Mwanaume ukipata mwanamke mwenye mawazo kama haya" Umeula

BansenBurner

JF-Expert Member
Feb 16, 2015
6,812
5,764
1472924978466.jpg
 
Mim na Mtukufu wetu Hatuna utofaut katika swala hili la lugha ebu nipen

Tafsiri ya hayo maneno ndugu zangu
 
Hahaha we've heard of so many cases za dame anachuma mali na bwanake at the end the guy anazingua...it's better mue kune almost level sawa...
 
Hayo maneno ni mazuri sana..ila nina uhakika hata yeye hajayaishi alivyoandika...wanawake wa karne hii ni ngumu sana kumpata aliye kama alivyosema Nadia..labda asilimia 0.00000001,...
 
Inatokea lkn it's better mkachuma pamoja hua inafanya mna stuck in love for long na kuheshimiana. Amna kitu kizuri kama kutafuta pamoja sio uvikite
Wanaokua stuck mostly ni sisi women....but as for you guys mnakua big headed after kua successful ...kusaab no woman says no to a successful man...bila kujali hizo mali umechuma na mwenzio from the scratch af we unaenda kutanua na wanawake wengine...
Sasa who is to take that risk???..bora mue almost same level...
 
Back
Top Bottom