Mwandishi Mayage S. Mayage umepotoka hatudanganyiki

Hili ndilo tatizo kubwa tulilonalo wana CDM!!jana kuna mada nilichangia!nikatoa hoja kwamba tuna ombwe la uongozi pale juu na kwa kuwa chama bado kipo katika fikra za waanzilishi!na mwenyekiti wetu kwa uongozi wake ameshindwa kukitoa kwenye fikra hizo!!

Na nikainisha mambo mengi!na mwishowe nikasema M wenyekiti mbowe hakuna namna ni lazima atoke kwa ustawi wa chadema na kwa maendeleo ya chama!!!

Nikatukanwa,nikadharirishwa sana na wanachadema wenzangu ambao mimi kama zitto sijui chama chochote cha siasa zaid ya chadema,mbaya zaid nimeanza piga kura 95 nikiwa si mwanachama wa chama chocote! Na nilipiga hata umri haujatimia!!!

Na nilijiunga chadema yapata miaka 2 iliyopita!!!ila chadema pale juu kuna mapungufu !!tutake tusitake!!na huo ndio ukweli!!!Mbowe ni muhimu aondoke!

Taja sababu za kumtoa Mbowe na uzijengee hoja kwanza, zikieleweka basi taratibu za kumtoa zitafuata

wewe ndio mwenye mapungufu kujiunga kwako na chadema mapema ndio kuclete matatizo ndani ya chama ucpende kutumika dogo chama kina taratibu na kanuni zake huo ni mtizamo wako wewe ndio unaleta matatizo ndani ya chama na unafiki wako.

mimi bwana sina chuki na mtu!!!!sijaropoka!!!!!!angalia igunga ccm walitumia nguvu,hela na ghiliba nying!!angalia tofauti ya kura!!!na hapo ujue wananchi wamechoka kabisa!!!!!ona yanayoendelea drc!!wananchi wamechoka!!tume inaogopa kutangaza kabla hawajajipanga kiulinzi!!!tunahitaj kamanda sahihi!!!mbowe mh!!!!hiyo ndio hoja yangu!!!!
 
taja sababu za kumtoa mbowe na uzijengee hoja kwanza, zikieleweka basi taratibu za kumtoa zitafuata

ok!!!wakati hoja za msingi zikielezwa kwa kifupi nadhani hukuzizingatia au hukupata nafasi ya kuzipitia!!!hila nimeamua kwa dhati kuandika waraka maalumu kwenda makao makuu kueleza haya yote ninayoyaamin!!nitautuma kwa postal adrees!!!mi niko mkoani!!!baada ya kuutuma nitauweka hapa na sitachangia chochote tena kuhusu hilo!!
 
Hili ndilo tatizo kubwa! Kila anayekuja na hoja ya udhaifu uliopo CDM anadhaniwa kuwa ni CCM!!!WAPENDWA haya ni katika kujenga chama!!!

Mguu tulionza nao sio sahihi!!wananchi wamechoka,nasi twatumia nafasi hiyo kuona kila jambo tulifanyalo ni sahihi!!!ok wengine tuna mawazo ya kipumbavu!!ila mkumbuke kisemwecho sahihi ata tufanyeje,tupinge kitajidhirisha tu! Ni suala la muda!!na ngoja tuone! 2015 si mbali!

Bahati mbaya sana,nimetafuta hizo comments ulizotoa mwanzo kuhusu udhaifu wa Mh. Mbowe kama mwenyekiti wa CDM sijaziona. Ebu tueleze kinagaubaga udhaifu huo hapa, tupata kuuona uugwana wako vinginevyo utakuwa mmoja wa wavurugaji wa amani ndani ya vyama vya upinzani.
 
ok!!!wakati hoja za msingi zikielezwa kwa kifupi nadhani hukuzizingatia au hukupata nafasi ya kuzipitia!!!hila nimeamua kwa dhati kuandika waraka maalumu kwenda makao makuu kueleza haya yote ninayoyaamin!!nitautuma kwa postal adrees!!!mi niko mkoani!!!baada ya kuutuma nitauweka hapa na sitachangia chochote tena kuhusu hilo!!
Bange bange bange zinamenifanya mi nisote...................
 
