Mwanaume ukitaka kuishi maisha marefu fanya hivi

Mkuu usigeneralize mambo,kila mtu na ngekewa yake_binafsi sijutii kuoa(naregret kuchelewa kuoa)_
Kwa miaka hii 6 ya ndoa na mke wangu+watoto imenipatia mibaraka ya kutosha ambayo na uhakika nisingeipata kama ningekuwa sijaoa(nimeipata kupitia familia yangu)_

**kama wanadamu tyuu wadhaifu wa mwili na roho(swala n kubebeana mapungufu yenu,kwa sababu hakuna aliye mkamilifu katika hii sayari)**
 
Tafiti kabla ya kuwa published huwa inaangalia majority.....

Ndoa nyingi zina tabu na misuko suko /ndoa chache zina furaha na amani naweza kusema rate ya ndoa zenye amani na furaha ni 5%
 
wewe umevunja rekodi ungetafuta mtoto mmoja,35 tayari?
maisha yakikaa vizuri huko mbeleni..nitamtafuta mtoto mmoja wa kumuachia urithi..mwanaume umri sio kikwazo cha kupata mtoto..hata nikifikisha 50 naweza nikapata mtoto tu.
 
maisha yakikaa vizuri huko mbeleni..nitamtafuta mtoto mmoja wa kumuachia urithi..mwanaume umri sio kikwazo cha kupata mtoto..hata nikifikisha 50 naweza nikapata mtoto tu.
yap,in fact ndoa ni mzigo kwa mwanaume
 
  • Thanks
Reactions: ywf
Usimpige chini kuwa na uhusiano naye mzuri lakini USIMUOE, siku mkishindwana mnaachana kwa Amani.
Tafuta pesa na elimu (shule na adventure), usitafute matatizo (ndoa).
mzee wewe umeoa?
 
Usije ukathubutu ukaoa,katika vitu ambavyo mwanaume hutakiwi kufanya Ni kuoa,hakuna kitu ambacho ukiwa bachela unakikosa kwamba ukioa ndo utakipata,ila ukioa Kuna vitu vingi sana utakuwa unavikosa, hakuna jipya ndani ya ndoa, binafsi sijaoa ila nishawazalisha watatu,

Mwanaume hutakiwi kuoa,Kama unataka stress za Maisha na kufa haraka oa utakiona Cha Moto, mwanamke mzalishe tu then mtoto akifikisha miaka minne mpige chini huyo mwanamke tafuta mwanamke mwingine,huo ndo utaratibu wangu wa Maisha ya mahusiano na sijawahi kujuta....hakuna kitu ambacho mwanamke atakupa kwenye ndoa zaidi ya papuchi...ova,povu ruksa
Kuoa ni kipimo cha akili. Ukishindwa kuishi na mwanamke jua huna akili. Sio mimi, falsafa ndo ilivyo yaani.
 
Kuoa ni kipimo cha akili. Ukishindwa kuishi na mwanamke jua huna akili. Sio mimi, falsafa ndo ilivyo yaani.
sio huna akili,ni kwamba huna akili ya kuishi na mwanamke ila una akili katika fields nyingine kama biashara,uongozi n .k kwa mujibu wa concept yako,hao wanawake je wana akili ya kuishi na mwanaume?? kuwa makini maana unachosema ni kwamba kila mwanaume hana akili kwa msingi wa hiyo hoja yako,
 
Nawe ni sehemu ya wale watu wenye mpango mkakati kuhakikisha taasisi ya ndoa inakufa ?
 
Back
Top Bottom