Mwanaume wa Dar akijiandaa kutizama sultan

craq

JF-Expert Member
Mar 22, 2017
859
1,864
Anaenda kuoga apo
FB_IMG_15442857734628615.jpg
 
Kwa asiyewahi kufika dar watu wake wapo simple wana masiala hawana nguvu ila amini kwamba kuhama mji kwa ajili ya mpumbavu mmoja hawashindwi
 
Kuna watu wengi wakitoka huko kwao wakifika Dar hawajui wafanye nini. Watu wa aina hiyo wanakuwaga na jealous sana na wazawa wa Dar es salaam.
 
Kuna watu wengi wakitoka huko kwao wakifika Dar hawajui wafanye nini. Watu wa aina hiyo wanakuwaga na jealous sana na wazawa wa Dar es salaam.

Na wanakuwa na tamaa sana ndiyo maana wengi wanaishia kuwa machokwo.
 
Back
Top Bottom