bahati mbaya sana,nimetafuta hizo comments ulizotoa mwanzo kuhusu udhaifu wa mh. Mbowe kama mwenyekiti wa cdm sijaziona. Ebu tueleze kinagaubaga udhaifu huo hapa, tupata kuuona uugwana wako vinginevyo utakuwa mmoja wa wavurugaji wa amani ndani ya vyama vya upinzani.

kaka!!kifupi kama haujaona basi ntakuja na waraka ambao ntakuwa nimeutuma makao makuu na ntauweka humu!!!!ntautuma dec 28 na ntauweka humu jan 2!!!inshalah!!yote ni kujenga chama na nchi yetu!!!
 
bange bange bange zinamenifanya mi nisote...................

matusi ya nini?ndugu linyakalumbi ndio mawazo yale yale ya wabunge wa ccm!!kila hoja iping'wayo na wapinzani!!wao wanajibu kwa vijembe!!!!mimi na wewe nana bange bange bange?nimetoa hoja!!!unanidhiaki!!!!je ukijua ni miongoni mwa vijana tunaotumia muda na nguvu kazi zetu kusadia vijana hao unaniita mimi bange bange!!!!!?elimu yako haijakukomboa kama unayo!!otherwise ni product za kifisad zisizojua adha waipatayo binadamu wa nchi hii!!!usidhiaki watu bwana!!!!mi natoa hoja jukwaani hapa!!hunijui sikujui!!!!kuwa na heshima bwana!!!usidhani wote tunafanana!!!!na pengine mazingira tuliyopitia ungepita wewe usingejua keyboards!!!!ungekuwa ushakufa au unakunywa gongo ishishang'olo sengerema!!
 
Ni kweli huyu mwandishi ana kitu anakifanya kupotosha umma, kuna siku aliandika kuhusu Gadafi kwamba eti kwake ni shujaa wa maisha lakini kwenye makala yake ya mwisho kuhusu Gadafi akaandika kwamba kuna mchangiaji mmoja amemkumbusha kwamba Gadafi alimsaidia kijeshi Idd Amin katika vita vya Kagera.
Cha ajabu akaishia hapo na kuhamia kwenye mada nyingine bila kufafanua kwa taarifa aliyopewa(mi nadhani alikuwa anajua hili) bado Gadafi ni shujaa wake wa maisha?
Nilimtumia sms kumuuliza lakini hakunijibu au kutoa ufafanuzi kwenye makala zake.
Baada ya hapo ndio sasa amehamia kuisakama chadema lakini mapungufu yapo kila chama mbona hatengi nafasi kwa vyama vingine ili wananchi tukiunge mkono kile chenye uhafadhali???????
Yaani anataka kutuaminishaq kwamba CCM na CHADEMA chama chenye mapungufu/makosa kilichofanya kwa watz ni CDM????????????????? Mi naona uongozi wa Raia Mwema unabidi ulifanyie hili kazi asitumike kuangusha last hope ya watz wengi. Maoni tuna yahitaji lakini sio kwa kuonesha kutozingatia maslahi ya taifa kwa kubomoa sehemu unapohitajika kujenga.
Shame on you who destroy where you are supposed to build one day you will pay for your crimes you do against helpless Tanzanians. Watch my words!
 
Hili ndilo tatizo kubwa! Kila anayekuja na hoja ya udhaifu uliopo CDM anadhaniwa kuwa ni CCM!!!WAPENDWA haya ni katika kujenga chama!!!

Mguu tulionza nao sio sahihi!!wananchi wamechoka,nasi twatumia nafasi hiyo kuona kila jambo tulifanyalo ni sahihi!!!ok wengine tuna mawazo ya kipumbavu!!ila mkumbuke kisemwecho sahihi ata tufanyeje,tupinge kitajidhirisha tu! Ni suala la muda!!na ngoja tuone! 2015 si mbali!

