Mwanaume ukitaka kuishi maisha marefu fanya hivi

Hujawahi kukaa katikati ya wazazi wakati mnapata chakula uone raha unayoipata unapowaona wazazi wako wakiwa pamoja ndo maana unaongea hili,ndoa ina raha yake bhana ni mambo yakiendaga vibaya basi yaani ukikosea ndo utaona machungu yake, lakin huwezi kuogopa kukosea hautaweza kuinjoy hii dunia ukiogopa kukosea
 
sio huna akili,ni kwamba huna akili ya kuishi na mwanamke ila una akili katika fields nyingine kama biashara,uongozi n .k kwa mujibu wa concept yako,hao wanawake je wana akili ya kuishi na mwanaume?? kuwa makini maana unachosema ni kwamba kila mwanaume hana akili kwa msingi wa hiyo hoja yako,
Kama umeshindwa kuongoza mwanamke mmoja akakusikiliza utaweza kuongoza wanawake changanya na wanaume?
 
nyerere aliliongoza taifa la Tanzania vizuri kabisa na anakumbukwa kila siku lakini mkewe alikuwa anachepuka na hakuwahi kuwa na furaha kwenye ndoa yake, according to your view ni kwamba alishindwa kumuongoza mkewe,the same applies to jiwe
 
Hujawahi kukaa katikati ya wazazi wakati mnapata chakula uone raha unayoipata unapowaona wazazi wako wakiwa pamoja ndo maana unaongea hili,ndoa ina raha yake bhana ni mambo yakiendaga vibaya basi yaani ukikosea ndo utaona machungu yake, lakin huwezi kuogopa kukosea hautaweza kuinjoy hii dunia ukiogopa kukosea
kukaa meza moja na kula chakula na wazazi ndo raha???
 
Mmmm haya sawa, ila wanawake wengi wanateseka sana, ninao watu wakaribu sana ña wanatunza siri ya ndoa
case yako ni 1%,ndoa ni mzigo kwa mwanaume,ila kwa mwanamke mteremko ndo maana wanawake mnahangaika sana kutafuta ndoa ila mpate mteremko
 
Hujawahi kukaa katikati ya wazazi wakati mnapata chakula uone raha unayoipata unapowaona wazazi wako wakiwa pamoja ndo maana unaongea hili,ndoa ina raha yake bhana ni mambo yakiendaga vibaya basi yaani ukikosea ndo utaona machungu yake, lakin huwezi kuogopa kukosea hautaweza kuinjoy hii dunia ukiogopa kukosea
kukaa meza moja na kula chakula na wazazi ndo raha???
 
Mkuu usigeneralize mambo,kila mtu na ngekewa yake_binafsi sijutii kuoa(naregret kuchelewa kuoa)_
Kwa miaka hii 6 ya ndoa na mke wangu+watoto imenipatia mibaraka ya kutosha ambayo na uhakika nisingeipata kama ningekuwa sijaoa(nimeipata kupitia familia yangu)_

**kama wanadamu tyuu wadhaifu wa mwili na roho(swala n kubebeana mapungufu yenu,kwa sababu hakuna aliye mkamilifu katika hii sayari)**
Wengi huoa/kuolewa bila kuchunguza huangalia handsome,pesa wengine huangalia urembo
 
Sipingi kwamba sitakufa, kwani ww unaseyesema tuepuke kuoa ndio hatutakufa? Yule jamaa yangu Kama angekuwa ana mke huenda angemkimbiza hospital labda angepona, haya, hata kama angekufa lkn asingekufa kifo cha aibu kwa kuliwa na panya kama umefia porini! Lkn kuna usemi usemao akili za kwako changanya na za kuambiwa utapata jibu zuri kbs! Ila ukitumia tu akili za kuambiwa utaishia kujuta kila siku!
Kwahiyo wewe unaoa ili usife ndani pekee yako upate mtu wa kukusubiria ukiumwa akupeleke hospital
 
sema hata wewe kuna wanaume ugomvi na mkewe anawambia mpaka wazazi wake na dada zake badala ya kukabiliana mwenyewe, kimbembe hao ndugu zake kama hawamfagilii huyo mkewe unazani watatoa ushauri gani kama si kumwambia mwache oa mwingine, wanaume wengine mabox
Kama umeshindwa kuongoza mwanamke mmoja akakusikiliza utaweza kuongoza wanawake changanya na wanaume?
 
nyerere aliliongoza taifa la Tanzania vizuri kabisa na anakumbukwa kila siku lakini mkewe alikuwa anachepuka na hakuwahi kuwa na furaha kwenye ndoa yake, according to your view ni kwamba alishindwa kumuongoza mkewe,the same applies to jiwe
Unajua kwanini alikuwa anachepuka, kosa lilikuwa lake baba hakuwa na muda na mkewe ,
ukiwa mme muda wakuwa na mkeo lazima uwepo, wewe kila siku upo mpo nje ya nyumbani
mke naye binadamu na anahisia vile vile
 
una uhakika alikuwa hana muda nae??
 
Kifo kipo tu haijalishi umeoa au hujaoa ikifika siku yako utakufa tu,ila hiyo stail ya kuwazalisha bila kuwaoa sikuungi mkono kabisa ,huko ni kuongeza watoto wa mitaani.Kama umeamua kuishi kibachela ishi hivyo mpaka kifo.
Unakuta mama za hao watoto unaowasema wana uwezo mzuri tu kiuchumi, vipi hapo napo kutakuwa na ongezeko la watoto wa mitaani?
 
nyerere aliliongoza taifa la Tanzania vizuri kabisa na anakumbukwa kila siku lakini mkewe alikuwa anachepuka na hakuwahi kuwa na furaha kwenye ndoa yake, according to your view ni kwamba alishindwa kumuongoza mkewe,the same applies to jiwe
Kuchepuka ni ishu tofauti lakini alikuwa mke wa nani? Kumuongoza mtu sio kumzuia afanye vile unataka ww
 
Back
Top Bottom