Mwandishi wa habari adaiwa kubaka ndugu wa mke. Aunguzwa kwa maji ya moto

Sangarara

JF-Expert Member
Sep 29, 2011
13,100
5,649
Habari za jioni wanajamvi,

Habari za hivi punde ambazo nimepenyezewa na mdaku mmoja kutoka pale mjini Moshi zinatonya kwamba mwandishi wa habari aliyefahamika kwa jina la Patrick Chambo ambaye amekuwa akiandikia magazeti ya Nipashe,amepatwa na mkasa mkubwa ambao hatausahamu katika maisha yake yote hadi atakapokufa.

Taarifa inasema hivi,

Chambo anadaiwa kumbaka ndugu wa mke wake wiki iliyopita ndani ya nyumba yake katika mji wa Bomang'ombe wilaya ya Hai,Kilimanjaro akitumia upenyo alioupata baada ya mke wake kwenda kazini.

Baada ya kitendo hicho,binti huyo anayedaiwa kuwa na umri wa miaka 15,alipiga yowe hadi kazini kwa ndugu yake akiweka wazi kitendo alichofanyiwa na hapo safari ya kuelekea nyumbani ikaanza ambako Chambo alikutwa hana hili wala lile.

Kitendo hicho kinadaiwa kumuumiza mke wake na hapo akaweka maji jikoni na yalipopata moto wa kutosha alimwagia mme wake sehemu mbali mbali za mwili na kuunguzwa vibaya,lakini issue bado imeminywa na haijafikishwa polisi na hata binti yule hakupelekwa hospital kwa ajili ya vipimo.

Mdaku wangu aliyenipenyezea hiyo issue anasema kwamba Chambo ameshawavuruga ile mbaya wadogo zake na mke wake wapatao watatu na sasa amekumbana na ile maneno 'za mwizi 40' ikizidi hapo huyo siyo mwizi.

Mkasa huu unatufundisha nini?

Nawasilisha.
 
Sasa wewe amekutuma nani ulete hapa.

Kama wao wameamua yamaliza unataka tujadili nini hapa?
 
soma hapo mwisho,nimeuliza wanajav mkasa huu unatufunisha nini?,kama huwezi kuchangia piga kimya,nadhani ndo umeamka kutoka usingizini,pumzika kwanza akili itulie
 
Mpaka leo kuna watu wanabaka na machangudoa wote hawa!
 
....badala ya kufungwa miaka 30, kamwagiwa maji ya moto tu...

huyu jamaa anabahati sn.

na hawez acha iyo tabia.
 
Hivi ni dhambi kumla shemeji?
kama mtaelewana akavua pichu mwenyewe?
nauliza tu?
 
Sasa wewe amekutuma nani ulete hapa.

Kama wao wameamua yamaliza unataka tujadili nini hapa?

Wanaita Uhuru ila no utahira,Fanya ya kwako yasiyokuhusu waachie wahusika
 
heeee huyo shemeji naea alikuwa anawafukuza kijanja
Mke nae kaamua kumpa mume adhabu akienda jela miaka selasini upweke utamuua
 
Back
Top Bottom