Mwandishi auwawa kwa Kushare Picha Facebook Nchini Jordan

Mlaleo

JF-Expert Member
Oct 11, 2011
13,387
9,755
Mwandishi Raia wa Nchi ya Jordan Amepigwa risasi tatu na kufa pao hapo..
Nahed Hattar ambaye alikuwa kuzuizini kwa kosa la kikatuni kinachokashifu Uislam kwenye mtandao ya kijamii amepigwa risasi na kufa nje ya Jengo la Mahakama mji mkuu Amman Jordan na Mtu aliyekuja kujulikana kwa jina la Riad Abdullah, wa miaka 49,imam wa zamani katika mji wa kaskazini wa Hashmi, sehemu ya watu masikini sana mjini Amman.

b04ab72aaf86047d9d26181ec06cef50

Police walisema Mdunguaji alikasirishwa sana na katuni hiyo aliyoishare kwenye Facebook Bwana Nahed Hattar.

Shuhuda alisema Bwana Nahed alikuwa akijiandaa kuingia ndani ya jengo la Mahakana kisikiliza hukumu yake ndipo mshika Bunduki alipotokea na kumfyatulia risasi tatu kwa ukaribu kabisa.

Muuaji alikamatwa haraka sana akiwa ana Midevu kama Osama lakini Bishoo alikuwa ameaa kanzu ndefu ya rangi ya kijivu muonekano wa Muislam mwenye Siasa kali.. Habari zinasema Muuaji alikuwa ametokea nchi za Ng'ambo karibuni na hakuna habari zaidi...

Afisa Uslama alipoulizwa zaidi akasema Muuaji inaonekana alidhamilia kivyake na haoneshi kuwa ana ushirikiano wowote na makundi ya kiislam ya kijeshi yenye siasa kali.
Muuaji alishitakiwa kwa kosa la kufanya ugaidi na kukutwa na silaha isiyo na kibali atawekwa ndani kwa siku 15 hata hivyo kesi ilishindwa kusikilizwa na kuhamishiwa mahakama kuu ya kiharifu.
Kutokana na Gazeti la AP inasemekana Kikaragosi hicho kinaonesha mtu ambaye anadhaniwa ni mwamedi akiwa anavuta sigara kitandani huku akiwa na mademu huku akimuambia Mungu amletee Mvinyo na Kongosho ops samahani ni Korosho... Japo kiuhalisia kama katuni ''inavyoonesha ni Mwarabu kalala Kitandani na sigara mkononi videmu viwili pembeni na nje ya Hema limefunguka sura kubwa na neno pembeni linasomeka Paradise(Mbinguni) na Huyo mwenye sura kubwa akimuuliza mpenda videmu Habari za Jioni Bwana Abu Saleh je Unahitaji chochote? Na Mwarabu ana Mjibu Ndio Bwana niletee glass ya Mvinyo(Wine) na pia Mwambie Gabriel alete Korosho baadae watume watumishi waje wasafishe sakafu na wewe uondoshe sahani tupu uende nazo''
''Pia Usisahau kuweka mlango kwenye hema ili mda mwingine uwe unagonga kwanza kabla hujaingia, kwa utukufu wako''

Msemaji wa serikali ya Jordan amechukizwa na Kifo cha Bwana Hattar,
Irani nayo imekasirishwa na kifo cha Bwana Hattar kwa sababu alikuwa akiwapinga Waislam wahhabism.
Hattar alivutia Vyombo vya Habari Karibuni baada ya kusema aliwekwa Ndani mara kadhaa na kuteswa na Mflame wa Zamani wa Jordan kwa kushawishi watu wasimuabudu sana Mflame huyo... Mflame Hussein alikufa Mwaka 1999.

Hattar alikuwa ni Shabiki mkubwa wa Raisi wa Syria Bwana Assad
Hattar Alizaliwa na Wazazi Wakristo ila yeye aliishi kama Mtu asiye na Dini. Alishitakiwa kwa Kosa la Kushare picha kwenye Facebook na kuonekana ni mfuasi wa Nchi inayojiita ya kiislam ISIS. Picha yake aliyoishare ilifutwa baada ya watu wengi kuanza kucomment vibaya na alikuja kuomba radhi kuwa hakumaanisha kuwa anautukana Uislam bali alikuwa akionesha kuchukizwa na Wasilam wenye Siasa kali... Atakumbukwa Sana.

