Mwandishi Murtadi aliyemtusi Mtume SAW yu mahututi kwenye mashine ya kupumulia

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
8,991
17,887
Mwandishi murtadi aliyemtusi Mtume SAW yu mahututi kwenye mashine ya kupumulia

Aug 13, 2022 03:25 UTC

Msemaji wa Salman Rushdie, mwandishi Murtadi wa kitabu cha Aya za Shetani kinachomtusi na kumvunjia heshima Bwana Mtume Muhammad SAW, na ambaye ameshambuiwa kwa kuchomwa kisu mjini New York Marekani, ametangaza kuwa, baada ya kufanyiwa upasuaji uliochukua saa kadhaa, hivi sasa Rushdie anasaidiwa kuvuta pumzi kwa mashine ya kupumulia, lakini hawezi kuongea.

Kwa mujibu wa shirika la habari la IRNA, Andrew Wylie, ameeleza kwamba, baada ya kufanyiwa upasuaji uliochukua saa kadhaa, sasa hivi Rushdie anasaidiwa kuvuta pumzi kwa mashine ya kupumulia, hata hivyo hana uwezo wa kuongea.

Wylie ameongeza kuwa, kuna uwezekano Rushdie akapoteza jicho lake moja, mishipa ya mkono wake imeharibiwa vibaya na kwamba kisu alichochomwa kimeliathiri vibaya ini lake pia.

Salman Rushdie mwenye umri wa miaka 75, raia wa Uingereza na Marekani aliyeandika kitabu cha Aya za Shetani kinachomvunjia heshima Bwana Mtume SAW, alishambuliwa jukwaani hapo jana wakati alipokuwa akijiandaa kutoa mhadhara kusini magharibi ya jimbo la New York.

Polisi ya New York imetangaza kuwa, mtu aliyemshambulia Rushdie ametambuliwa kuwa ni Hadi Matar, kijana mwenye umri wa miaka 24 mkazi wa New Jersey.

Hata hivyo taarifa ya polisi haijataja uraia wa mtuhumiwa huyo ambaye tayari amekamatwa na kuwekwa kizuizini na wala haijabainisha kama ana rekodi ya uhalifu au la.

Mwaka 1988, murtadi Salman Rushdie aliandika kitabu cha matusi cha Aya za Shetani, ambacho ndani yake kinamvunjia heshima Nabii Muhammad SAW. Kitendo hicho cha Rushdie kiliwakasirisha na kuwaghadhibisha mno Waislamu duniani.../

4c0w580a15f46624hk3_800C450.jpg
 
Mwandishi murtadi aliyemtusi Mtume SAW yu mahututi kwenye mashine ya kupumulia

Aug 13, 2022 03:25 UTC

Msemaji wa Salman Rushdie, mwandishi murtadi wa kitabu cha Aya za Shetani kinachomtusi na kumvunjia heshima Bwana Mtume Muhammad SAW, na ambaye ameshambuiwa kwa kuchomwa kisu mjini New York Marekani, ametangaza kuwa, baada ya kufanyiwa upasuaji uliochukua saa kadhaa, hivi sasa Rushdie anasaidiwa kuvuta pumzi kwa mashine ya kupumulia, lakini hawezi kuongea.

View attachment 2322828
YESU na Yahweh hata uwatukanaje wafuasi wake hawarusisiwi kukufanya chochote na inatakiwa tuendelee kukupenda, tofauti na Mohammed na Allah ukiwatukana wafuasi wake lazima wakatafute wakushuhulikie
 
Matusi katoa mwaka 1988 ila anaumwa mwaka 2022.. adhabu ya kuumwa alipaswa apatwe wakati anatukana..sio miaka 30 mbele

Isijekuwa magonjwa ya uzee yamemkuta maana ana miaka 75. Ambapo watu wengi wa umri huo ni wagonjwa wagonjwa

Maana hata watu wa Mungu huwa wanaumwa pia na kufariki pia
 
Mwandishi murtadi aliyemtusi Mtume SAW yu mahututi kwenye mashine ya kupumulia

Aug 13, 2022 03:25 UTC

Msemaji wa Salman Rushdie, mwandishi murtadi wa kitabu cha Aya za Shetani kinachomtusi na kumvunjia heshima Bwana Mtume Muhammad SAW, na ambaye ameshambuiwa kwa kuchomwa kisu mjini New York Marekani, ametangaza kuwa, baada ya kufanyiwa upasuaji uliochukua saa kadhaa, hivi sasa Rushdie anasaidiwa kuvuta pumzi kwa mashine ya kupumulia, lakini hawezi kuongea.

Kwa mujibu wa shirika la habari la IRNA, Andrew Wylie, ameeleza kwamba, baada ya kufanyiwa upasuaji uliochukua saa kadhaa, sasa hivi Rushdie anasaidiwa kuvuta pumzi kwa mashine ya kupumulia, hata hivyo hana uwezo wa kuongea.

