Mwanawake humwachia nuksi/mikosi au kismati kwa mwanaume aliyetoka naye

Siyo kwa wanawake tu... hata kwenye ukoo... kuna koo zingine ukioa au kuolewa hutakaa upate mafaniko kamwe... kuna koo zingine ukioa au kuolewa nid shida mwanzo mwisho... hii pia ipo kwenye nani unatembea nae...
 
Kaka hiyo kitu ipo sana tu. Ila ni ishu ya kiroho zaidi. **** mwanamke.. anakuwa na nuksi huko atokako. Ukija lala nae.. nawewe unaridhi madudu yale yale. Lakin wengine wana baraka... ukilala nae.. yaan mambo yako yanaemda sawa
 
Siyo kwa wanawake tu... hata kwenye ukoo... kuna koo zingine ukioa au kuolewa hutakaa upate mafaniko kamwe... kuna koo zingine ukioa au kuolewa nid shida mwanzo mwisho... hii pia ipo kwenye nani unatembea nae...
tuhakikishie mkuu...........................
 
Siwezi kutaja koo za watu humu... Kuna koo zingine yani ni mafanikio mwanzo mwisho... Kaeni na wazee wenu watawapatia hizo busara na kuepuka kuvamia...
Unatunyima Uhondo mkuu..................................
 
Back
Top Bottom