mwanaume wa hivi

jack 1

Member
Oct 28, 2012
61
63
kila muda anapiga cm kwa mpenzi wake umeivisha, umepika nn nije kula, nipikie basi nakuja kula, utaniandalia nn nije kula. nisaidieni mwanaume wa hivi nimueleweje au ndio kawaida kwa wapendanao!!!!
 
Hawa ni ngumu kuwafumania wake zao
 
kila muda anapiga cm kwa mpenzi wake umeivisha, umepika nn nije kula, nipikie basi nakuja kula, utaniandalia nn nije kula. nisaidieni mwanaume wa hivi nimueleweje au ndio kawaida kwa wapendanao!!!!

Kama anakupa hela, na kukumiminia protini mpaka unaridhika siamini kama ungeanzisha hii sredi

Sasa hebu funguka vizuri tukusaidie. Wanawake wenzako wanaotafuta hiyo bahati we unaona kero?

Watakucheka watu!
 
shkamoo babu
 
Kapata zuzu huyo
 
kama hutaki kumwandalia wajanja wa mjini watamwandalia.
Au unakubania nafasi ya kuinjoi na kidumu?
kila muda anapiga cm kwa mpenzi wake umeivisha, umepika nn nije kula, nipikie basi nakuja kula, utaniandalia nn nije kula. nisaidieni mwanaume wa hivi nimueleweje au ndio kawaida kwa wapendanao!!!!
 
Kama anakupa hela, na kukumiminia protini mpaka unaridhika siamini kama ungeanzisha hii sredi

Sasa hebu funguka vizuri tukusaidie. Wanawake wenzako wanaotafuta hiyo bahati we unaona kero?

Watakucheka watu!

si ndio maana ya kuuliza kwamba ni kawaida? kwa mtu kutaka kuulizia chakula kila siku huku hajatoa matumizi, mkinijibu sawa au sio sawa
 
mpikie bwana wako wewe wacha uvivu...alafu akishindwa kukugegeda vizuri uanze sema mijanaume ya siku hizi chis mayai....kugegeda mpaka mwanamke arishike lazima kidume kishibe. utaachika shauri yako
 
Umeona babu huyu mjukuu wako ana mawenge.

Kama anakupa hela, na kukumiminia protini mpaka unaridhika siamini kama ungeanzisha hii sredi

Sasa hebu funguka vizuri tukusaidie. Wanawake wenzako wanaotafuta hiyo bahati we unaona kero?

Watakucheka watu!
 
Marahabaaa mjukuu mteule.....

Hebu niambie unaipenda rugby kuliko babu yako? Hivi unajua mjukuu ni mke wa babu?

samahani sana babu ..
nikikuletea ugoro ntakueleza yote
yaliyonisibu pamoja na mengineo mengi.

nashukuru kumuona babu yangu bado yuko na
chupa yake ya Whiskey unafurahia maisha.

napenda Rugby ila nampenda babu zaidi ...:smile:
 
kila muda anapiga cm kwa mpenzi wake umeivisha, umepika nn nije kula, nipikie basi nakuja kula, utaniandalia nn nije kula. nisaidieni mwanaume wa hivi nimueleweje au ndio kawaida kwa wapendanao!!!!

Mi hapa sijaelewa, yaani hapendi kupiga simu au ...?
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom