Mwanawe Kawawa wa Kike Amemfuata Baba Yake

Nanu

JF-Expert Member
May 29, 2009
1,222
68
Tumesikia mtaani kuwa mtoto wa kike wa Marehemu Kawawa aliyekuwa anafanya kazi NHIF amefariki dunia jana jioni kwenye hospitali ya taarifa ya Muhimbili. Alikuwa mjamzito. Nasikia kifo kimetokana na uzembe wa watumishi wa Muhimbili. Alisikia anaishiwa pumzi akaomba aongezewe hewa wala hakuna mtu mwenye time na mgonjwa hatimaye akafairiki. May be pressure ilipanda no care has been taken. Inauma sana mtu anapokwenda hospitali akiwa mzima kwenda kujifungua halafu anarudishwa na mkeka na siyo kwa sababu anacase complicated bali ni kutokana na kutojali kwa watumishi wetu wa afya. Muhimbili Jamani, kuweni na huruma kwa wagonjwa!!!!
Arobaini ya Kawawa ni kesho.
 
Tumesikia mtaani kuwa mtoto wa kike wa Marehemu Kawawa aliyekuwa anafanya kazi NHIF amefariki dunia jana jioni kwenye hospitali ya taarifa ya Muhimbili. Alikuwa mjamzito. Nasikia kifo kimetokana na uzembe wa watumishi wa Muhimbili. Alisikia anaishiwa pumzi akaomba aongezewe hewa wala hakuna mtu mwenye time na mgonjwa hatimaye akafairiki. May be pressure ilipanda no care has been taken. Inauma sana mtu anapokwenda hospitali akiwa mzima kwenda kujifungua halafu anarudishwa na mkeka na siyo kwa sababu anacase complicated bali ni kutokana na kutojali kwa watumishi wetu wa afya. Muhimbili Jamani, kuweni na huruma kwa wagonjwa!!!!
Arobaini ya Kawawa ni kesho.


Ujauzito sio complicated? do you have facts kuwa walizembea? ushafika MUHIMBILI ukaona retio ya dr 2 patient? wanokufa wengine hawastahili au kwa kuwa sio KAWAWA?
 
kwa vile ni mtoto wa kawawa nini ndio umeona doctors wamezembea?
mimi shangazi yangu alishakufa hapo kwa case kama hiyo hiyo na watu kibao wamepoza maisha for the same scenario!!
au hao hawana umuhimu zaidi ya mtoto wa kawawa?
mtoto wa kwawa ni bora zaidi kuliko watanzania wengine au?
 
Tumesikia mtaani kuwa mtoto wa kike wa Marehemu Kawawa aliyekuwa anafanya kazi NHIF amefariki dunia jana jioni kwenye hospitali ya taarifa ya Muhimbili. Alikuwa mjamzito. Nasikia kifo kimetokana na uzembe wa watumishi wa Muhimbili. Alisikia anaishiwa pumzi akaomba aongezewe hewa wala hakuna mtu mwenye time na mgonjwa hatimaye akafairiki. May be pressure ilipanda no care has been taken. Inauma sana mtu anapokwenda hospitali akiwa mzima kwenda kujifungua halafu anarudishwa na mkeka na siyo kwa sababu anacase complicated bali ni kutokana na kutojali kwa watumishi wetu wa afya. Muhimbili Jamani, kuweni na huruma kwa wagonjwa!!!!
Arobaini ya Kawawa ni kesho.

Ni mtu watatu katika wiki mbili mja mzito kufia Muhimbili wakati mama anajifungua. Hadithi zinafanana sana kuashiria uzembe wa hali ya juu kwa upande wa wauguzi na madaktari wa idara ile. Nadhan Muhimbili wameamua kushindana na Mwananyamala kumaliza wajawazito. Inadaiwa ukifikisha mgonjwa pale mapokezi wanakupokea na wakati mwingine hawamwiti daktai amwone mgonjwa, ukifika jioni watakuona kesho saa nne asubuhi, tena wanafunzi. Hakuna dharura. Nyie manesi, nyie ni wanawake, mnawaacha wanawake wenzenu wanakufia mikononi mwenu???? Hata kama mlishaacha kuzaa, msiposaidiana ninyi, mnategemea wanaume wawatetee ili msaidiane??? Nene mvifire hero!! Nimehudhuria misiba ya wanamama wawili ninaowajua, huyu wa tatu kwa umaarufu wake nikasikia, sasa walalahoi wangapi wameondoka style hiyo?

