TANZIA Mwandishi wa habari wa Azam, Nicolaus Mac Ngaiza amefariki kwenye ajali

Mnyama NISSAN XTRAIL NT30... IMEKULA MZINGA TAA IKO ON...
FB_IMG_1630946163156.jpeg
 
Taarifa
Pichani mwili wa Nicolaus ngaiza, mwandishii wa #AzamTv baada ya kupata ajali kwa gari lake kukutana uso kwa uso na lori .....wilaya ya muleba!

Polenii sana wana kagera
 
Pole kwa familia na Mungu awafanyie wepesi katika kipindi hiki kigumu cha majonzi. Pumzika kwa amani Nico
 
Nikiona hivi najisemea moyoni ntaacha tabia yangu ya kuovertake,ila siku nikiwa safari ndefu unakuta milori kama 6 iko mbele yako haiendi halafu mahali pamenyooka,unajikuta tu mkono umewasha indicator na mguu unakanyaga mafuta...
Kama ni salama, overtake tu
 
Gari za kisasa zina speedometer 340kph. Kwa barabara za Mikindani Lazima ulambe vumbi na rambirambi juu

images - 2021-10-04T122146.207.jpeg
 
Back
Top Bottom