Mwanawake humwachia nuksi/mikosi au kismati kwa mwanaume aliyetoka naye

Kawaida ya nuksi uchukua si chini ya miaka miwili kupotea maana inatoka kidogo kidogo sasa wew kuwa mpole mpaka iishe na hilo jambo linatokea sana watu malaya yaani ishakuwa ndo majanga yao zaidi ya ukimwi kwao....ila pole jembe

aiseee! Mkuu hadi sasa naona gundu imeisha, mkwanja unaflow kama kawaida
 
Back
Top Bottom