Tumesikia mtaani kuwa mtoto wa kike wa Marehemu Kawawa aliyekuwa anafanya kazi NHIF amefariki dunia jana jioni kwenye hospitali ya taarifa ya Muhimbili. Alikuwa mjamzito. Nasikia kifo kimetokana na uzembe wa watumishi wa Muhimbili. Alisikia anaishiwa pumzi akaomba aongezewe hewa wala hakuna mtu mwenye time na mgonjwa hatimaye akafairiki. May be pressure ilipanda no care has been taken. Inauma sana mtu anapokwenda hospitali akiwa mzima kwenda kujifungua halafu anarudishwa na mkeka na siyo kwa sababu anacase complicated bali ni kutokana na kutojali kwa watumishi wetu wa afya. Muhimbili Jamani, kuweni na huruma kwa wagonjwa!!!!
Arobaini ya Kawawa ni kesho.
Arobaini ya Kawawa ni kesho.