HERUFI KUBWA
JF-Expert Member
- Aug 10, 2017
- 388
- 602
Habari zenu za Mei Mosi na Tunaendelea kupambana na kuchukua Tahadhari Juu ya Corona.
Kwa niaba ya wanawake wote wa JF hasa huku MMU tunaomba mtuulize swali lolote kwenye huu uzi na tutawajibu
Mwanaume ULIZA SWALI LOLOTE SISI WANAWAKE TUKUJIBU