Wylie ameongeza kuwa, kuna uwezekano Rushdie akapoteza jicho lake moja, mishipa ya mkono wake imeharibiwa vibaya na kwamba kisu alichochomwa kimeliathiri vibaya ini lake pia.

Salman Rushdie mwenye umri wa miaka 75, raia wa Uingereza na Marekani aliyeandika kitabu cha Aya za Shetani kinachomvunjia heshima Bwana Mtume SAW, alishambuliwa jukwaani hapo jana wakati alipokuwa akijiandaa kutoa mhadhara kusini magharibi ya jimbo la New York.

Polisi ya New York imetangaza kuwa, mtu aliyemshambulia Rushdie ametambuliwa kuwa ni Hadi Matar, kijana mwenye umri wa miaka 24 mkazi wa New Jersey.

Hata hivyo taarifa ya polisi haijataja uraia wa mtuhumiwa huyo ambaye tayari amekamatwa na kuwekwa kizuizini na wala haijabainisha kama ana rekodi ya uhalifu au la.

Mwaka 1988, murtadi Salman Rushdie aliandika kitabu cha matusi cha Aya za Shetani, ambacho ndani yake kinamvunjia heshima Nabii Muhammad SAW. Kitendo hicho cha Rushdie kiliwakasirisha na kuwaghadhibisha mno Waislamu duniani.../

View attachment 2322828
Kumtusi mtume kuna uhusiano gani na umahututi wake! Unajua kuwa hata watakatifu walikufa pia?
 
Wakuu hiki kitabu nitakipata wapi nikisome?
Maana hata mimi bila kujua alichoandika huyo Rushdie nikisoma baadhi ya aya za Quran na aya za hadith za Muhammad ninaona wazi zikiakisi kuwa za shetani.
 
YESU na Yahweh hata uwatukanaje wafuasi wake hawarusisiwi kukufanya chochote na inatakiwa tuendelee kukupenda, tofauti na Mohammed na Allah ukiwatukana wafuasi wake lazima wakatafute wakushuhulikie
Mungu huwa hatetewi,
Mungu sio dhaifu.
Inakuwa watoto wadogi wamtetee baba badala ya baba kutetea watoto?

Mnamshusha hadhi Muhamad
 
Mwandishi murtadi aliyemtusi Mtume SAW yu mahututi kwenye mashine ya kupumulia

Aug 13, 2022 03:25 UTC

Msemaji wa Salman Rushdie, mwandishi murtadi wa kitabu cha Aya za Shetani kinachomtusi na kumvunjia heshima Bwana Mtume Muhammad SAW, na ambaye ameshambuiwa kwa kuchomwa kisu mjini New York Marekani, ametangaza kuwa, baada ya kufanyiwa upasuaji uliochukua saa kadhaa, hivi sasa Rushdie anasaidiwa kuvuta pumzi kwa mashine ya kupumulia, lakini hawezi kuongea.

Kwa mujibu wa shirika la habari la IRNA, Andrew Wylie, ameeleza kwamba, baada ya kufanyiwa upasuaji uliochukua saa kadhaa, sasa hivi Rushdie anasaidiwa kuvuta pumzi kwa mashine ya kupumulia, hata hivyo hana uwezo wa kuongea.

Wylie ameongeza kuwa, kuna uwezekano Rushdie akapoteza jicho lake moja, mishipa ya mkono wake imeharibiwa vibaya na kwamba kisu alichochomwa kimeliathiri vibaya ini lake pia.

Salman Rushdie mwenye umri wa miaka 75, raia wa Uingereza na Marekani aliyeandika kitabu cha Aya za Shetani kinachomvunjia heshima Bwana Mtume SAW, alishambuliwa jukwaani hapo jana wakati alipokuwa akijiandaa kutoa mhadhara kusini magharibi ya jimbo la New York.

Polisi ya New York imetangaza kuwa, mtu aliyemshambulia Rushdie ametambuliwa kuwa ni Hadi Matar, kijana mwenye umri wa miaka 24 mkazi wa New Jersey.

Hata hivyo taarifa ya polisi haijataja uraia wa mtuhumiwa huyo ambaye tayari amekamatwa na kuwekwa kizuizini na wala haijabainisha kama ana rekodi ya uhalifu au la.

Mwaka 1988, murtadi Salman Rushdie aliandika kitabu cha matusi cha Aya za Shetani, ambacho ndani yake kinamvunjia heshima Nabii Muhammad SAW. Kitendo hicho cha Rushdie kiliwakasirisha na kuwaghadhibisha mno Waislamu duniani.../

View attachment 2322828
Unataka kutuaminisha kutuaminisha kuwa wagonjwa wote wanaopumua kwa usaidizi wa mashine kuna jambo wamelifanya? Miaka 75 huoni magonjwa ya wazee ni kawaida?
 
Back
Top Bottom