Mwanaume unatembeaje barabarani una lamba chocolate?

utakuwa unakaa karibu na hostel za UDSM IFM

uwaone wanachuo alafu ujumuishe wanaume wa dar.

ndevu si kuoa hata chuo wanazo.
 
Hakuna kosa hapo wa la ushamba hakuna. Wewe unayetembea unakunywa bia , soda au kiroba au unayetembea ukila Muhindi wa kuchoma kuna tofauti gani. Kila mtu ana uhuru wa kufanya anachopenda ili mradi asimkere mwezake sasa kama wewe unakerwa kwa kuona mwanaume analamba icecream basi ujue una matatizo.

Hazijaandikwa wala kutengenezwa kwaajili ya wanawake.... Hata huku Arusha wanazilamba sana pamoja na Baridi hii.... 21'C
Mkuu vipi na ww huwa unalamba?
 
Kha!!!!!!

Hizi tuhuma zinakwenda moja moja kwenu wanaume wa Dareselama...
Hii tabia ya kulamba chocolate imekaaje? yani nauliza kidume na mindevu yako umeng'ang'ana na chocolate inakuaje yani..

Hii tabia inezidi sana Dar mpaka inakera aisee, habari ya kulamba lamba muwaachie wanaopaswa kufanya hivyo... Mnatuaibisha vidume wa kweli.

Wanaume wa Dar si wanaume wa vigezo, wale ni magarasa tu au kwa lugha nyingine wanaitwa si riziki.....wenyewe wanadai ukimuona kijana/mwanamme analamba chocolate basi juwa ni Aunt fulani, anajitambulisha kwa wajanja kuwa anajuwa gemu la kulamba hivyo anaomba alambishwe kwa dau. Ni mchezo tu ule kwa wanaume wa Dar kwani wako kibiashara zaidi.
 
kwa akili hizi kweli ninyi watu wa mikoani ndo maana mnaibiwa sana mkija huku. mnashangaa magrofa, mnashangaa mabsa mwendo kasi, mnashangaa wanawake wazuri na sasa mnashangaa hata wanaume wanaopita njiani?
huo muda wa kuangalia nani nanafanya nini barabaran mnautoa wapi nyie akina dada? mbona mkija huku mnakuwa kama matahaira? mkija huku nunue mnavyonunua nenden kwenu mikoani mkalime. acheni watu wa enjoy maisha watakavyo.

\
Kha!!!!!!

Hizi tuhuma zinakwenda moja moja kwenu wanaume wa Dareselama...
Hii tabia ya kulamba chocolate imekaaje? yani nauliza kidume na mindevu yako umeng'ang'ana na chocolate inakuaje yani..

Hii tabia inezidi sana Dar mpaka inakera aisee, habari ya kulamba lamba muwaachie wanaopaswa kufanya hivyo... Mnatuaibisha vidume wa kweli.
 
yawezekana usemacho ni sahihi ila mwanaume kumchunguza mwanaume mwenzio huo nao ushoga!!!Fanya maisha yako au ulitaka akulambe...a$$!!!nyambafuuuuu
 
Kumchunguza kidume mwenzio ni dalili ya ucameroon

Send from my IPhone 6 using Jamii forum mobile app
 
yawezekana usemacho ni sahihi ila mwanaume kumchunguza mwanaume mwenzio huo nao ushoga!!!Fanya maisha yako au ulitaka akulambe...a$$!!!nyambafuuuuu
Siwez kulambwa na mwanaume wenzangu akati wanawake wamejaa, hiyo biashara kama ndo unaitangaza kwa staili hii basi umekwama.... Mim nawageuza wanawake sio wanaume
 
Mambo Yote Unayoyajua Ww Huko Uliko, Yametokea Dar. Licha Ya Kumuandama Mwanaume Wa Dar Na Chocolate Zake Lkn Bado Akija Huko Mikoani Likizo Huku Anatembea Na Kulamba Chocolate Zake Madem Zenu Mnawafungia Ndani, Au Mkimuona Anawapa Hi Tu Madem Zenu Mnanuna. Msikariri Maisha Enyi Wanakijiji Au Mnataka Hadi Mumuone Diamond Wenu Kwenye TV Anakula Ndo Na Nyinyi Mikoani Muanze Kula? Vyote Unavyoviona Huko Vimeanzia Dar, So Uctake Kumulika Watu Walio Kwenye Mwanga Wkt Ww Upo Gizani, Suburi Wkt Wenu Bado Na Utakapoanza Na Ww Kulamba Utaikumbuka Hii Post.
 
Acheni wivu wanaume wa mikoani. Unajua maisha haya kila mtu ana jinsi anavyoyaishi, na kila mtu anaishi kwa kutenda aonavyo yeye. Sasa wewe utoke huko utokapo na uanze kumpangia mtu jinsi ya kuishi utakua ni punguani, tena kumpangia mtu jinsi ya kutumia vitu ambavyo anaspend pesa yake aliyoipata kwa jasho lake, how come?

Kuna vitu hata mtu akifanya bado havimuongezea wala kumpunguzia au kumuondolea uanaume wake.
Akila ice cream njiani je atakua sio mwanaume tena? Je na wewe usiyekula njian au kula kabisa na kula ubuyu utakua mwanaume zaidi ya yule mwingine??

Kuishi ni maisha, na maisha ni kuishi. Mind your own business folks
Kuna vitu Vya kitoto Vya kiume na Vya kike...haijalishi unatumie Pesa yako...ukifanya vitu Vya kitoto wakati we we ni MTU mzima jamii itakushangaa na pia ukifanya vitu Vya kike wakati we we ni dume lazima wanaume tukushangae..huo ndio ukweli...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mambo Yote Unayoyajua Ww Huko Uliko, Yametokea Dar. Licha Ya Kumuandama Mwanaume Wa Dar Na Chocolate Zake Lkn Bado Akija Huko Mikoani Likizo Huku Anatembea Na Kulamba Chocolate Zake Madem Zenu Mnawafungia Ndani, Au Mkimuona Anawapa Hi Tu Madem Zenu Mnanuna. Msikariri Maisha Enyi Wanakijiji Au Mnataka Hadi Mumuone Diamond Wenu Kwenye TV Anakula Ndo Na Nyinyi Mikoani Muanze Kula? Vyote Unavyoviona Huko Vimeanzia Dar, So Uctake Kumulika Watu Walio Kwenye Mwanga Wkt Ww Upo Gizani, Suburi Wkt Wenu Bado Na Utakapoanza Na Ww Kulamba Utaikumbuka Hii Post.
Wawapi we we?pumba ya kiwango cha makinikia....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
WTF.., inategemea ila sio mbaya cuz ujaua wala sio kinyume na sheria za nchi, alafu wew unaekaa nakuanza kumdis mwanaume mwenzako for real wew unamatatizo tena makubwa mno, yani kisa kula uku unatembea hata kama upishan na njemba linanyonya lolpop kama limekukera unalichana makavu live sio unakuja kuchafua wanaume wote na kuhsi ndo wanyonyaji hayo makitu..
 
Narudia tena. Dunia ingekuwa mahali salama pa kuishi kama kila mtu angefanya yake.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom