Unachukuliaje kumuoa binti aliyekwisha kuzaa labda akiwa O level huko.
Au unamsimamo gani kwa mwanamke aliyekwisha kuzaa, utaweza kumuoa akikwambia ana mtoto baada ya wewe kukaa naye wiki kadhaa kwenye uhusiano?
Kama kuna uwezekano wa kutumua mbio nitasepa.
mwanamke mwenye mtoto ni noma (sorry kwa wale watakaokwazika)!!
Babu DC (1947)
UMENIKWAZA.
kwan mwanamke aliyezaa shida yake ninin?
nini kinabadilika?
let say alizaaa olevel . ...as u know that tym utoto mwng so ata kujikinga sio kiivo..kapata mimba kazaa na akaendelea na shule mpk univerdty ...na hana mawasiliano na yule aliyemtia mimba sema ni dent mwenzake na wote walikuwa na miaka 18 kipindi kile...
kumshutumu msichana peke yake na kumuacha yule aliyemtia mimba naona si haki ...au mimba aliipata choon wakat anakojoa?
blame wote basi km ivo na mseme pia MWANAUME ALIYEZAA NA MWANAMKE UKOO NYUMA B4 KUOA ni noma..si husband material...
2me;
utu wa mtu aubadiliki et kisa kazaa..km ni mwema atabak ivo ivo..ever human human being anafanya mistake...sasa kumnnyanyapaa uyu kisa kazaa ahh ist fair
kuna ambao hawajazaaa lakin dahh ni km kazaaa ..kimuonekano na kwa kila kitu
km ni tabia kaka tabia ya mtu aibadilik et kisa kazaa bas ahh afai....
we mchek uyo dada km yaliyomo yamo oa..ni maelewano tu baina yenu...waweza oa asiyezaa na akakuletea sarakas mpk ukamwita mungu shemeji....
Unachukuliaje kumuoa binti aliyekwisha kuzaa labda akiwa O level huko.
Au unamsimamo gani kwa mwanamke aliyekwisha kuzaa, utaweza kumuoa akikwambia ana mtoto baada ya wewe kukaa naye wiki kadhaa kwenye uhusiano?
Unaonaje na wewe ukiwa na mtoto tayari halafu ukataka kumuoa binti ambaye hajazaa?Kama kuna uwezekano wa kutumua mbio nitasepa.
mwanamke mwenye mtoto ni noma (sorry kwa wale watakaokwazika)!!
Babu DC (1947)
Unaonaje na wewe ukiwa na mtoto tayari halafu ukataka kumuoa binti ambaye hajazaa?
Mapenzi yako kwake yatajibu swali hili.
Mkuu Dark City, Majibu na mtizamo wangu ni kama huo hapo juu alioutoa Likwanda. kwangu kuwa na mtoto aukutokuwa naye kwa mwanaume au mwanamke siyo kigezo. kigezo kikubwa ni mapenzi. kama kweli umempenda, mtoto huwa siyo kigezo. Nina mfano hai kabisa ambapo jamaa alioa kwa mara ya kwanza kabisa lakini huyo aliyemuoa alikuwa tayari ana watoto wawili na jamaa mpaka sasa ana watoto wa kuzaa mwenyewe na wale wa kufikia lakini anawatunza wote kama watoto wake na anawasomesha private schools na ndoa yao ina amani kabisaMkuu J'Bonge,
Hapa kuna mambo mawili ambayo inabidi kuyaangalia.
Kwanza ni mtazamo wa jamii....ambapo inaonekana kwamba mwanamume kuwa na wanawake wengi hata watoto ni sawa ila kinyume chake ni jinai...Unaweza usiamini ila huo ndio ukweli wenyewe!
Pili ni mtazamo wangu binafsi...Kwa vile sina mtoto wa nje, basi siwezi kuwa na mwenzangu (na ki ukweli sina) ambaye ana mtoto wa nje. Kama ingenitokea wakati ule bado natafuta mchumba ningeweza labda kuwa na msimamo huo au tofauti. Kwa sasa nitabaki kusema hayo!!
Jibu lako halijitoshelezi, ongeza point nyingine ili tuone na tujue kosa la mwanamke liko api, coz kumbuka kitendo kafanya na mwanaumeMpendwa sanaaana Rose,
Nilitegemea feelings za namna hii na ndiyo maana nikaanza kwa kuomba msamaha. Maadam umeshanisamehe...nijariby kueleza niliyomaanisha katika post yangu ya awali.
