Inahusiana na nini hiiCCM HII ITAMALIZA WATU
Hiyo Xtrail inahamasisha Sana kukanyaga wese niliwahi pata Tyre burst usiku mnene kipori baada ya ubena Zomozi nikiwa 140kph yaan Ni Mungu tu aliniponya.
Tunataka damuR.i. p maandishi,ila kwanini wafanyakazi wa Azam hufa kwa ajali hasa watangazaji?
Thanks mkuuMy heartfelt condolences to the family and friends of the departed
Daah. Nimeacha hizo speed za ku-risk maisha.Halafu inapindukaga kizembe sana hio xtrail!
MmhNissan siyo gari
Xtrail inatembea balaa. Halafu nyepesi balaaMnyama NISSAN XTRAIL NT30... IMEKULA MZINGA TAA IKO ON...View attachment 1926829
Nikiona hivi najisemea moyoni ntaacha tabia yangu ya kuovertake,ila siku nikiwa safari ndefu unakuta milori kama 6 iko mbele yako haiendi halafu mahali pamenyooka,unajikuta tu mkono umewasha indicator na mguu unakanyaga mafuta...Mnyama NISSAN XTRAIL NT30... IMEKULA MZINGA TAA IKO ON...View attachment 1926829
Poleni sanaDuu Ngaiza before alikuwa Kasibante FM radio
Rip.
Kama ni salama, overtake tuNikiona hivi najisemea moyoni ntaacha tabia yangu ya kuovertake,ila siku nikiwa safari ndefu unakuta milori kama 6 iko mbele yako haiendi halafu mahali pamenyooka,unajikuta tu mkono umewasha indicator na mguu unakanyaga mafuta...