Pendaneni kina mama, msidai mishahara mikubwa bila kuwajibika. Kitengo kile ni muhimu kimulikwe. Story zimezidi, hata mama apige kelele vipi wao hunywa chai na kupeana story wanazozijua wenyewe. Hao mnaowaacha kufa wanategemewa na umati mkubwa nyuma yao, mnawaacha wajane wa kiume na watoto wao!! Kama mmechoka bora kuachia ngazi, tunajua mko wachache lakini tuone juhudi zenu katika uchache wenu.

Leka
 
Ujauzito sio complicated? do you have facts kuwa walizembea? ushafika MUHIMBILI ukaona retio ya dr 2 patient? wanokufa wengine hawastahili au kwa kuwa sio KAWAWA?
Watu,
my brother hawa watumishi wa Muhimbili hawajali kabisa watu has akina mama wajawazito. Hata hiyo inayoitwa fast track nimetembelea juzi nimekuta wazazi wamelala chini na watoto wamewekwa kwenye chumba kimoja na wamepangwa kibao kwenye kitanda kimoja.
Kuna mama mmoja alishakuwa na 6mis-carriages mara ya saba alipata mimba ya mapacha na daktari mmoja akawa anamuangalia kwa umakini. Mimba ilipokuwa na umri wa miaka saba akapatwa na uchungu na daktari wake akawa amesafiri akamkabidhi daktari mwingine. huyo mama alizaa hao watoto vizuri wakiwa hai lakini walikuwa njiti na ilibidi wawekwe kwenye incubator. incubator muhimbili ziko chache hivyo inabidi watoto waingie kwa rotation. rotation is on priority basis on who has given something (you give something your baby get more time on incubator). maskini huyo dada alikuwa mpole mtoto wa kwanza hali ikabadilika akafa saa 5 asubuhi na yule wa pili akafuata saa 10 jioni. daktari wake aliporudi alikuwa dissapointed na akamhadithia yule historia ya yule dada, yule dr. akamfuata yule dada kwenda kuomba msamaha kwamba alikuwa hajui historia yake. Sasa kwenye file si kuna historia? Kwanini hawana tabia ya kusoma mafaili badala ya kuwalipua wagonjwa?
Ni ukweli usiofichika kuwa hawa watumishi wa muhimbili hawana huruma kabosaaaaa!!!!
 
Mungu wangu. Ni Habiba Kawawa??
She was an old friend of mine. Extremely shocking. Can't imagine what the family must be going through now!!

RIP Habiba
 
Ujauzito sio complicated? do you have facts kuwa walizembea? ushafika MUHIMBILI ukaona retio ya dr 2 patient? wanokufa wengine hawastahili au kwa kuwa sio KAWAWA?

Ikifahamika uzembe wowote hospitali hautakiwi kuuutetea kwa mtizamo wako wa kisiasa!Utu wa mtu mwisho wa siku unatakiwa uwe juu kuliko vingine.Ripoti hayo ya wengine then watu watajadili LAKINI kwa sasa ni la huyu mama mjamzito.Usiongee tu kwa jazba za kisiasa.Kwa mara ngapi Muhimbili wanaripotiwa wanafanya uzembe?Malalamiko yoyoyte ni lazima yasikilizew kwa kuboresha huduma na UACHE MI-JAZBA YA KISIASA kwenye jambo linalohusu uhai wa mwanadamu.

Ni mtazamo.
 
ilikuwa ni ishu ya kujifungua tu au alikuwa na matitizo mengine zaidi? maana sioni haja ya kwenda muhimbili ilihali unajua kabisa hali ya muhimbili, kuna hospitali nyingi sana za private ambazo wanatoa huduma nzuri sana wakati wa kujifungua hata kwa magonjwa mengine, kwani umbeep Mungu kwa kwenda muhimbili kuongeza population there?? ni better kama change zipo mfuko ukaenda private.
muhimbili unaenda ishu ambayo imeshindikana every where, na hii itasaidia kupunguza population pale.
 
