Mwanaume wangu anaomba nisimwache ninampenzi mwingine

kwa nini humpendi sasa hivi? wewe jifanye kuruka mkojo kama hujakanyaga kinyesi, maisha ni kujipanga na kujipanga ni kuchagua, MNAJIFANYA KWENDA NA WAKATI KUMBE MNAKATIKA NA WAKATI....angalia sana, hujui atakufanyia nini ukimwacha.
 
Atakununulia gari la aina gani?
Utanunuliwa Scania linavuta semi - trailer au drawbar trailer eeeeeehhhh.......!!!!
Kweli unafikiria kwa kutumia chini badala ya juu...............!!!!
 
Mwanaume wangu anajua haswa na mwanaume mwingine ananiambia usiniache nitakunulia gari simpendi hata kidogo sasa hivi.nifanyeje

napia ushauri tu if u love 2 ppl at the same tym, choose the second cz f u truly luvd the first one u wuldnt av fallen 4 the secnd!
 
Mwanaume wangu anajua haswa na mwanaume mwingine ananiambia usiniache nitakunulia gari simpendi hata kidogo sasa hivi.nifanyeje

Kakuoa au umeamua kupoteza muda wake tu? Kwanini unakaa na wanaume wawili wakati mmoja? Ina maana kuna kitu unapata upande mmoja na unakosa mwingine au?
 
I Like this. Na kuna mtu anaitwa Bramo, akiiona hii post lazima aisindikize na LIKE!

Gari ni uchawi kwa wanawake!
Well Said Kaka Asprin na mzabzab, sasa akina Lily Flower sweetlady, Emma ITEGAMATWI, , BelindaJacob , Kongosho mwaJ , Preta MadameX Gerrard MESTOD BADILI TABIA, Asulo Bajabiri, Tram Almasi Na wengine weeengi

Bila kusahau wale wooote walionoshambuliwa kwenye https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/313156-dada-zetu-na-lift.html, Waje na hapa
 
sasa wewe sasa hivi uko hivyo ulivyo ndio maana unaona wanakugombania ngoja upate la kukupata kama utawaona tena chakufanya tizama mapenzi ya kweli japo ni vigumu kugundua ila unaweza kulinganisha kati ya hao wawili nani anakupenda kwa dhati

vile vile usijione wewe bi shost wa kupiga double line utaangukia pua mwisho wa siku urudi tena kutuomba ushauri humu jamvini mimi sitokusaidia mwandiko wako naujua
 
Naomba kuuliza. Samahani lakini. Wakati u(m)nakua mama yako alikuwa na wanaume wangapi? Naomba nijibu nitakushauri vzuri manake tabia hizi nyingine watu mnarithi toka kwa wazazi wenu.
 
Kwa hiyo unawachanganya, Tulizana dada unajua mpo wangapi? Au jamaa amependa mtandao wako wa tiGo?
 
Pumb***u sana ww, yaani una mwanaume wako na unampenzi mwingine? huyo mwanaume ni wako halafu haumpendi! ilikuwaje akawa wako? acha umal*ya ww binti utakuja kuliwa 0713 kwaajili yakuchanganya midume
 
twanga kote kote hata 0713 piga tu, mie nao wanne, wawili wanajijua naendelea mwendo mdundo! haina haja ya kupiga chini ni ku-add more!
 
Bramo ndugu yangu tatizo wewe uli generalise kwa wanawake wote ili hali ulikuwa na sample yako ndogo ya wale uliokuwa unawapigisha story kisha wanapanda lift yako. Huyo nae anaonekana ni kati ya wale materialists. Wale wanaokuwa na mtu kwa sababu ya mali alizonazo au kwa sababu atapata pesa na mali fulani. Na ndio sababu anaomba ushauri maana anatamani hilo gari na sio huyo mwanaume.

Kwa wanawake wanaojitegemea au wanaojiamini kuwa wanaweza kupata chochote kwa juhudi zao mambo madogo kama gari sio kigezo cha kuwa na mtu.
 
Last edited by a moderator:
Natalia, hivi unajua utakalo kwa miezi 12 ijayo???

Unajicontradict kuliko contadiction kwenye hesabu.

Nitajaribu kukuonesha kidogo ninalosema kwa wiki hii tu.
Hizi ni sred ulizotupia hapa . .

Love is to find your imperfect partner perfect
Don't talk behind his back ,show love cause love is the best gift you can give to your partner it's free

Let your husband be your best friend you will be happy
Don't worship

98 percent of your future life will depend on"the choice of your wife or husband"
You can have everything but your choice of who you marry will determine your happiness and good life .some partners are thieves ,murders,closeted gay ,witchdoctors,greedy,shopalcoholic,
 
umalaya sio dili Natalia usiku wa leo umeanzisha uzi unasema unazini mara 9 kwa siku na mwanamume wako na sasa hivi unakuja na mada nyingine unasema mwanamume wako anaomba usimwache, sikia kengele tulia na wako
 
Last edited by a moderator:
Mwanaume wangu anajua haswa na mwanaume mwingine ananiambia usiniache nitakunulia gari simpendi hata kidogo sasa hivi.nifanyeje
LOH!! Gari ndio ikutoe thamani yako mwanamke?!! Fanya kazi kwa bidii muombe Mungu utanunua kabla hujafikiria gari fikiri mko wangapi? Tulizanaaaaaaaaaaaaa utamuua mkaka wa watu huyo unaemuita wako kumbe c wako unampotezea muda tu na pengine anayetaka kukuhonga gari ni mme wa mtu, kula vyawenzio na vyako vitaliwa na istoshe huyo wako pia kamuhonga mwingine gari ndio maana wewe huna
 
Back
Top Bottom