Mwanaume usitumie hisia kwa mwanamke, tumia akili

Maisha ni Kubalance mambo
Mix Little care with little pain

Usiwe Dont care sana to the maximum huo nao ujinga tuu

Na usiwe caring sana huo nao ni Ulofa

Jijali na wewe wajali na wao kidogoo kwa namna fulani ili uonekane social

Tafuta BALANCE ya mambo

Virtue is in the middle,Plato.
Avoid EXCESS
Avoid DEFICIENCY

BALANCE mambo, usiwe mjinga na usiwe Mjuaji yote ni mapungufu

Wahuni wanasema Kubalance Shobo!

Na pia Siyo kila Mwanamke atakukubalia na Siyo kila Mwanamke atakukataa kama ambavyo huwezi kuwa na amani na Watu wotee.

Mfano P square wakikwenda kuperfom Kwenye nchi moja ipo huko West Africa sasa kwa namna walivyokua wanahit wakajua basi wanaweza kupata Demu yoyote wanaemtaka

Peter akamuona dada mmoja kwenye Crowd baada ya Show akamuapproach yule manzi lakini cha kushangaza manzi akamchana za uso
Manzi alikua na msela wake wa kawaida ambaye alikua anamuelewa sana,

Peter akaambiwa, “ just because you are famous and rich don’t think that you can sleep with any girl you want” na manzi akasepa na msela wake!

Hivyo Siyo Wote watakuelewa ila cha msingi Balance Shobo usiwe Alpha Sana wala usiwe Beta sana zaidi utawachukia wanawake bure!
 
Maisha ni Kubalance mambo
Mix Little care with little pain

Usiwe Dont care sana to the maximum huo nao ujinga tuu

Na usiwe caring sana huo nao ni Ulofa

Jijali na wewe wajali na wao kidogoo kwa namna fulani ili uonekane social

Tafuta BALANCE ya mambo

Virtue is in the middle,Plato.
Avoid EXCESS
Avoid DEFICIENCY

BALANCE mambo, usiwe mjinga na usiwe Mjuaji yote ni mapungufu

Wahuni wanasema Kubalance Shobo!

Na pia Siyo kila Mwanamke atakukubalia na Siyo kila Mwanamke atakukataa kama ambavyo huwezi kuwa na amani na Watu wotee.

Mfano P square wakikwenda kuperfom Kwenye nchi moja ipo huko West Africa sasa kwa namna walivyokua wanahit wakajua basi wanaweza kupata Demu yoyote wanaemtaka

Peter akamuona dada mmoja kwenye Crowd baada ya Show akamuapproach yule manzi lakini cha kushangaza manzi akamchana za uso
Manzi alikua na msela wake wa kawaida ambaye alikua anamuelewa sana,

Peter akaambiwa, “ just because you are famous and rich don’t think that you can sleep with any girl you want” na manzi akasepa na msela wake!

Hivyo Siyo Wote watakuelewa ila cha msingi Balance Shobo usiwe Alpha Sana wala usiwe Beta sana zaidi utawachukia wanawake bure!
Huyo msichama phaller tu, kwanza hii habari haina uhakika

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
 
Watu wengi hufikiri wanawake wanavutiwa na wanaume ambao ni nice, wenye mali, nyumba, magari, anayejali na vitu kama hivyo. Ukijaribu kumuuliza mwanamke mmoja mmoja ni aina gani ya mwanaume anamhitaji, asilimia kubwa watakuambia tunahitaji mwanaume ambaye ni nice, anayenipa pesa, anayetuma na ya kutolea, mwenye six packs n.k n.k

Wanaume wengi wamejikita kutaka kutimiza yale mwanamke anayoyataka ili waweze kuwavutia, kuna watu wanashinda gym ili kuwavutia wanawake, kuna watu wanatuma na ya kutolea ili wawavutie wanawake, kuna watu wanakubali kila mwanamke anachomwambia ili wawavutie wanawake lakini mwisho wake watu hawahawa wanatendwa na wanabaki wakijiuliza, mbona nilikuwa najitoa, natuma na ya kutolea na bado nimekuwa dumped tena wakati mwingine anaenda kwa mwanaume mwingine ambaye ukimtizama unaona ni wakawaida tu tena sio bora kama wewe, unabaki unajiuliza sasa hawa wanawake wanataka nini mbona hawaeleweki.

Wanawake tayari wamekwisha tambua sisi wanaume tunapenda sex, na wanatumia vizuri mwanya huu wa sisi wanaume kupenda kwetu sex kutufanya tuwajengee nyumba nzuri, tuwanunulie magari, tuwafungulie biashara kubwa kubwa, lakini kwa upande wao wamekuwa vizuri kutuficha tusijue nini wao wanataka, sasa unaonaje na sisi tukafahamu wanachokitaka, itakuwa vizuri si ndiyo?

Ukiwa njiani ghafla ukamwona mwanamke mrembo aliyeuteka moyo wako na kuufanya usimame kwa sekunde kadhaa kisha ukaanza kudunda kwa kasi, kudume unavuta pumzi unaamua kumfuata mnaongea vizuri, unachukua namba na mnaagana vizuri. Tatizo linaanza unamtext hajibu, au anakujibu ila baada ya kuwasiliana siku moja au mbili anakata kabisa mazungumzo na wewe, au baada ya first date anakata kabisa mazoea na wewe, hali hii inaendelea kukupata kwa mwingine na mwingine na mwingine mpaka unaanza kujiona una mkosi.

