Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 6,376
- 6,720
😍Tupia picha basi
😍Tupia picha basi
Hawara wa nini?Ya karibu unayo? Kumbe hutafuti mme umri huo unatafuta hawara japo ushazeeka? Haya endelea ila utayakumbuka maneno haya
Tafuta kamusi kama hujui kiswahili. Pia wewe unaonekana hauko bongo wala hujafikia panapotakiwa kuanza kulaumu watu kwa kutokupa hata hi. Ila unakaribia. Ukishafika utanikumbuka bureHawara wa nini?
Mazafanta walahi dahVigezo nimetimiza Dada nauliza kalio lipo la kutosha? sio nakutafuta nakukuta kalio kama dereva muendesha mtambo wa kushindilia barabara.
tanfamaza walllahi wa billahiMazafanta walahi dah
Dada Kwani huwezi kuja kuishi huku Dodoma ?Awe 40 to 50
Christian
Awe anaishi Ubungo au Kinondoni
Awe tayari kuishi pamoja
Mimi mwanamke mtu mzima
40 yrs
No kids
Christian
Naishi Ubungo
Kkkk umenifurahisha kwei kwei mwananguDada Kwani huwezi kuja kuishi huku Dodoma ?
Kama unaweza nipm nikuunganishe na babu yetu ni mstaafu was jeshi tangu mwaka 2015 yupo yupo tu anasubiri kufa maana pesa yote ya kiinua mgongo alikunywa pombe Sasa hivi Hana kitu na pia hana mke maana mkewe Alishakufa
Naishi Ubungo lakini Ubungo hapa Rhombo kama unaenda Kimara zamani nilikaa Kinondoni Moscow. Sasa unataka ubungo gani.Awe 40 to 50
Christian
Awe anaishi Ubungo au Kinondoni
Awe tayari kuishi pamoja
Mimi mwanamke mtu mzima
40 yrs
No kids
Christian
Naishi Ubungo
Namjua mmoja anaishi New York US, je uko tayari nikuunganisheni?Naishi Ubungo lakini Ubungo hapa Rhombo kama unaenda Kimara zamani nilikaa Kinondoni Moscow. Sasa unataka ubungo gani.
Why usishikilie weweNamjua mmoja anaishi New York US, je uko tayari nikuunganisheni?
Fwaki you. Nitashikililaje mimi wakati mie baba yako na si msengee? Uwe na adabu kabla sijafichua siri yako kuwa wewe ni mtoto wa kopoWhy usishikilie wewe
Hahahahahahaha mbona unakuja juu na maneno makubwa. Hautaki kwenda USAFwaki you. Nitashikililaje mimi wakati mie baba yako na si msengee? Uwe na adabu kabla sijafichua siri yako kuwa wewe ni mtoto wa kopo
HapanaNipo na 34 naruhusiwa?
pm tuwasilianeAwe 40 to 50
Christian
Awe anaishi Ubungo au Kinondoni
Awe tayari kuishi pamoja
Mimi mwanamke mtu mzima
40 yrs
No kids
Christian
Naishi Ubungo
Vipi kwa Dodoma unaonaje?Awe 40 to 50
Christian
Awe anaishi Ubungo au Kinondoni
Awe tayari kuishi pamoja
Mimi mwanamke mtu mzima
40 yrs
No kids
Christian
Naishi Ubungo
Kumbe woga unaisha ukifika miaka 60. Ok.Nimegonga 58, sio muumuni wa dhehebu lolote ila najua Mungu yupo. Sina mtoto kwa sababu ya kuwaogopa wanawake ila sasa woga naona unaisha.
40 ..no kids .Awe 40 to 50
Christian
Awe anaishi Ubungo au Kinondoni
Awe tayari kuishi pamoja
Mimi mwanamke mtu mzima
40 yrs
No kids
Christian
Naishi Ubungo