Pablo Blanco
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 7,328
- 6,591
- Thread starter
- #281
mzee unapiga ngeli,ilibidi niende kwenye kamusi kidogoKuoa au kutokuoa ni sawa tu inategemeana na aina na mahitaji ya mtu. Kwa mfano mimi nikioa nitakuwa najitesa tu ila kwa mwingine inaweza ikawa tofauti. I view marriage as a superfluity rather than necessity..