DED hutangaza matokeo akisimamiwa na Polisi.DED amechaguliwa na kiongozi wa CCM na CCM ndicho chama kinachounda serikali.
Hii tabia ya kutekana inajulikana wazi inafanywa kwa maslahi ya CCM, hivyo usipoteze muda wako kuitenga CCM, viongozi wake, na utekaji, utachekwa.
DED anateuliwa na CCM.
Polisi anawajibika CCM.
Mwenezi was CCM alimwagiza IGP ashugulike na vijana wake.
Hiyo chain ya uongozi na mipaka ya majukumu ndio siri ya baadhi ya watumishi kuvujisha siri.Kila mtu ameota pembe.