Mwanaume usifanye kosa la kutembea na mdogo wa mkeo, secretary, msichana wa kazi

Hata km unapenda chini...niujinga mkubwa kumsaliti mke wako...Alafu ukishaleta matatizo yakiuchumi kiafya n.k ndo unaanza kuhaha !!!.

Ukisaliti maana yake umempa uwezo mkubwa yule ulolala naye wakukuendesha ipasavyo.( Siunawaza mkeo asijue ???).
Kweli mkuu ukisha-mgegeda housegirl ni kwamba umemkabidhi madaraka yooote.
 
Back
Top Bottom