Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 25,557
- 45,827
kaja na uzi huuhttps://www.jamiiforums.com/threads/dada-uliza-lolote-la-msingi-kuhusu-sisi-wanaume-nitakujibu.1270471/
tukauliza maswali weee akatujibu hivi:
Ahsanteni kwa maswali yenu mazuri.
Naomba kabla sijajibu hata mmoja, naomba niulize hili swali la nyongeza kwenu wadada.
Mwanaume ni nani, nini maana ya mwanaume?!
tukauliza maswali weee akatujibu hivi:
Ahsanteni kwa maswali yenu mazuri.
Naomba kabla sijajibu hata mmoja, naomba niulize hili swali la nyongeza kwenu wadada.
Mwanaume ni nani, nini maana ya mwanaume?!