Mwanaume ukitaka kuishi maisha marefu fanya hivi

hizo nisababu ulizonipa binafsi kuhalalisha mawazo yako.
ila duniani hakuna kitu chenye Disadvantage kikakosa Advantage
hayupo ila jirani yangu yupo jela na kuna mwana jf alijinyonga sababu ya mambo ya ndoa,pia majority wa wanaume hawapo happy na ndoa zao
 
hizo nisababu ulizonipa binafsi kuhalalisha mawazo yako.
ila duniani hakuna kitu chenye Disadvantage kikakosa Advantage
yap,tukija kwa mwanaume ndoa zina disadvantage nyingi kuliko advantages,ndoa ni mzigo kwa wanaume
 
We mpuuzi kweli, sijui kwa nini mods hawajafuta huu uzi, dunia ingeendeshwa kwa utaratibu wa kijinga kama wa wako sijui ingekuwaje
Kwa taarifa yako tu uzi huu ni wa maana sana mpaka umekuwa pinned 😝😝😝 kajinyonge sasa
 
Within marriage, women have nothing to offer eccept sex...that is apart from sex women have nothing to contribute!
 
Hayo ndiyo maisha uliyoyachagua usitake na wengine waishi kama utakavyo wewe, kila mtu ana uhuru wa kuishi atakavyo.
 
Within marriage, women have nothing to offer eccept sex...that is apart from sex women have nothing to contribute!

Sex yenyewe imegeuka mwiba kwamba eti hawaridhishwi, so ujue hilo pamoja na kwamba ndo kitu pekee anacontribute.... still ni jukumu la mume kumridhisha mke na sio kinyume chake.

Kuoa ni utumwa.
 
kumbe hujawahi hata kuoa sasa wewe umeona wapi kipofu anamuelekeza kipofu mwenzie njia?
...ni sahihi ingawa sio lazima sana utumie madawa ya kulevya hadi upate madhara baadae uache ndio uwe muelimishaji bora wa athari za madawa ya kulevya. Kujifunza kupo kwa aina tatu KUSIKIA, KUONA na KUJARIBU.
 
Sasa kwanini ujipatie majukumu yasiyo ya lazima na majukumu mengine ya mateso.. hivi unakosa nn ukiwa single
Akili za kuambiwa changanya na za kwako, na ili uwe na uwezo wa kutambua jema na baya ni lazima umuombe Mungu pamoja na kusoma vitabu takatifu,
Na ujifunze kutafuta maarifa kuongeza ufahamu otherwise jambo lolote lile utakalo liona, utakalo lisikia au utakalo ambiwa pia utaliona ni sawa tu kwako,
 
Within marriage, women have nothing to offer eccept sex...that is apart from sex women have nothing to contribute!
exactly atakupa sex tu mengine yote atakayokupa ni matatizo na hasara zinazoweza kukwepeka,hiyo sex yenyewe hupewi kama unavyotaka,umetoa mahari umegharamia harusi then sex unapewa nusunusu wakati pembeni mchepuko anakupa hadi unakimbia mwenyewe na hapo mchepuko umegharamia gharama ndogo tu,ndo maana watu wanahama wanawajengea na michepuko nyumba kabisa,then wake zao wanaanza kulalamika oo!! uchawi,limbwata, sio uchawi!!!
 
Unazani ni wanaume pekee ndiyo wanapata shida kwenye ndoa? Baadhi yao Wanaume wananyanyasa sana wake zao, kwenye upande wa huo wa ndoa wake huvumilia sana na huamua kukaa kimya na kuficha siri
 
Unazani ni wanaume pekee ndiyo wanapata shida kwenye ndoa? Baadi yao Wanaume wananyanyasa sana wake zao, kwenye upande wa huo wa ndoa wake huvumilia sana na huamua kukaa kimya na kuficha siri
wanavumilia nini???,mwanaume ndo anavumilia mengi,cause mwanamke anachompa mwanaume kwenye ndoa ni sex tu tena nayo ina excuse nyingi,mara mwanamke hajisikii,mara amechoka, lakini mwanaume anamuhudumia mwanamke kila siku bila kujali hajisikii au amechoka,anakuhudumia wewe, wadogo zako mpaka wakwe,wewe unachompa sex tu tena humpi kila siku, mwanamke ndiye anayepata faida kwenye ndoa
 
nikaamua nikishirikishe,,kuoa ni kujitesa sio??
Kuoa au kutokuoa ni sawa tu inategemeana na aina na mahitaji ya mtu. Kwa mfano mimi nikioa nitakuwa najitesa tu ila kwa mwingine inaweza ikawa tofauti. I view marriage as a superfluity rather than necessity..
 
77 Reactions
Reply
Back
Top Bottom