TANZIA Mwandishi nguli wa Fasihi nchini, Edwin Semzaba afariki dunia

Du jamani
Kwa wale Wana fasihi NA WANA UDSM TUMEPATWA NA MSIBA MKUBWA SANA LEO

EDWIN SEMZABA mwandishi wa kitabu maarufu cha Ngoswe penzi kitovu cha uzembe. Amefariki dunia leo.

Bwana ametoa na Bwana ametwaa. Jina la bwana lihimidiwe
Du jamani. RIP baba, Kitabu nilikisoma skuli hicho
 
Nilisikia agizo la hio tamthiliya kupitia RTD miaka hio kama igizo kumbe baadaye nikiwa shule Nilisoma hio tamithiliya yako live - hongera sana, umeelimisha wengi kupitia tamthiliya yako, japo wengi bado wanafanya hayo hayo ya Ngoswe kwa namna mbalimbali, tutakukumbuka Semzaba.
 
R.I.P mkali wa fasihi,hakika kazi zako bado zitaendelea kulitukuza jina lako..

Lakini si atakuwa keshakula chumvi sana huyu mzee au,kwa mnaomjua kapicha basi alikopiga hivi karibuni kabla ya umauti.
 
Yule mwandishi nguli wa Fasihi Tanzania, Edwin Semzaba afariki dunia (RIP).

Kwa wale wana Fasihi na wana UDSM & Tanzania kwa ujumla tumepatwa na msiba mkubwa sana leo.

Edwin Semzaba ni mwandishi wa kitabu maarufu cha Ngoswe - Penzi kitovu cha uzembe.

Bwana ametoa na Bwana ametwaa. Jina la bwana lihimidiwe!!
 
  • Thanks
Reactions: MTK
RIP Semzaba mwanafasihi mahiri. Umeondoka lakini kazi zako zitasomwa vizazi vingi.
 
Mbele yako nyuma yetu
 

Attachments

  • 1453056239902.jpg
    1453056239902.jpg
    15.6 KB · Views: 106
Back
Top Bottom