 885
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Jamani kasome pcm nini huyu maskamba na iweje awe mwandishi wa rais wkt hakuna kitu katika kiingilishi?
   
 6. Bantugbro

  Bantugbro JF-Expert Member

  #6
  Jan 6, 2011
  Joined: Feb 22, 2009
  Messages: 2,684
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Wee acha tu...hii ndio IKULU first eleven!
   
 7. kisururu

  kisururu JF-Expert Member

  #7
  Jan 6, 2011
  Joined: Jan 3, 2011
  Messages: 332
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Like father like son!
   
 8. O

  Optimistic Soul JF-Expert Member

  #8
  Jan 6, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 205
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ingia kwenye blog yake, kasoma kitopeni primary school, halafu akaenda marekani,ndicho alichorudi nacho hicho! kumbe ndio maana hotuba za raisi kingereza kimeshake ee! aibu kuanzia juu mpaka chini
   
 9. T

  Teroburu Member

  #9
  Jan 6, 2011
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 41
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Mgsalon

  Sikubaliani na wewe. Nadhani wewe ndiye unayepigwa chenga na umombo. January ametumia "impeccable English".
   
 10. N

  Nyauba JF-Expert Member

  #10
  Jan 6, 2011
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 1,098
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  January ametumia American style na kwa wale ambao tunamazoea ya UK style lazimaa kugunaa.. nimeisoma profile yake amejitahidii sana kujieleza kwa mapana na amekuwaa muwazii. Nampongezaa kwa hatua hiyo.

  Nimefanikiwa kumfahamu sasa kwa 45% japo hata kukutana naye bado.
   
 11. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #11
  Jan 6, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,336
  Likes Received: 22,188
  Trophy Points: 280
  Raisi mwenyewe ni bomu ndio maana anaandikiwa hotuba bomu
   
 12. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #12
  Jan 6, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  ntakusindikiza sweetie na matibabu ntayalipia..!!!
   
 13. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #13
  Jan 7, 2011
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,203
  Likes Received: 867
  Trophy Points: 280
  Kweli, lugha inamgonga kiasi; aliandikaje thesis yake ya masters kama lugha imepangraanyika vile?
   
 14. L

  LAT JF-Expert Member

  #14
  Jan 7, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  take my words..... this website is a big crap.....he mention about Bumbuli Development Corporation but of the whole of the website is about January makamba...who i am... my life

  this is some of his best articles enside... poor english and explanations lack integrity

  "The majority (58%) of the economically active adult population in Lushoto is made up of women. Ninety percent of women are engaged in agriculture, compared to 83 % of men, who are three times more likely than women to be engaged in paid employment (5.7% against 2% of women)."

  i am sick now
   
 15. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #15
  Jan 7, 2011
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,470
  Likes Received: 5,852
  Trophy Points: 280
  Kwa nini asitumie kisambaa tu?
   
 16. f

  furahi JF-Expert Member

  #16
  Jan 7, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 947
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Mwandishi na msomaji wote lughaless! Hata akipatikana mwandishi mzuri, kama msomaji ni kimeo basi haina maana.
   
 17. Arafat

  Arafat JF-Expert Member

  #17
  Jan 9, 2011
  Joined: Nov 17, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0

  WHAT IS IMPECCABLE ENGLISH? There is no such a thing under the sun, the paras , I see above is not of the Presidential dignity, yes it can be acceptable but if it is a material from standard four or five Pupil and that Pupils is not of the 1950s; nevertheless his post at white house was not to prepare speeches but speechless and to carry the JUJU but they disqualified him because despite of that post the grander was still still falling down before the Public
   
 18. K

  Kishalu JF-Expert Member

  #18
  Jan 9, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 850
  Likes Received: 232
  Trophy Points: 60
  shule zetu ndiyo hizo maana anaonekana kuwa na kiswahili cha form four tu kutokana na hiyo paragraph yake lakini tatizo linakuja kuwa eti alikuwa mwandishi wa rais wa Tanzania ina maana hakuna wataalum ktk fani hiyo ya kumsaidia rais katika kuandaa hotuba zake ambao wamebobea ktk fani hii?au kujuana huko mpaka inakuwa aibu

  Kujuana sio tatizo ila mbebe mtu na Qualification zake na umweke panapositahili kulingana na professional yake
  tuachane na kazi ni kazi atajifunza
   
 19. whistle blower

  whistle blower Member

  #19
  Jan 9, 2011
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 84
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Mimi nashauri tutumie lugha yetu ya taifa, Kingereza ni lugha ya kigeni ndio maana inatusumbua, hata uelewa mashuleni unkua mgumu kwa watoto wetu kwakua tunatumia lugha ya kigeni kufundishia,
   
 20. Ngisibara

  Ngisibara JF-Expert Member

  #20
  Jan 9, 2011
  Joined: Jan 2, 2009
  Messages: 2,083
  Likes Received: 431
  Trophy Points: 180
  Mara nyingi watasha huangalia objective na si lugha hivyo si ajabu
   
Loading...