Mwaikambo: Nation`s maternal, child mortality alarming still

By Robert Ochieng

7th February 2010


Mimba.jpg

A doctor examines a pregnant woman (Photo file)



With an annual 578 recorded deaths of pregnant mothers per 100,000 deliveries, maternal and child mortality in Tanzania have remained stubbornly high for nearly two decades, a leading paediatrician has said.

Pregnancy and childbirth complications account for more than half of maternal deaths that take place within one day of birth and approximately one third of stillbirths occur during labour while nearly half of all newborn deaths are on the first day of life.
Making the disturbing revelations this week in Dar es Salaam, Prof Esther Mwaikambo said that one in four child deaths are of newborns while pre-term babies have greater risk of dying, with the risk extending to delivering mothers.

In Tanzania, an estimated 13,000 women die due to complications of pregnancy and 157,000 children die before their first birthday, 45,000 of whom die in the first month of life.
"Ironically, these deaths are preventable since many die due to lack of simple care such as warmth, feeding, hygiene and early treatment of infections, which are within the means of everyone," she said.
She pointed out that malnutrition in which maternal anemia, iodine deficiency, and poor quality diet are responsible for higher maternal mortality, higher incidence of stillbirths and congenital abnormalities.

According to Prof Mwaikambo, a medical doctor and child health specialist, over 31 million African children are underweight, and that, nutritional risk factors, including vitamin A and zinc deficiencies, and sub-optimal breastfeeding, contribute to more than one-third of child deaths.
"In Tanzania, malnutrition is the underlying cause of death in over 50 percent of all deaths seen in children," she noted.

Prof Mwaikambo asserted that maternal, newborn and child mortality rates in the country have remained persistently high despite medical achievements and Government's measures.
While Tanzania achieved a 24 percent reduction in infant mortality rates of children who are under five years of age during 2000-2004, saving over 280,000 child lives from 1999 to 2005, achieving MDGs 4 and 5 remains a pipe dream for the country, she announced.

Prof Mwaikambo was presenting a paper ‘Improving Maternal, Newborn
and Child Health in Tanzania: From Science to Action' at an event held to commemorate the late Prof Hubert Kairuki at Mikocheni Mission Hospital. She took issue with the referral system, which she said posed serious challenges to efforts made to scale down the high numbers of needless deaths of women and children.

She cited factors such as limited number of ambulances, unreliable logistics and communication systems, and inadequate community-based facilitated referral systems, while they can be capably serviced by the Government reach, have consistently bogged down the health sector.

"The high rate of home deliveries is attributable to a malfunctioning referral system, inadequate capacity of health facilities in terms of available space, skills of birth attendants, commodities as well as other socio-cultural aspects affecting the pregnant women are also to blame," she said.

Others include gender inequalities in decision-making and access to resources at household-level. Additional barriers hindering women from accessing delivery health services are lack of money, long distance to health facility, lack of transport and unfriendly services, which sometimes degenerate into being abusive.
Prof Mwaikambo said the state of healthcare in the country is fraught with health and non-health system challenges.

The health system factors are inadequate implementation of pro-poor policies, weak health infrastructure, limited access to quality health services, inadequate human resource, shortage of skilled healthcare service providers and weak referral systems.
Others are low utilisation of modern family planning services, lack of equipment and supplies, weak health management at all levels and inadequate coordination between public and private facilities.

The non-health system factors are inadequate community involvement and participation in planning, implementation, monitoring and evaluation of health services, some social cultural beliefs and practices, gender inequality, weak educational sector and poor health seeking behaviour.

She called on the Government, stakeholders and the society in general to step up efforts in overcoming the challenges.
Maternal, newborn and child health interventions need to be addressed in the context of a multi-sectoral approach, she argued, adding that in order to be able to reach the MDGs 4 and 5, partnerships, resources and more effective and coordinated programmes at all levels is important.




SOURCE: GUARDIAN ON SUNDAY
 
Back
Top Bottom