minyoo
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 21,640
- 20,366
Ni kweli mwita waitara ana vitabia vya hovyo hovyo sana utazani ni kiranja wa shule ya msingiNi Mheshimiwa mmoja kavimba macho maana anashindia ulabu
Ni kweli mwita waitara ana vitabia vya hovyo hovyo sana utazani ni kiranja wa shule ya msingiNi Mheshimiwa mmoja kavimba macho maana anashindia ulabu
Paskal mayala anawaza maonyesho ya sabasaba apate pesa hawezi kutia neno kwa mwita waitara anajua atabambikiwa kesi aozee jela mpaka uchaguzi kuishaPita hivyo hivyo Mwanawane! Binti zako bado wadogo sana na wanakuhitaji sana.
Angalizo kwa Wanasiasa hamahama; Japo ni haki yenu lakini msisahau fadhila. Kuweni watu wa shukrani, mtabarikiwa sana, vinginevyo karma Itawahusu!Paskal mayala anawaza maonyesho ya sabasaba apate pesa hawezi kutia neno kwa mwita waitara anajua atabambikiwa kesi aozee jela mpaka uchaguzi kuisha
Ni Mheshimiwa mmoja kavimba macho maana anashindia ulabu
Hii nchi inakoelekea...
Anahitaji mbeleko ya chuma...Akijitoa maana ake kajitenga na wananchi na vijana wa chama...atulie humo humo apate ukweli wake anafeli sana
Ni lazima waandishi wadhibitiwe na wana habari wadhibitiwe.Hatutaki mawazo pingamiziDuh...!.
P