Mwandishi amchoma Mahanga mahakamani

Ukiona habari leo wanaripoti fairly mjue kuna jimbo lenye maslahi kwao na lipo upinzani wanataka kulitengua, kisingizio watasema mbona Segerea mbunge wetu alienguliwa hatukulalamika
 
Naona hali inazidi kuwa mbaya kwa Mahanga,wasi wasi wangu ni jaji anayesikiliza hiyo kesi

Mkuu jaji anayesikiliza kesi hii yuko very smart!anajulikana hata pale U.d.s.m kwa kusimamia haki na kwa kuheshimu taaluma yake!nina hakika atasimamia haki,maana ana msimamo sana yule mzee!ila magamba nao uwa hawaaminiki kwa hila!ngoja tuone!ila nina hakika haki itatendeka!
 
Tunaomba iwe hivyo. Asimamie haki
 
Mkuu jaji anayesikiliza kesi hii yuko very smart!anajulikana hata pale U.d.s.m kwa kusimamia haki na kwa kuheshimu taaluma yake!nina hakika atasimamia haki,maana ana msimamo sana yule mzee!ila magamba nao uwa hawaaminiki kwa hila!ngoja tuone!ila nina hakika haki itatendeka!

namweshimu Prof kwani hawezi kwenda kinyume na taalum yake
 
Back
Top Bottom