Jordanian writer who 'insulted Islam' shot dead
Nahed Hattar, a prominent Jordanian writer who was on trial over a cartoon deemed offensive to Islam, shot dead outside courthouse.
Cr7lPQNXEAA1eZX.jpg

A prominent and outspoken Jordanian writer was shot dead on Sunday in front of the courthouse where he had been on trial for posting a cartoon deemed offensive to Islam on social media, The Associated Press reported.
A Jordanian security official said the shooter was a former imam at a local mosque, and said the man had been motivated by his anger over the cartoon posted to Facebook by writer Nahed Hattar.
The shooting was the latest in a string of deadly security lapses in Jordan, noted AP.
Witnesses and police said Hattar, 56, was preparing to enter the courthouse for a hearing when the gunman shot him at close range.
The witness said the shooter, who was immediately arrested, was wearing a long grey robe and long beard characteristic of conservative Muslims.
Jordanian media identified the shooter as Riad Abdullah, 49, a former imam in northern Hashmi, a poor neighborhood in Amman.
The reports said Abdullah had recently returned from a trip abroad, but gave no further details.
A security official who spoke to AP declined to confirm the suspect's name, but said he had confessed to the shooting and claimed he had acted alone and had no connections to any militant group.
Prosecutors charged the man with premeditated murder, committing a deadly terrorist act and possession of an unlicensed weapon. The suspect was detained for 15 days while the case was referred to the State Security Court.
According to AP, the cartoon posted by Hattar depicted a bearded man – assumed to be the Muslim Prohpet Mohammed – smoking and in bed with two women, asking God to bring him wine and cashews.
Insulting the Prophet Mohammed is viewed upon sternly in the Muslim world. Cartoons of the prophet deemed to be insulting to him have already enraged Muslims around the world on several occasions and are linked to several terrorist attacks in recent years.
Last January, gunmen killed 12 people at the Paris office of the satirical magazine Charlie Hebdo in anger at the magazine's cartoons featuring the Prophet. The magazine had previously been targeted over its portrayal of Mohammed.
In another incident, a competition featuring Mohammed cartoons in a suburb of Dallas, Texas came under attack by two gunmen. Police in Arizona later stepped up security near a mosque in Phoenix, where protesters from an anti-Islam group planned to draw cartoons of the prophet.
In 2012, the "Innocence of Muslims" film, which depicted the Muslim prophet as a thuggish deviant, triggered a wave of violent protests in the Muslim world that left dozens dead.
Joranian government spokesman Mohammad Momani condemned Hattar's killing as a "heinous crime", saying, according to AP, “The government will strike with an iron hand all those who exploit this crime to broadcast speeches of hatred to our community.”
Hattar has long been a controversial figure in Jordan, the news agency noted. Years ago, he claimed that the late King Hussein had arrested and tortured him many times for his critical writings and vowed not to mourn the king, who died in 1999.
While born a Christian, he considered himself an atheist. He was a strong supporter of Syrian President Bashar Al-Assad and an outspoken critic of the Islamic State group and of Al-Qaeda.
Hattar was detained in August after sharing the cartoon on Facebook. Relatives said the cartoon was meant to illustrate what Hattar viewed as the twisted religious views of Islamic State extremists.
The post was quickly deleted after it resulted in many angry responses.

Boroujerdi-Nahed-Hattar.jpg

Boroujerdi & Nahed Hattar Iran ilisema Itawalinda kundi lolote litakalojitokeza kupambana na Israel Boroujerdi akimuambia Marehemu Nahed Mjini Teheran.
90ad3ad9-95a4-4e24-b79a-8cd3ef83cfad.jpg

Nahed Hattar
 
Ikia mungu mtu akiambiwa ukweli policcm hukamata watu je mambo ya dini mwache auliwe
 
Ikia mungu mtu akiambiwa ukweli policcm hukamata watu je mambo ya dini mwache auliwe
Aliyemuua nadhani Wazimu tu ulimpata... kwani Kashangaza sana Watu...na ulikuwa ni uamuzi wake Binafsi
 
Back
Top Bottom