Sisi wanaume huwa hatunaga mambo mengi kama walivyo wanawake, mara nyingi baada ya miangaiko yetu tunakutana kwenye vibanda vya kahawa, tunapiga kahawa na wakati mwingine tunakutana kwenye kumbi za kuangalia mpira, au kwenye magenge ya kucheza draft, chess n.k n.k na katika mazungumzo yetu huwa hatujadiliani kabisa kuhusu wanawake tunafanya kilichotukutanisha kisha kila mtu kurejea kwake.

Kwa wanawake ni tofauti na sisi wanaume, wao wakikutana Saloon wataanza kujadiliana ni namna gani watawafanya wanaume wao wasiwe na sauti juu yao, ni namna gani watamwendesha mwanaume, ni namna gani wafanye wapate madanga, namna gani wafanye watumiwe na ya kutolea na wanapeana mbinu mbalimbali, haiishii hapo tu bado wanasoma majarida mbalimbali na vitabu vya mahusiano, kuomba ushauri mitandaoni kwa kuficha ID zao na wakaona haitoshi na ndiyo wanaoongoza kwenda kwa waganga wa kienyeji kututafutia limbwata.

Kwa mtindo huu unafikiri ni wanaume wangapi watasalimika katika hili, ni wachache sana waliogundua jinsi ya kuplay hii game, lakini usiogope hata wewe unayesoma post hii kama ulikuwa muhanga basi leo nakuibia siri ambayo itakutoa kutoka kwenye "nice guy trap"

NICE GUY TRAP

Umewahi kujiuliza kwanini unajitoa sana kwa mwanamke wako na still ukawa dumped au ukaishia kuwekwa kwenye kundi la friendzone(hapa waswahili husema unakula kwa macho)

Game huwa linaanza kama ifuatavyo mpaka unajikuta umenaswa na huwezi kujinasua, mwanzoni mnaanza vizuri, mnawasiliana vizuri, anajisogeza sana karibu yako mpaka unaona yes huyu ndiye mtu sahihi kwangu, na wakati mwingine ukikwama anakuwa bega kwa bega na wewe na unajaa na hapa ndipo unapoanza kuharibu unaanza kumtakia asubuhi njema, Umeshindaje?, Umekula?, Na sms kibao kila dakika. Kwa jinsi wanawake walivyo, then they decide to test you if you are a man or not.

Drama zinaanza unamtext anagoma kureply au anajibu mkato, unampigia hapokei au anapokea anakuambia yupo bize atakupigia badae ndo imetoka hivyo. Hapa kama wewe ni masculine na wewe ni "A man", hili halitakutishia utastay cool na utafaulu test na ataanza kukufukuzia badala ya wewe kumfukuzia, asilimia kubwa ya wanaume wanaanguka kwenye huu mtihani na matokeo yake anaishia kuwekwa friendzone au kuwa dumped au kufanywa danga wa kutuma na ya kutolea huku mbususu akiishia kuila kwa macho.

NEVER KISS THEIR ASS

"A man does not kiss the ass of a woman for approaval"

Usimpe mwanamke chochote kile anachokitaka, usimtimizie anachokuomba hata siku moja.

Ukimtongoza mwanamke once kwa maneno mazuri na kwa kumbembeleza na akakukatalia usirudi tena kutafuta attention kwake, dunia inawatu takribani billion 7.7 sasa kwanini ukomae na mmoja wakati wewe ni "a man" na kuna wanawake wengi huko nje wanakuitaji.

Usimnunulie zawadi kwa lengo la kumshawishi akupende kama sio mpenzi wako, labda kama mmeshakuwa wapenzi na yenyewe sio mara kwa mara, mimi nashauri usimpe kabisa zawadi.

Usimvutie kiti akae, usimfungulie mlango wa gari, usifanye chochote kile kumshawishi akupende.

Akikufanyia drama once, dump her, atajifunza huko aendako, kuna plenty of women around you.

HIGH VALUE & LOW VALUE MEN

Mwanaume mwenye thamani kubwa ni mgumu kupatikana, mwanamke anatakiwa astruggle kupata attention yako, high value man does not settle easly for a woman. Just imagine umefahamiana na mwanamke labda mna wiki au wiki mbili au siku kadhaa, tayari ushaanza kumpenda na kumsumbua kutuma sms kila saa, wewe ni cheap kiasi gani unajirahisisha ndani ya mda mfupi namna hiyo hata hujamjua vizuri, kwahiyo kama umekuwa ukifanya hivyo tambua kuwa umejiweka kwenye position ya "a low value man" na mwanamke akishakuconsider wewe ni low value ni ngumu kumbadilisha forever.

Chukulia mfano hujui kucheza mpira wa miguu halafu unataka kwenda kuchezea timu ya taifa, je watakuchukua? Jibu ni hapana. Halafu baada ya siku mbili kimiujiza unapata kipaji kama cha Ronaldo au Messi, halafu unarudi tena unawaambia sasa naweza kucheza mpira na ntawaletea makombe mengi, unafikiri watakuamini? Jibu ni hapana. Hivyo hivyo kwenye relationship, ukishaonekana low value once, hata ukibadilika ni ngumu kuaminika.

High value man haendeshwi na hisia hana papara na sex, hivyo hupaswi kabisa kukiss their ass for approaval.

BE THE MAN

"A man does not seek approval"

Simamia unachokiamini, stay away from female manipulation.

Usiendeshwe na hisia, tumia akili.

"A man", sikuzote hufanya anachokiona sahihi yeye na hupaswi kuomba msamaha kwa sababu umefanya kitu kilicho sahihi.

A man does not afraid when a woman pulls back or when she pretends to leave, he let her go because he knows there are plenty of women who needs him.

Be the man.
Naunga mkono Hoja.
 
Back
Top Bottom