Katika maisha yangu mimi humchukia binadamu mwenye kupenda kunung'unika pasipo kufanya jambo. Hebu weka wazi hoja zako hapa kaka: MBOWE ANA TATIZO GANI?
 
Ni vizuri kila mtu akajua kwamba, kuwa mwanachama wa chama fulani kunategemeana na yale ambayo anapenda kuyaona katika chama A lakini kwa bahati mbaya au kwa makusudi basi chama hakuna. hapo ndipo mtu kwa hiari yake, nafsi na kwa kuthamini anachokiamini ndipo huamua kujiunga na chama B. Kwa mantiki hiyo basi, kama umejiunga una haki a wajibu wa kuyakubali na kuyaendeleza yale mazuri kwa busara zako na kwa kuthamini busara za uliwakuta.

Nianze na hili la Mayage. Ndugu yangu, naomba nikupe pole kwani unaonekana wazi kwamba una maoni ambayo ungependa yawepo chadema kwa ajili ya mabadiliko chanya, lakini wakufanya hayo mabadiliko yako chamani nao wana maoni yao ambayo wana yaamini kwamba ni ya mabadiliko chanya kwa chama. Hivyo basi usikata tamaa, chama hiki kina wenyewe, na kama wanavyojiita wenyewe PEOPLE's power then ni sauti ya watu. Subiri tu sauti yako nayo itakuwa kauli mbiu kwa yale unayotaka yafanyike.

Mi mwenyewe nasubiri kidogo nijue ni chama gani cha kutia mguu baada CCM kujichanganya LIVE.

Nawasilisha.

HATA MBUYU ULIANZA KAMA MCHICHA​

kaka!!kifupi kama haujaona basi ntakuja na waraka ambao ntakuwa nimeutuma makao makuu na ntauweka humu!!!!ntautuma dec 28 na ntauweka humu jan 2!!!inshalah!!yote ni kujenga chama na nchi yetu!!!

Don't be pathetic like CCM. Kama kuna mtu kakutuma halafu unaenda kumsikiliza kwanza ndio akuandikie uje hapa na mbwembwe basi jua wewe ndio kibaraka mgonjwa zaidi ya hawa wanaojipandishia posho. Lkn kama unazo hoja za msingi zinazotufanya tumtilie shaka Mh. Mbowe kama kiongozi, zitoe hapa sasa wanaume tuzijadili ili hata huo waraka wako unaoupeleka makao makuu uwe mzito wenye maoni ya watu wengi. Kama kweli nia yako ni kujenga chama, basi weka hapa tujenge pamoja na sio kushutumushutumu tuuu na kutuletea ngonjera kama za ikulu za kalenda na mbwembwe.
 
Ni vizuri kila mtu akajua kwamba, kuwa mwanachama wa chama fulani kunategemeana na yale ambayo anapenda kuyaona katika chama A lakini kwa bahati mbaya au kwa makusudi basi chama hakuna. hapo ndipo mtu kwa hiari yake, nafsi na kwa kuthamini anachokiamini ndipo huamua kujiunga na chama B. Kwa mantiki hiyo basi, kama umejiunga una haki a wajibu wa kuyakubali na kuyaendeleza yale mazuri kwa busara zako na kwa kuthamini busara za uliwakuta.

Nianze na hili la Mayage. Ndugu yangu, naomba nikupe pole kwani unaonekana wazi kwamba una maoni ambayo ungependa yawepo chadema kwa ajili ya mabadiliko chanya, lakini wakufanya hayo mabadiliko yako chamani nao wana maoni yao ambayo wana yaamini kwamba ni ya mabadiliko chanya kwa chama. Hivyo basi usikata tamaa, chama hiki kina wenyewe, na kama wanavyojiita wenyewe PEOPLE's power then ni sauti ya watu. Subiri tu sauti yako nayo itakuwa kauli mbiu kwa yale unayotaka yafanyike.

Mi mwenyewe nasubiri kidogo nijue ni chama gani cha kutia mguu baada CCM kujichanganya LIVE.

Nawasilisha.