Sisi (especially wa miaka ya 1947) ni Watanzania na Waafrika, na bado tunaenzi mila zetu ambazo bahati mbaya zina mrengo wa kiume....Naamini hapo tunakubaliana.....Na kwa makunzi yetu (labda mimi binafsi), tumekuwa na imani kuwa mwanamke ni wa mtu mmoja tu (ingawa tunajua kuwa si kweli) hadi hapo tunapo-prove otherwise....Sasa kuwa na mtoto ni ishara kwamba huyo si wako peke yako! Na hilo linawauma wanaume wote hata kama hawasemi!!! ....Mimi babu yao nawasemea kwenye hili (samahani tena kama kuna atakayeguswa)!!
Pia jamii humwona vibaya mtu anayelea mtoto wa mwenzake...Nina office mates kama 3 wana ndoa za namna hiyo ila siku zote hawana amani!
Na jambo jingine ni matatizo yanayojitokeza mara nyingi linapokuja suala la kumlea mtoto (hapa ni nina mifano mingi ila nitaishia hapa)!!
Nitarudi baadaye kidogo,
Babu DC (1947)!!
Mapenzi yako kwake yatajibu swali hili.
kwangukuwa na mtoto
Mkuu Dark City, Majibu na mtizamo wangu ni kama huo hapo juu alioutoa Likwanda. kwangu kuwa na mtoto aukutokuwa naye kwa mwanaume au mwanamke siyo kigezo. kigezo kikubwa ni mapenzi. kama kweli umempenda, mtoto huwa siyo kigezo. Nina mfano hai kabisa ambapo jamaa alioa kwa mara ya kwanza kabisa lakini huyo aliyemuoa alikuwa tayari ana watoto wawili na jamaa mpaka sasa ana watoto wa kuzaa mwenyewe na wale wa kufikia lakini anawatunza wote kama watoto wake na anawasomesha private schools na ndoa yao ina amani kabisa
Jibu lako halijitoshelezi, ongeza point nyingine ili tuone na tujue kosa la mwanamke liko api, coz kumbuka kitendo kafanya na mwanaume
Mkuu nadhani hapo kwenye red ni suala la lugha tu. maana yangu haikuwa ya kuhusisha mapenzi na matamanio ya ngono nilikuwa na maana ya kupendaSawa mkuu,
Itoshe tu kusema kuwa ndoa inaenda mbele zaidi ya mapenzi na matamanio ya ngono...kwa sababu inategemewa kuwa nanyi (mke na mume) hadi muende kwenye makazi yenu ya milele!
Kama suala la kuzaa ndilo linakufanya kuona kuwa huyo mwanamke si wa peke yako, unalichukuliaje suala la kuoa mwanamke ambaye sio bikra? Hiyo siyo issue, anaweza akawa hana mtoto na akawa si wa peke yako vile vile. Kinacho-matter ni upendo wa kweli - Kama kweli unampenda ......., Na wanawake nao wawachukuliaje wanaume wenye watoto wa zamani.Mpendwa sanaaana Rose,
Nilitegemea feelings za namna hii na ndiyo maana nikaanza kwa kuomba msamaha. Maadam umeshanisamehe...nijariby kueleza niliyomaanisha katika post yangu ya awali.
Sisi (especially wa miaka ya 1947) ni Watanzania na Waafrika, na bado tunaenzi mila zetu ambazo bahati mbaya zina mrengo wa kiume....Naamini hapo tunakubaliana.....Na kwa makunzi yetu (labda mimi binafsi), tumekuwa na imani kuwa mwanamke ni wa mtu mmoja tu (ingawa tunajua kuwa si kweli) hadi hapo tunapo-prove otherwise....Sasa kuwa na mtoto ni ishara kwamba huyo si wako peke yako! Na hilo linawauma wanaume wote hata kama hawasemi!!! ....Mimi babu yao nawasemea kwenye hili (samahani tena kama kuna atakayeguswa)!!
Pia jamii humwona vibaya mtu anayelea mtoto wa mwenzake...Nina office mates kama 3 wana ndoa za namna hiyo ila siku zote hawana amani!
Na jambo jingine ni matatizo yanayojitokeza mara nyingi linapokuja suala la kumlea mtoto (hapa ni nina mifano mingi ila nitaishia hapa)!!
Nitarudi baadaye kidogo,
Babu DC (1947)!!
<br />Mradi alomzalisha asiwe anakula chinichini
Mkuu nadhani hapo kwenye red ni suala la lugha tu. maana yangu haikuwa ya kuhusisha mapenzi na matamanio ya ngono nilikuwa na maana ya kupenda