Mwanawake humwachia nuksi/mikosi au kismati kwa mwanaume aliyetoka naye

Ni kweli mleta mada, Nilishawahi kukutana na demu mmoja wa Ukerewe ana kismati balaa. Unaweza ukamwambia "dah hivi sina nina hali mbaya mfukoni" kisha akakijibu tu "usijali Muharango utapata hela ndani ya Siku 4 au Wiki 1" na kweli nilikuwa napata!.

Pia ninashawahi kupata demu wenye Gundu, hawa mara nyingi ndio wale wanapenda mkae muda wote hata usifanye Kazi, Wana wivu balaa kama Wivu wa Nyegere!, Huwa hawazingatii msahamaha wa mwenzie yaani Wanarundika makosa ya Wenzi wao na Kama uko mbali dah muda wote anawaza unatenda dhambi ya Uzinzi! yaani wanashida hawa acha tu!
 
Hayo ni mambo ya waganga..
Kama unapata hela kwa nguvu za giza naskia ndio huwa wakisanda wanaambiwa ulitembea na demu lenye mikosi...
Mbona tokea tuko secondary mpk tumeanza kazi tunasukuma ngozi kama kawa na hakuna mikosi wala nn..
 
Salamu wakuu

Ni muda sasa nimekuwa nikichunguza kwa upande wangu nimekuja gundua kwamba kuna wanawake ukijaribu kuchepuka nao mwisho wa siku hukuachia nuksi, gundu na mikosi kibao inaweza kukupata mwanaume.

Wanawake wengine wa hukuachia kismati tu, yaani ukitoka nae lazima mambo mazuri tu yakupate mfano utapata pesa nk

Hii imenikuta ni juzi tu siku ya valentine nilipojaribu kuchepuka na mwanamke mmoja hivi alikuwa ananifuatiliaga saaana! Kiukweli huyu mwanamke nachelea kusema kaniachia nuksi sijui ndio gundu au mikosi wakuu, yaaani tu ile siku nimeachana naye nikapata ajari ya bodaboda lakini sikupata majeraha.
Wakuu kibaya zaidi tangu siku hiyo pesa imepotea kabisa mfukoni mwangu!

Aisee huyu dada gundu kabisa. Vipi kwa wanaume wenzangu na hii kitu ishawakuta?

Tuwe makini sio kila mwanamke unayetoka nae atakuachia kismati wengine nuksi mjini hapa
Acha kusingizia mabinti wa watu. Usikute mwenyewe anakupendaje teh!
 
Mkuu kama hii kitu kweli ipo basi kuna baadhi ya wanaume pia huwaachia hii wanawake pia.

Wewe sijui ni mpagani wa wapi!! Unaonaje ukijipeleka mwenyewe hospitalini ukapimwe akili? Labda nikuelimishe au kukumbusha hesabu hii ZINAA = DHAMBI = MIKOSI = BALAA = KIFO
 
Sawa mkuu, unayajua yote hayo na bado huwa unayatenda pia!
sasa sijui wewe ni muumini wa wapi?
 
Umetisha sana mkuu ulivyopata ajali ndo ukaamua kumsingizia huyo mwa namke ndo kakuachia nuksi syo kwel imetokea tu piga kazi upate pesa bro
 
Ni kweli mleta mada, Nilishawahi kukutana na demu mmoja wa Ukerewe ana kismati balaa. Unaweza ukamwambia "dah hivi sina nina hali mbaya mfukoni" kisha akakijibu tu "usijali Muharango utapata hela ndani ya Siku 4 au Wiki 1" na kweli nilikuwa napata!.

Pia ninashawahi kupata demu wenye Gundu, hawa mara nyingi ndio wale wanapenda mkae muda wote hata usifanye Kazi, Wana wivu balaa kama Wivu wa Nyegere!, Huwa hawazingatii msahamaha wa mwenzie yaani Wanarundika makosa ya Wenzi wao na Kama uko mbali dah muda wote anawaza unatenda dhambi ya Uzinzi! yaani wanashida hawa acha tu!
Kero tu n hzo cm zao
Hawatakag kujua uko kaz
Walaa nn uspopokea

Utaskia ulikua kwa malaya zako
 
Kawaida ya nuksi uchukua si chini ya miaka miwili kupotea maana inatoka kidogo kidogo sasa wew kuwa mpole mpaka iishe na hilo jambo linatokea sana watu malaya yaani ishakuwa ndo majanga yao zaidi ya ukimwi kwao....ila pole jembe
 
Back
Top Bottom