HATA MBUYU ULIANZA KAMA MCHICHA​

safi!!!!!!!!
 
Don't be pathetic like CCM. Kama kuna mtu kakutuma halafu unaenda kumsikiliza kwanza ndio akuandikie uje hapa na mbwembwe basi jua wewe ndio kibaraka mgonjwa zaidi ya hawa wanaojipandishia posho. Lkn kama unazo hoja za msingi zinazotufanya tumtilie shaka Mh. Mbowe kama kiongozi, zitoe hapa sasa wanaume tuzijadili ili hata huo waraka wako unaoupeleka makao makuu uwe mzito wenye maoni ya watu wengi. Kama kweli nia yako ni kujenga chama, basi weka hapa tujenge pamoja na sio kushutumushutumu tuuu na kutuletea ngonjera kama za ikulu za kalenda na mbwembwe.

situmwi na sitatumwa!!!!!!ishu ni kwamba nataka niundike kwa kirefu na ndio maana nikaamua mapumziko yangu ya christmas niitumie nafas hiyo kuandika yale nayodhani kwa nini mbowe aondoke!!!!
 
Wana JF niliwahi kusema huko nyuma kuwa Gazeti la Raia Mwema huko tuendako ndio gazeti litakalo tumika kukiangamiza chama cha CHADEMA. Nimesoma makala ya leo kwenye gazeti hili ya Mayage S. Mayage nimegundua pasipo shaka kuwa Mwandishi huyu alitoka kule alikokuwa na kuandika makala za mwanzo za kuisifia chadema ili kuwavuta wasomaji na hasa wapenzi wa Chadema ili baadaye afanye kazi anayoifanya sasa hivi ya kukibomoa.

Mayage katika makala yake ya leo anasema hajaona chama mabadala wa CCM na anashauri kuanzishwe chama kipya badala ya hivi vilivyopo yeye anavilinganisha na NGOs , mimi namshangaa Mwandishi huyu anayejiona mahiri mimi nammuno ni mjinga tena asiyejiamini kama yeye hajaona vyama mbadala wa CCM kwa nini asianzishe yeye chama chake kwa malengo hayo, anakazana kusema hajaona chama kianzishwe kipya anasubiri nani amwanzishie chama kitakacho kuwa mbadala, nani anafikiri atamwanzishaia chama cha kuendana na matakwa yake kama si yeye mwenyewe.

hapo tukisema umetumwa utasema tunakusingizia. Mimi nimshauri kuwa hana haki ya kufikiri kwa niaba yetu yeye kama anafikiri chama mabadala wa CCM bado asubiri hao anaofikiri watamwanzishia chama siyo kulalamika hakuna chama, sisi wenzio tumeshamwona mbadala wa CCM wala hatuhitaji kuambiwa na mtu mwenye macho haambiwi tazama. Nimshauri pia Dr Slaa asiangaike kujibu watu kama hawa lengo lao mbona linfahamika ni kuivuruga Chadema kabla ya 2015.

Kwa nchi huru kama Tanzania kila mtu ana uhuru wa kutoa mawazo yake ukiwemo wewe pamoja na MAYAGE. Hata hivyo kwa mtu mwenye akili timamu lazima ajue kwamba mawazo yetu yanatofautiana kimtizamo. Kile unachokiamini wewe sicho ninachokiamini mimi, na huwezi kumlazimisha mtu awe kama unavyotaka wewe.

Kwa mtizamo wa MAYAGE yeye hajaona chama mbadala wa CCM, wewe unasema "mimi nammuno ni mjinga" hili ni tusi. Lakini pia kwa sababu unamuona mjinga kwa yeye kutoa maoni yake basi na wewe ni mjinga kwa kushindwa kujibu makala yake kwa hoja na kuja kumtukana hapa JF.

