Mwandishi Erick Kabendera atuhumiwa kutumiwa na Gazeti la The Economist

Kwa mujibu wa Polisi, Erick Kabendera anatuhumiwa kuandika habari zinazosemekana ni “za uongo katika gazeti la The Economist” na hivyo kuvunja Sheria ya makosa ya mtandaoni (CYBERCRIME ACT) kifungu cha 16.

Wanasheria na ndugu wanaendelea kufuatilia kwa karibu...

Mwandishi wa habari za uchunguzi nchini, Erick Kabendera sasa anashikiliwa rasmi kituo cha polisi kati
Dikteta uchwara katika ubora wake
 
Kibaraka wa mabeberu huyo. Afundishwe adabu
 
Awamu ya Tano ni vichekesho sana wanafikiria wakijenga madaraja na mabarabara ndo maendeleo na kuwanyima watu haki zao za kujieleza kwa uhuru ayo madaraja hata Gadafi alijenga kule Libya ni suala la mda tu
 
Wapuuzi sana hao,wanapoteza muda kwa mambo yasiyo na mashiko halafu unamsikia mtu mmoja anahoji iweje dhahabu zikamatiwe Kenya,vyombo vyetu vilikuwa wapi?

Jibu:Viko busy na mambo ya kipuuzi!
 
..yamekuja mazoea mapya ya udhalilishaji, double standard, ubaguzi, na ukatili.

You see, our power as individuals, is to drive ourselves forward. Those obstacles we face can be overcome through engaging our minds into thinking. That is what Israels do...That is what all the rest have done in the past. Sisi tulikuwa kwenye mazoea mabaya. Tungeendelea vile, ipo siku tungeuzwa mchana kweupe. Think about it in a positive way. JPM ametuamsha kwenye usingizi tuliokuwa tumelala. Tunaanza kuona Tanzania mpya yenye watu wanaojua wanachofanya.
Shida kubwa tuliyonayo sasa, when the going gets tough, tunaamua kulialia hovyo kwa wazungu. Tena mara nyingine kwa gharama yoyote ile. Hapo tunakosea. Hata Vanunu alirudishwa Israel na akafungwa alipouza siri za nuclear.
 
Awamu ya Tano ni vichekesho sana wanafikiria wakijenga madaraja na mabarabara ndo maendeleo na kuwanyima watu haki zao za kujieleza kwa uhuru ayo madaraja hata Gadafi alijenga kule Libya ni suala la mda tu

Trust me ipo siku wajukuu zetu watakusifu kwa kulipa kodi iliyojenga barabara. Haya mambo mengine sio ya papo kwa papo. Yana gharama na kuna generation lazima italipia gharama hiyo
 
Kuongozwa na malimbukeni ni kazi sana ,badalaya kuwaletea watu maendeleo ,kutatua kero za wananchi ,kuboresha Huduma za wananchi yenyewe yanawaza tu kuua ,kufungwa watu kwenye viroba ,kuwafungilia watu kesi ,kuteka na kuwalawiti watekwaji ,mazee maxima yamepata uongozi yameanza mpaka kupora wake za watu .

Dah
 
Back
Top Bottom