Mwanaume wa dar ametuchekesha sana leo

Duh! Sio kwa matusi haya,inabidi tuite kikao cha dharula yule mwenzetu kaja Dar mwaka gani.
 
Tatizo kuna wanaume wenzetu waliuliza mara NANI KAKUTEUA..?? Ukishaweka mwisho "question mark" maana yke wewe ni mwanamke. Jamaa akaona sio kesi. Akasepa. Na bado uzi unajaa maswali ya wanaume. Uzi tuwaachie wadada. Tumpuuze...!!!
 
Ok mimi nikiwa kama mwanaume wa Dar, nasema yeyote ambaye alikua ana swali lake alilete pm.
Hii ni kuepuka kuyafanya yaliyokatazwa na No escape ya kujaza maelezo ambayo hayahusiani na uzi husika.
 
Back
Top Bottom