Kauli yako "nani anafikiri atamwanzishaia chama cha kuendana na matakwa yake kama si yeye mwenyewe" haina maana yoyote na umeonyesha ni jinsi gani unashindwa kutambua mgawanyo wa "Professionalism" katika jamii. MAYAGE S.MAYAGE ni mwandishi wa habari na hakuna mtu asiyejua umuhimu wa habari katika jamii, unataka aanzishe Chama kwa lipi. Kasema CHADEMA siyo Chama mbadala wa CCM na hajaona chama kinachoweza kuwa mbadala. Ni yeye kasema na endapo kitakuja kutokea atakiona na kukiunga mkono kama wewe ulivyowaona magwanda na huna haki ya kumlazimisha mtu yeyote.

Unasema "hana haki ya kufikiri kwa niaba yetu" wewe na nani unayemsemea hapa, wewe ndiyo huna haki ya kufikiri kwa niaba ya mtu mwingine .... yeye kaandika makala gazetini kwa manufaa yake kulingana na taaluma yake, ukipenda kuisoma makala yake soma kama hutaki acha. Wewe unataka aandike mtizamo wako na unayoyaamini, huu ni ufinyu wa mawazo na kutokuheshimu haki ya msingi ya kila mtu kutoa maoni yake.

Kauli yako "tukisema umetumwa utasema tunakusingizia" Ndugu kama MAYAGE ametumwa, je wewe hujatumwa pia? Unataka kumlazimisha kila mtu afikiri kama unavyotumwa wewe kwa nini na wewe usifikiri kama alivyotumwa MAYAGE?.

Wana JF nashauri tujifunze kuheshimu maoni ya mtu na tujibizane kwa hoja badala ya kuleta matusi ambayo kiukweli hayajengi.
 
safiiiiiii!!!!!!!!
 
kwanza kabisa wewe unayemtukana mayage ungetuletea hapa yote yale aloyaandika kwenye hiyo makala ndipo sisi tutaangalia na kutafakari mapungufu yake...sasa wewe unakuja na hasira na chuki zako apa unataka kutushawishi na kutuchochea na sisi tumchukie mtu bila kosa.....huo ni ulimbukeni wa siasa..
sisi wengine tupo nje ya nchi wengine wapo vijijini.kwa hiyo leta hiyo makala apa ndio tusome ndio tutoe maoni acha uzembe na uvivu wako wa kufikiri au upo likizo.
 
katika hao uliowataja kwangu kwa sasa labda mnyika na mdee na slaa,hao wengine hapana!!!

Jana tulijibizana nawe kwenye sredi moja ya 9Dec juu ya birthday ya Mh Mbowe ambapo ulichomeka maneno yale ambapo hapakua sahihi kadhalika leo inaonekana unafanya vilevile,labda nikushauri ndugu anzisha sredi yako nyingine umseme Mbowe kadiri utakavyojickia lakn pia ww inaonekana haujui taratibu za Chama namna gani unaweza kuwasilisha kero zako mbalimbali na labda utueleze hapa ulishawahi kufanya hvyo ndugu hata cku moja? CDM umeikuta na utaiacha kwa hyo kama yanakushinda kaa pembeni uone Chama kitakwendaje
 
Hili ndilo tatizo kubwa! Kila anayekuja na hoja ya udhaifu uliopo CDM anadhaniwa kuwa ni CCM!!!WAPENDWA haya ni katika kujenga chama!!!

Mguu tulionza nao sio sahihi!!wananchi wamechoka,nasi twatumia nafasi hiyo kuona kila jambo tulifanyalo ni sahihi!!!ok wengine tuna mawazo ya kipumbavu!!ila mkumbuke kisemwecho sahihi ata tufanyeje,tupinge kitajidhirisha tu! Ni suala la muda!!na ngoja tuone! 2015 si mbali!

Tafadhali nisaidie katika hili; Ni nini tatizo la Mh. Mbowe kama mwenyekiti?
 
Kwa nchi huru kama Tanzania kila mtu ana uhuru wa kutoa mawazo yake ukiwemo wewe pamoja na MAYAGE. Hata hivyo kwa mtu mwenye akili timamu lazima ajue kwamba mawazo yetu yanatofautiana kimtizamo. Kile unachokiamini wewe sicho ninachokiamini mimi, na huwezi kumlazimisha mtu awe kama unavyotaka wewe.

