Mwandishi Francis Godwin atoweka Iringa kuhofia maisha yake

Nyumba ya jirani polisi wawili wamepewa notice kufuatia mauaji ya mwandishi wa habari Daud Mwangosi kule Iringa. Binafsi naona hii sio sawa hawa ni wenzetu wanahadaiwa na serikali iliyoko madarakani. Wanamageuzi wakichukua nchi 2015 wataendelea kuitumikia serikali iliyopo madarakani kwa mujibu wa miiko ya kazi yao.
 
mkuu au mode tafadhali ondoa hizi picha zinazoonesha mwili wa marehemu, ikiwezekana muisticky thread moja tu yenyekuonesha picha za mwili baada ya bomu
 
NGOROMIKO,Upo mwanachama mtiifu kwa CCM. Wewe na chama chako na wanaokitetea sala za watanzania na zitawalaani na vizazi vyenu ,nina hasira na nyie hadi nasikia kupasuka!

Polepole Marire, punguza hilo povu. ..... Na bado!! Subiri 2015 ndo utajua CCM ni nini na utatokwa na povu la bluu.
 
bila sha hata sisi wanaJF tutatafutwa tu. NAJUA KUNA POLISI MKO HUMU NAWAAMBIA HATUWAOGOPI HATA KIDOGO. BORA KUFA UMESIMAMA KULIKO KUFA UMEPIGA MAGOTI MBELE YA ADUI

Lakini Francis alikimbia na anasema haogopi kifo, mara oooh nilienda kumuokoa, tena hatua 20 nikaona amekufa, mara nikatoa namba za gari.
Mbele ya mwandishi mwenzie tu anajikanyaga hivyo, sijui itakuwaje akihojiwa na hiyo tume.
Bora aongee ukweli tu (kama ataitwa) kwa sababu uongo ni fani pia, siyo kila mtu anauweza...
 
Haijawahi kutokea mtutu wa Bunduki ukazuia mabadiliko yanayotafutwa kwa nguvu ya Umma. Historia inakataa. Labda Tanzania iwe ya kwanza.
Umejuaje kama yeye anataka mabadiliko?
Au umesema tu outta blue?
Namaanisha, mbona unahusisha hii issue na CDM? ... kwani yeye ni mwandishi wa habari au mwanamapinduzi?
 
Kuna polisi kapanga kwenye nyumba yangu. Nimempatia notisi ya kuhama, sitaki kuwaona na kuwasikia polisi pamoja na mwajiri wao CCM.
 
NAPE naye anadhubutu kufungua kinywa chake na kutuhumu cdm kwa mauaji;wakati wauaji anawaona kwa macho yake
 
Jifiche kamanda Godwin hawachelewi kukumaliza kwa sababu wanafahamu wewe ndio utakuwa shahidi kwenye tume yoyote itakayotaka kutafuta ukweli.

Kama kuna ukweli anaufahamu ni kuwa Daudi amefariki na kwamba utumbo ulitoka nje. Namna alivyofahamu yeye, wewe na mimi ni ileile yaani picha zilizopigwa na watu wengine na kuwekwa kwenye mitandao. Anasema alikimbia, atajua nini zaidi? Anajishaua tu aonekane naye anajua, hajui chochote cha maana...
 
Ni huyuhuyu aliyetaka kupigwa baada ya kujaribu kuwazuia wanaCDM kwenda kwenye mazishi, atafutwe kwa lipi gamba huyu?
 
Nyumba ya jirani polisi wawili wamepewa notice kufuatia mauaji ya mwandishi wa habari Daud Mwangosi kule Iringa. Binafsi naona hii sio sawa hawa ni wenzetu wanahadaiwa na serikali iliyoko madarakani. Wanamageuzi wakichukua nchi 2015 wataendelea kuitumikia serikali iliyopo madarakani kwa mujibu wa miiko ya kazi yao.

Kama unafahamu wana miiko ya kazi lazima utakuwa unafanya makusudi kusema wanahadaiwa. Akili uliyoitumia kujua kuwa wana miiko inatosha kujua kuwa wanatimiza wajibu wao.
Unatakiwa kujivunia kazi yao na kwamba kodi yako haipotei bure kwa mishahara na posho za polisi...
 
Member wengine wanaweza wakanifanya leo nikapata ban pasipo kutarajia,ngoja ning'atuke hapa kidogo!
 
Tanzania ijifunze kuanzia Georgia, Bosnia, Yugoslavia Tunisia, Algeria, Iraq, Libya na yanayoendelea huko Syria...mbona mifano iko mingi tu, jamani sikio la kufa halisikii dawa.
 
Umejuaje kama yeye anataka mabadiliko?
Au umesema tu outta blue?
Namaanisha, mbona unahusisha hii issue na CDM? ... kwani yeye ni mwandishi wa habari au mwanamapinduzi?

Ni mwandishi anayejitahidi kuelezea ukweli aliokumbana nao. Sasa kwa bahati mbaya huo ukweli ni sumu kwa CCM na kwa kulingana na msimamo wa CDM ni safi sana.
 
Kamanda Lema, sasa ni wazi kuhusiana na kauli yako ya ki-utu uzima kudai kwamba hivi sasa taifa linaumwa vibaya mno na kwamba kunahitajika dawa kwa haraka sana ili kuwepo na utengamano kati ya makundi mbali mbali yaliokosewa hasa na mafisadi.
 
Ni mwandishi anayejitahidi kuelezea ukweli aliokumbana nao. Sasa kwa bahati mbaya huo ukweli ni sumu kwa CCM na kwa kulingana na msimamo wa CDM ni safi sana.

If that was the case, Saed Kubenea angekuwa amekwisha hata mifupa, yaani kitambo saana!!
 
Back
Top Bottom