Kwa mtizamo wa MAYAGE yeye hajaona chama mbadala wa CCM, wewe unasema "mimi nammuno ni mjinga" hili ni tusi. Lakini pia kwa sababu unamuona mjinga kwa yeye kutoa maoni yake basi na wewe ni mjinga kwa kushindwa kujibu makala yake kwa hoja na kuja kumtukana hapa JF.

Kauli yako "nani anafikiri atamwanzishaia chama cha kuendana na matakwa yake kama si yeye mwenyewe" haina maana yoyote na umeonyesha ni jinsi gani unashindwa kutambua mgawanyo wa "Professionalism" katika jamii. MAYAGE S.MAYAGE ni mwandishi wa habari na hakuna mtu asiyejua umuhimu wa habari katika jamii, unataka aanzishe Chama kwa lipi. Kasema CHADEMA siyo Chama mbadala wa CCM na hajaona chama kinachoweza kuwa mbadala. Ni yeye kasema na endapo kitakuja kutokea atakiona na kukiunga mkono kama wewe ulivyowaona magwanda na huna haki ya kumlazimisha mtu yeyote.

Unasema "hana haki ya kufikiri kwa niaba yetu" wewe na nani unayemsemea hapa, wewe ndiyo huna haki ya kufikiri kwa niaba ya mtu mwingine .... yeye kaandika makala gazetini kwa manufaa yake kulingana na taaluma yake, ukipenda kuisoma makala yake soma kama hutaki acha. Wewe unataka aandike mtizamo wako na unayoyaamini, huu ni ufinyu wa mawazo na kutokuheshimu haki ya msingi ya kila mtu kutoa maoni yake.

Kauli yako "tukisema umetumwa utasema tunakusingizia" Ndugu kama MAYAGE ametumwa, je wewe hujatumwa pia? Unataka kumlazimisha kila mtu afikiri kama unavyotumwa wewe kwa nini na wewe usifikiri kama alivyotumwa MAYAGE?.

Wana JF nashauri tujifunze kuheshimu maoni ya mtu na tujibizane kwa hoja badala ya kuleta matusi ambayo kiukweli hayajengi.

Nikusaidie tuu kuwa katika mada yangu hakuna popote nilipotukana labda tu kwa kuwa na wewe ni mjinga pia ndio maana unafikiri mimi nimemtukana Mayage siko hivyo. Ujinga ni hali ya kutoelewa jambo fulani na hili si tusi ni kama wewe ulivyomjinga kwa hili nililoliandika. Sikiliza huyu mjinga anavyosema katika jenga hoja'' ndani ya CHADEMA wako wanasiasa wazuri wanaofanya siasa za kweli lakini hao hawana sauti wala nafasi ya kukieleza chama ni ipi njia sahihi ya kuendesha siasa'wenye sauti ni wanaharakati ' cha ajabu hawataji ni wakina nani na wanazuiwa na nani na je wanaharakati si binadamu wenye akili kama wengine na ni kina nani ndani ya CHADEMA kama wapo i huu uchonganishi tuu na ni ujinga wa kutumikia usichokijua. Kwa kawaida mtu ukitoa hoja lete na mifano sio kuandika vitu vya kufikirika ili kuchonganisha.

Mengine aliyoyaongea ya kijinga ni kama CHADEMA iachane na kudai matokeo ya umea wa Arusha kuwa yamechakachuliwa endele na mambo mengine ya kufanya siasa au iachane na kudai masuala ya mchakato wa katiba mpya itumie muda huu kutafuta ni katiba ipi ni nzuri ilete mapendekezo huyu ni mjinga tuuu hajui umuhimu wa katiba hata useme nini sina neneo lingine mbadala (anatumiwa aidha kwa kujua au bila kujua. Hizi habari nilitegeme ziwe kwenye gazti la Rai au mtanzania sio hili.
 
Ana haki ya kutoa mawazo yake. Hasira za nini?
Mnataka kila mtu aisifie CHADEMA?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom